Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole sana na kuwatakia subra tele kutokana na msiba huu mkubwa uliowapata kipindi bado mna mna muhitaji...
Kwa wafanyabiashara wakubwa wa GAS kuna mitungi inauzwa ipo 300 cylinder zisizo na gas.
Mtungi mmoja bei (Bila Usafiri) 14,000.
Kampuni iliyopo ni Taifa/Mihan Gas...
Anahitajika Mfanyabiashara atakaeweza inunua kwa pamoja mitungi yote 300 na sio 200 wala 250 wala 270 bali ni yote 300.
Bei...
Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya mataifa ya Magharibi dhidi ya Moscow.
Nchi za Magharibi zilizuia dola bilioni 300 za mali za kifedha za...
Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria.
Natanguliza shukrani
Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa:
OUR SERVICES
1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000)
2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada)
3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
Habarini ndugu zangu naitwa Laurian,
Ningependa kuomba kujua vitu mbalimbali muhimu kuhusu Ufunguaji wa Kampuni ya Usafi.
Je, naitaji kuwa na vibali kutoka wapi?
Je, Unaweza kuanza kazi ukiwa na mtaji wa shingapi na wafanyakazi wangapi?
Pia malipo yake yakoje kama iwapo ntafanikiwa wale...
Basi tulilolitumia ambalo lilikwama njiani tukasaidiwa na RTO (Regional Traffic Officers)
Nikiwa mmoja wa Wasafiri katika Basi la BM, tukitoka Dar kuelekea Arusha, ambapo liliondoka Dara majira ya Saa Nane Mchana jana Mei 19, 2024, tulikutana na changamoto ya kiufundi njiani.
Picha linaanza...
Kuna matangazo mengi ya kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na Data mitandaoni na watu wanaamini na kupigwa pesa kila uchao. Lakini pamoja na mitandao husika kutajwa bado wao wako kimya kama vile hayawahusu.
Je, ni kweli huduma ya kuungiwa vifurushi imebinafsishwa? Au ni wizi ambao na...
Baafhi ya kampuni zimekuwa zikiwatumia wateja ujumbe kuwajulisha tatizo la umeme. Nadhani ni suala la kiuungwana sana. Mimi nimetumiwa ujumbe na kampuni ya mawasiliano ninayotumia, na kuna huduma nyingine nimetumiwa ujumbe pia.
Kwa kweli nimejisikia faraja. Je umepata ujumbe wa huduma yoyote...
Wakuu vipi?
Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje?
Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
Wiki hii kampuni ya simu ya Safaricom ya Kenya imefikisha mapato ya dollar bilioni 1.07 kwa mwaka na kuifanya kampuni ya kwanza katika ukanda wa Africa Mashariki kufikisha na kupita kiwango cha mapato ya dollar bilioni kwa mwaka.
Nashauri hii usemi nikiunga bando nawapa hela mnasema ndugu mteja ombi lako linashuggulikiwa utapata ujumbe ...
. hapana mana hilo sio ombi
Semen amri yako inashughulikiwa
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu.
Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
Hebu angalia Tangazo lao
Halafu angalia walichokifanya nusu saa kabla ya muda
Hii ni Aibu kwao na Mamlaka zinazowasimamia
Nimeweka ushahidi huu ili kuondoa uongo uongo kwenye masuala ya msingi, hizi hela tunazoweka humu si zao ni zetu wajaribu kutuheshimu
Habarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani .
Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea...
Serikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki.
Kuna kampuni nyingi kwenye mitandao inachukua taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho.
Nitakufa na mtu...twiga loan kaeni tayari I will ....@%&you
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.