kamwe

Kamwe also spelt Kamue) is a Chadic language autochthonous to Adamawa State, Borno State of Nigeria and North Western Cameroon.
In Nigeria about 80 percent of the Kamwe people are found in Michika Local Government Area of Adamawa State, Nigeria. They are also found in Mubi North, Hong, Gombi, Song and Madagali local governments in Adamawa State. The Kamwe people are also found in Borno State, especially in Askira/Uba and Gwoza local government areas
Blench (2019) lists Mukta of Mukta village, Adamawa State as part of the Kamwe cluster.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji Ali Kamwe na Yanga SC kwani kusema kuwa Bernard Morisson kagoma hadi alipwe chake mlichomkopa mnaogopa nini?

    Ninaposema kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine katika kuzipata zile za ndani ambazo huwa mnazificha muwe mnanikubali sawa? Na najua baada ya uzi wangu huu mtaandaa counter ili kuja kuipinga/kupinga na kuonekana kama vile hali ni shwari, mkisahau kuwa wanaonipa hizi taarifa zenu nyeti ni wenzenu...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, zile Keki Kubwa 50 ulizoenda nazo Mbarali Mbeya umezila zote peke yako?

    Mwenyewe ulipanga uweke Historia pale Uwanjani Highland Estate Mbarali kama Yanga SC yako ingeshinda Mchezo wake wa 50 bila Kufungwa basi umuagize Dereva aingize Gari Uwanjani na mzigawe kwa Mashabiki wenu ili Wazisasambue kwa Mikogo yenu mingi kama Kawaida yenu. Haya jana Jezi zenu Maalum za...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu Afrika kusonga mbele kamwe ni nadra!.

    Kwa mtindo huu wa kiongozi yupo ukumbini anahutubia ila huko barabarani maisha hayaendelei ni nadra Tanzania kufika uchumi wa kati, ile mnayoitangaza kila wakati huwa ni chengatu. Yaani hata nyie viongozi mnapokuwa kwenye shughuli zenu za kikazi mjue mnatesa na kuwapotezea raia muda. Naelekea...
  4. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka : Simba ni Simba tu, Simba kamwe hachezewi sharubu lake

  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga Hersi na Msemaji Kamwe wana Yanga SC, tunauliza tukiwa Tunisia tusimame Kushangilia dakika ya ngapi?

    Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana Yanga SC Mwenzenu hili Swali langu. Cc: Ulimakafu
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe ongeza uchangamfu ukiwa unaongea redioni

    Nimekusikia ukiwa mubashara EFM Sports Headquarters muda mfupi tu uliyopita, ila umeboa kwa kuwa huna amshaamsha na unaongea kiofisi zaidi wakati hadhira yako ni 98% oya oya (masela) tupu tu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ampinga bosi wake Ali Kamwe, ni dharau kwa wana Yanga

    Kwani huyu jamaa anajiona yeye nani? Bosi wake Ally Kamwe keshasema Yanga ni timu kubwa ina wachezazji wakubwa ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal ambayo ndiyo kwanza inajitafuta kuweka sawa muonekano wao. Wewe ni nani upinge bwana? Yaani Yanga iende Sudan kama underdog? Hii ni dharau kwa...
  8. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane. Miaka ya fulani baada ya kumaliza shule ya sekondari,niliamua kwenda kumsalimia Ba'mdogo aliyekuwa mkuu wa shule fulani ya sekondari hapo kwenye hicho kijijini. Wana kijiji walikuwa wakimpa heshima kubwa Ba'mdogo kwasababu wanafunzi wote waliosoma...
Back
Top Bottom