Nianze mimi
Walioleta mafanikio
CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank
NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu
NALA - Benjamin Fernandes, kakimbilia Kenya akidai mazingira ya biashara yake kwa Tanzania magumu...
Nimetoka kuangalia clip ya Rais wa Yanga Hersi Said akisema wameingia mkataba na kampuni ya Artificial Intelligence inayoitwa Blackbird AI.
Kwa maelezo yake anasema mkataba huu ni kwa ajili ya kuiwezesha Yanga kupata analysis za wachezaji wakiwa mazoezini na katika mechi. Huu ni upotoshaji...
1. KAZI NA MIKATABA (Tenda) Ukisajili biashara yako kama kampuni, nafasi ya kupata kazi kubwa za mkataba (contract au tenda) huongezeka mara nyingi zaidi. Makampuni na taasisi nyingi hupendelea kushirikiana na kampuni badala ya mtu binafsi, kwa sababu kampuni huonekana kuwa na uwajibikaji na...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza kwa sheria za kampuni hapa tanzania kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni single member company, kwa maana ya kuwa Director ndo huyo huyo share holder?
Kuna tafiti zinaonyesha kuwa kulingana na mabadiliko ya sheria hili swala linawezekana, ila nimeona...
Machine kadhaa na magari mfano ile Rolls Royce yenye insurance ya Sh.55,000,000 ni mali ya Abdul. Ameiandikisha kwa China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania.
Nchi inamegwa halafu wanaweka majina ya Wengine
Britanicca
Yu Donglai, mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Pang Dong Lai, hivi karibuni ametambulisha sera mpya ya kazi anayoita “likizo ya kutokuwa na furaha.”
Kupitia sera hii, wafanyakazi wanapewa uhuru wa kuchukua mapumziko wakati wowote wanapojisikia wamechoka, wamesongwa na mawazo, au...
Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC)
Habari zenu wanajamii forum,
Kampuni ya Apple wametangaza rasmi kupitia Apple Security Bounty Program kwamba watatoa hadi $1,000,000 (takribani Bilioni 2.5 Tsh)...
Ngoja niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Mimi nadhani inawezekana kuwa na kampuni 2 tofauti zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi
1) Kila kampuni inakuwa na rangi yake ya mabasi yake kwamfano
Kampuni Moja mabasi yake ni ya kijani
Kampuni ya pili mabasi yake ni Njano
2) Kampuni...
Kama ipo nijulisheni kuna chimbo lina odds za uhakika mwezi october. Nataka kusuka mkeka niweke milioni 200.
Mkeka nitakaosuka utakuwa hivi
Rais - Mama Abdul wa Dp World
Mbunge Moro - Abood
Mbunge Gairo - Shabiby
Mbunge Arusha - Makonda
Mbunge Iramba - Mwigulu
Mbunge Mtwara mjini - Double...
India imepiga marufuku kampuni zote za michezo ya kubahatisha mtandaoni zinazohusisha pesa halisi, kuanzia tarehe 21 Agosti 2025 baada ya kupitishwa kwa Sheria ya Kukuza na Kudhibiti Michezo ya Mtandaoni, 2025.
Muhtasari wa Sheria Mpya
Kimepigwa Marufuku
Michezo yote ya mtandaoni yenye...
Fee za usajili wa Kampuni BRELA, zinatofautiana kulingana na capital ya Kampuni.
Kwa capital ya 1M mpaka 4M Brela wataku charge 222,200.
Kwa capital ya 5M mpaka 10M Brela watacharge Tsh. 333,000.
Watu wengi sana wanabana capital ili walipwe fee ndogo lakini hii huleta effect kwenye biashara...
Hpo makumbusho stand kuna maspika Makubwa, muziki unapigwa kuanzia asubuhi mpaka Jioni, Muziki wenyewe unatangaza kampuni ya mix by Yass. Yaani wafanyabiashara wengine walioko hapo wanateseka, makelele mtindi mmoja hakuna kusikilizana. Hii siyo sawa.
Pia tunauliza mamlaka za kudhibiti kelele...
Habari,
Wakuu karibuni niwatengenezee website haraka na kwa bei poa kabisa ya shilingi elfu 50 tu unaruka hewani mtandaoni ndani ya masaa 24.
Nikuwekee na domain ya biashara yako bure kwa mwaka mzima mfano example.com bila malipo, hii sii ya kukosa.
Kumbuka Website hii unaweza kuitumia kuuzia...
The Ngaka Coal Mine /Tundu Lissu's Arrest
The Ngaka Coal Mine, located in Mbinga District, Ruvuma Region, is the same mine that opposition leader Tundu Lissu was speaking about shortly before his arrest.
In 2011, the Government of Tanzania entered into a Public–Private Partnership (PPP) with...
Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla.
Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini.
Lakini...
Wakuu, Habari!
Watu wengi hufikiri kuwa na website ni kwa watu wenye biashara na makampuni tu… lakini si kweli! Unaweza kuwa na website kwaajili ya familia yako, watoto, wazazi, au hata wewe mwenyewe.
Faida za kuwa na website yako:
Hifadhi kumbukumbu zako: Picha, video, na mafaili mengine...
Mwezi huu peke yake mpaka kufikia Leo nimebadili taarifa za Kampuni 3 Tatu, hizi ni steps nilizotumia kubadili taarifa za Kampuni hizi ambazo ukizifuata utabadiki taarifa za Kampuni Yako ndani ya dakika 15 Tuu.
1. Log in kwenye website ya Brela ORS
2. Chagua new services hapa zitakuja list ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.