kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wadachi wamewarudishia Wachina kampuni ya Nexperia

    Serikali ya Uholanzi imesitisha uamuzi wake wa kuingilia kampuni ya kutengeneza chipu, Nexperia, inayomilikiwa na China, baada ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili. Mnamo Septemba, serikali ya Uholanzi ilisitisha kampuni hiyo kutokana na wasiwasi kuhusu usalama wa upatikanaji wa chipu barani...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  5. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Je, Kampuni ya "ITEL EAST AFRICA LTD" inayodaiwa kumilikiwa na kiongozi mkubwa na mwanae INATUBANANGA?

    Ukipitia ukurasa wa Instagram wa mwanamama bi Mange Kimambi utaona kuna taarifa kuhusu kampuni ya ITEL EAST AFRICA LTD. Japokuwa kampuni hii imesajiliwa kama kampuni ya kufanya mambo ya biashara za simu lakini inaonekana ndio mwagizaji wa sukari nchini. Sasa kulingana na database ya global...
  6. Spectophotometer

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtoa signatory wa benki ambaye si mmiliki wa kampuni

    Habari wanasheria na wanajukwaa kwa ujumla. Naomba kuelekezwa utaratibu wa kumtoa SIGNATORY wa nyaraka za benki ambaye si mmiliki wa kampuni. Amepata dharura ya kuumwa,na yuko nje ya nchi kwa matibabu.Ni utaratibu gani ili atolewe kama signatory? Natanguliza shukran
  7. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua godoro kampuni hii, ushauri

    Nataka kununua godoro la spring kampuni hii, ushauri kwa waliowahi kutumia
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kuanzisha biashara na kampuni ya Pombe Kali

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital. Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea. Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Ukitaka Kusajili Kampuni ya Ujenzi (Construction)

    Kusajili Kampuni ya Construction Kuna procedures zake ambazo hazijaachana sana na Kampuni ya kawaida, ila hapa nitakuandikia in details procedures hizo; 1/5 Company Registration Hapa utafuata taratibu zote za brela kama kuandaa documents, kufanya application na kulipia fee, baada ya usajili wa...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Niamini Mimi, adui wa mwanamke ni mwanamke, huyu Mama mwakilishi wa Mudi ndo aliyeitafuta hiyo kampuni iliyomzalilisha mwenzake, na inasemekana yey al

    Niamini Mimi adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, Huyo mwanamke mwakilishi wa muhamedi TAPTA LA madawa ya kulevya, lilirowai dakwa na Mzee Magu, yeye ndo alikuwa akipambana na mwanamke mwenzake mwanzo mwisho, Hata wale mabaunsa yeye ndo aliyewatafta, na aliwanunulia na Bangi, na...
  11. Vien

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu zaidi ya maswala katika uendeshaji biashara chini ya kampuni

    Habari wanazengo, Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni documents zinazohitajika Wakati wa kuongeza Mtaji wa Kampuni

    Jana nilipost thread kuhusu hatua za kufuata wakati wa kuongeza share capital, Leo nitakuandikia documents husika zinahitajika kukamilisha mchakato huo wa kuongeza share capital. 1. Board Resolution Hii ni document inayoandaliwa na directors wa Kampuni kuonesha kua wanataka kuongeza Mtaji kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuongeza Mtaji wa Kampuni Yako

    Umefungua Kampuni kwa mtaji wa 10M kama share capital mfano, baada ya kufanya biashara kwa muda Fulani unataka kuongeza Mtaji ufike 50M. Hizi ni hatua za kisheria za kufuata. 1. Kikao Cha wakurugenzi (directors) Wakurugenzi watakaa na kupitisha ajenda ya kuongeza Mtaji wa Kampuni. 2. Notice...
  14. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Majina mengine ya kampuni za biashara nchini kwetu yana walakini sana

    Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi kwa hiyo biashara nyingi za Tanzania kuwa Limited ni sawa kabisa kulingana na shria za nchi...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya 'Mo' yaingia mkataba kuidhamini klabu ya Coastal Union

    "Leo tunatangaza kwa furaha kubwa ushirikiano rasmi kati ya MO na Klabu ya Coastal Union kwa msimu wa 2025/2026! Kwa MO, kauli mbiu yetu imekuwa daima: Tunagusa Maisha Yako. Na leo, dhamira hiyo inapanuka zaidi tunaposimama bega kwa bega na moja ya timu kubwa kabisa nchini. Kupitia MO Taifa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wataje hapa CEOs walioleta mafanikio makubwa kwenye kampuni walizosimamia na CEOs waliozingua

    Nianze mimi Walioleta mafanikio CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu NALA - Benjamin Fernandes, kakimbilia Kenya akidai mazingira ya biashara yake kwa Tanzania magumu...
  17. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hersi Said amepotosha kuhusu mkataba wa Yanga na kampuni ya BlackBird AI

    Nimetoka kuangalia clip ya Rais wa Yanga Hersi Said akisema wameingia mkataba na kampuni ya Artificial Intelligence inayoitwa Blackbird AI. Kwa maelezo yake anasema mkataba huu ni kwa ajili ya kuiwezesha Yanga kupata analysis za wachezaji wakiwa mazoezini na katika mechi. Huu ni upotoshaji...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

    Tiririka & serereka.
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Faida za kufanya Biashara kama kampuni

    1. KAZI NA MIKATABA (Tenda) Ukisajili biashara yako kama kampuni, nafasi ya kupata kazi kubwa za mkataba (contract au tenda) huongezeka mara nyingi zaidi. Makampuni na taasisi nyingi hupendelea kushirikiana na kampuni badala ya mtu binafsi, kwa sababu kampuni huonekana kuwa na uwajibikaji na...
  20. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni Single member company ?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza kwa sheria za kampuni hapa tanzania kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni single member company, kwa maana ya kuwa Director ndo huyo huyo share holder? Kuna tafiti zinaonyesha kuwa kulingana na mabadiliko ya sheria hili swala linawezekana, ila nimeona...
Back
Top Bottom