amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 2,376
- 5,372
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
7; Kuchoma mahindi - Hadi upate hela ya IST utakuwa umechoka sana!
8; Speculation kwenye hisa kwa pesa ya kuungaunga etc(Hapa wengi sana wamepigwa za uso)
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
NB; Kutoboa maana yake ni kuwa na levo ya maisha standard ie kula chakula kizuri, kuishi sehemu nzuri, kusomesha watoto shule nzuri, usafiri wa kukufikisha sehemu moja na nyingine, kuweza kumudu shida mbalimbali bila kulialia.