kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kampuni kubwa zaidi ya Madini Duniani yaachana na mradi wa Nickel wa dola bilioni 2.5 nchini Tanzania

    Kampuni kubwa zaidi ya uchimbaji madini duniani, BHP Group (BHP.AX), imeamua kuuza hisa zake kwenye mradi wa nikeli wa Kabanga uliopo nchini Tanzania kwa mshirika wake, Lifezone Metals (LZM.N). Mradi huo una thamani ya takribani dola bilioni 2.5, na Lifezone imethibitisha kuwa itanunua hisa hizo...
  2. iCode

    JamiiForums Tanzania Nanunua Kampuni yenye leseni ya usafiri wa Anga.

    Umofia kwenu wanajamvi. Ninatafuta kampuni inayouzwa na inayojihusisha na maswala ya usafiri wa Anga (Abiria na Mizigo). Sharti iwe na usajili na iwe na umri wa at least miaka mitano (5). Kampuni hiyo iwe au isiwe na vyombo hivyo vya usafiri sio hoja kubwa, ni kuwa na leseni (5 years on...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO ZSSF iamke usingizini, Kampuni nyingi Zanzibar zinawakata Wafanyakazi lakini fedha hazifiki

    Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) haifuatilii michango ya wanayokatwa Wafanyakazi kwenye kampuni, wanafanya kazi kwa mazoea au wanaziogopa baadhi ya taasisi. Hali hiyo inatukuta Wafanyakazi wa Kampuni ya IRIS inayohusika na masuala ya ujenzi wa barabara mbalimbali Zanzibar na...
  4. Camo

    JamiiForums Tanzania Utii Ulikuwa Njia ya Kuishi, Mpaka Pale Alipokua C.E.O Kisha Kuua Kampuni - Biograph ya Tedi

    Alizaliwa kwenye familia ambayo haikuamini katika mazungumzo, haikuamini katika kuelewana, haikuamini katika maoni mbadala. Bali heshima ni utii usiohoji, na upendo ni zawadi inayotolewa tu kwa wale wanaofuata mstari. Baba alikuwa mwepesi wa hasira, mzito wa kusikiliza. Kosa dogo lilimaanisha...
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu Wengi Hushindwa Kumiliki Kampuni Zao?

    Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Kusajili Kampuni Kabla hujaanza mchakato wa usajili, ni muhimu kuwa na maandalizi ya kutosha. Kwanza, hakikisha unaelewa sheria na kanuni zinazoongoza usajili wa kampuni. Ikiwa hauna uelewa wa kutosha, wasiliana na mtaalamu mwenye uzoefu. Pili, fahamu gharama...
  6. Liu Yun

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumuajiri Kwenye kampuni au Kazi yako?

    Kwa mtazamo mkubwa watu wengi wenye Makampuni, au watengeneza ajira hasa zinazo hitaji ubunifu kwasasa hawaajiri watu wenye alama kubwa za kiakademiki/darasani 85-100%. Bali Hupenda kuwaajiri watu wenye 60-80%. Hii ni kwanini?
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli fulani ila watu wa Iringa tunawasingizia kwa kupenda kitoweo cha mbwa ila watakaokuwa wanasingizia ni mikoa hii

    Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri. Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya mbwa inatoa nguvu au huweza kutibu magonjwa fulani ya kienyeji. Mkoa wa Shinyanga na simiyu baadhi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania law graduate

    Anahitajika kijana aliyemaliza degree ya SHERIA. Umri usiwe zaidi ya miaka 30 awe mkazi wa Arusha.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu na kuendesha kampuni ya usafi

    Nitangulize shukrani kwa yeyote atakaechangia mawazo yake. naomba kwa yule mwenye uzoefu na biashara ya kuendesha kampuni ya usafi anisaidie kunipa muongozo wa uendeshaji na changamoto zake. Ahsante
  10. Ramjane OG

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kampuni (Contractor au Consultant Firm) ya Kufanyia Internship ya Quantity Surveyor

    Mimi ni Graduate in Quantity Surveying and Construction Economics at Ardhi University natafuta kampuni (contractor au consultant) ya kufanyia internship/ hata ajira itakua vizuri popote Tanzania. Msaada Plz wakuu🙏🙏
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hili ni jambo la mafanikio kwa nchi pia au kwa kampuni binafsi tu?

    Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa Katiba ya Kampuni

    Usajili wa Kampuni unahitaji documents nyingi, moja ya document muhimu ambayo kama ikikosewa utakataliwa usajili ni "Katiba ya Kampuni" Ili katika yako iwe imekamilika inahitaji kua na vipengele kadhaa, hivi ni baadhi na vya muhimu zaidi; 1. Jina la Kampuni Jina la Kampuni linatakiwa kuonekana...
  13. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa suruali za vitambaa(boss na kampuni zingine)

    Niaje wakuu kwa wauzaji wa suruali za vitambaa kampuni ya boss na kampuni zingine tuonane pm kwa mawasiliano zaidi nashida na suruali hizo
  14. L

    JamiiForums Tanzania Haya ni mambo matatu ya kuzingatia kabla ya Kufungua Kampuni

    Kampuni ni model ya biashara inayopendwa sana na ambayo infant ni rahisi sana ku scale. Lakini Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla hujafanya maamuzi ya kufungua Kampuni; 1. Capital Mtaji una play part kubwa sana ya Kampuni, ni lazima ujue unahitaji kuandika ni capital kiasi gani utaanza...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ewe CEO wa kampuni hakikisha unafanya haya kabla ya tarehe 30/6/2025 kuepuka faini ya TZS 300,000

    • Kulingana na Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Kodi ya Mapato ya mwaka 2004, pamoja na kifungu cha 39 na 48 ya Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya mwaka 2015, kila kampuni iliyosajiliwa, biashara ya ubia, na biashara binafsi yenye mauzo ya kuanzia TZS milioni 100 kwa mwaka, inatakiwa kuandaa na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania BASATA yafuta kibali cha kampuni inayoendesha Shindano la Miss Tanzania

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua uamuzi wa kuifutia rasmi Kampuni ya The Look Company Limited leseni ya kuendesha shindano la Miss Tanzania, Uamuzi huo umetolewa baada ya kampuni hiyo kushindwa kutekeleza maagizo halali ya Baraza licha ya kupewa maelekezo kwa nyakati tofauti kupitia...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani Bora kuagiza Gari nje ya nchi? Japan, UK, Singapore etc

    Nimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi; 1. Be forward, 2. SBT Japan, 3. Enhance Auto.
  18. hp4510

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Kampuni & Compliance Journey for Businesses in Tanzania

    Tuwasiliane leo: WhatsApp: +255674916323 Piga: +255674916323 Huduma Zetu: USAJILI wa Kampuni, Jina la Biashara,Vikundi na NGOs - Kwa muda mfupi! Tax Clearance Leseni za Biashara Company/NGOs Profile Usajili wa Alama za Biashara na Huduma Blog na Website, na mitandao ya kijamii Sera ya...
  20. ubongokid

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

    Habari nilizopata Usiku huu ni kwamba Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za Nishati na Sekta za Madini Mkoani Arusha. Mwenye taarifa zaidi naweza kutupa zaidi.Ila nimpe Pole...
Back
Top Bottom