kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni sababu zipi zilizosababisha kampeni ya No Reforms No Election kupungua nguvu na kupoteza mvuto ndani ya kipindi cha muda mfupi ?

    Wajuzi wa sayansi ya siasa karibuni
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lipumba: 2020 nilifanya kampeni nchi nzima, nikachinjiwa Mbuzi lakini nilipata kura 0

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu maalum wa CUF wa kuchagua wagombea nafasi ya urais kwa upande Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, Profesa Ibrahim alikumbushia dosari zilizotokea kwenye Uchaguzi wa 2020 Akitoa mfano namna ambavyo pamoja na kuchinjiwa kipindi cha kampeni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kufanya kampeni ni lazima,kwa nini CCM wasisubiri tu mpaka siku ya uchaguzi watu wakawapigie kura

    Niseme kwanza sitoshiriki kupiga kura,lakini naona ni jinsi gani viongozi wanamatumizi mabaya ya pesa,hii gharama ya kuzunguka inchi nzima kwa msafara wa viongozi na wapambe CCM wanashindwa kukaa nyumbani kuokoa gharama halafu wajitokeze tu siku ya kupigiwa na kupiga kura,maana kwa hayo...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Mitambo iko sawa, Kampeni rasmi kuanza Agosti 29, 2025

    Stephen Wasira amesema Mitambo iko sawa, Agosti 29,2025 tutanza Kampeni rasmi na kwa muda wa siku 60 mitambo itaenda kila mahali Tanzania
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kailima: Kutumia Mabango ya Kampeni lazima upate idhini kutoka Tume au Wasimamizi wa Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema, "Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM ampigia kampeni mgombea mmoja kabla ya kura za maoni

    Wakuu Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe. Kupitia video...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu, tumia tu TV kunadi sera zako kuliko kutumia mabilioni kufanya kampeni. CCM haina mpinzani yeyote! Mpinzani yuko jela!

    Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
  8. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Baada ya myaka mi5 tutakuwa mikononi mwa wahuni at 100% (kabla hatujaufikia uchaguzi tujue hili)

    Nanukuu nilichojifunza kwenye interview ya mzee BUTIK nachangany ana zakwangu. Hebu piga picha ya kina unaposoma uzi huu, piga picha ya kina ambacho nchi yetu inazidi kudidimia ktk misingi ya demokrasia na namna nchi inavyoendeshwa kiujumla. Kwanza niwasalimu Salaam the learned ones and dear...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Samweli Karao apiga Marufuku Kampeni za Siasa Msiba wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Arumeru

    Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayeongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arumeru, Albert Elias Mollel, amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia msiba huo kwa malengo ya kisiasa. Akihubiri mbele ya viongozi mbalimbali...
  10. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Kampeni Ya Kataa Ndoa Ilitabiriwa Zamani Itakuja Nyakati Za Mwisho

    Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo. Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu. Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya ‘Anzia Ulipo’yazinduliwa rasmi Dodoma

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya kitaifa ya “Anzia Ulipo” iliyozinduliwa jijini Dodoma Julai 16 mwaka...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Watu 15 wakamatwa Uganda kwa kuharibu mabango ya kampeni ya rais

    Wanachama 15 wa chama cha upinzani cha National Unity Platform nchini Uganda, wameshtakiwa kwa kuharibu mabango ya kampeni ya Rais Yoweri Museveni, kwa mujibu wa ripoti ya tovuti ya kibinafsi ya Chimp. Polisi wanasema 15 hao waliharibu mabango katika mji mkuu wa Kampala siku chache kabla ya...
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video Rais Ruto wakati wa kampeni akiahidi kutoa Ajira kwa vijana Vs Uhalisia kwa sasa

    Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya. Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana. Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye. Source: TRT AFRIKA
  14. R

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli, kampeni za kimya kimya wafanyazo ccm zimetokana na operation ya NRNE?

    Hellow! Kwamba kwa kuwa bila CHADEMA kutokea uwanjani na kugomea mechi kuchezwa bila Reforms ,hapatokuwa na hamasa ya mchezo, hivyo maamuzi ni kufanya mambo kimya kimya? Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu amegomea mechi isifanyike, wameamua kufanya hekaheka za kimya kimya? Kwamba zoezi la...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Uchapakazi wa Rais Samia walinasa na kuliteka kundi la Wasomi na Vijana Wa Vyuo Vikuu. Wapania kumpigia kampeni nyumba kwa nyumba

    Ndugu zangu Watanzania, Mambo yanazidi kunoga, mambo yanaendelea kuwa matamu, mambo yanaendelea kuwa motomoto. Rais Samia anaendelea kuteka mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga mioyoni mwa watu, Rais Samia anaendelea kuteka na kukonga mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nauza Wazo la Kampeni Litakalokufanya Upendwe na Jimbo Lako Ndani ya Muda Mfupi!

    Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao. Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote! Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mambo haya nadhani ni mpango mkakati kuelekea kampeni

    1. Boti ile kusafirishwa Kwa semi nadhani ilikuwa sehemu ya kampeni. 2. Kukamatwa Madawa ya kulevya na mtu kupewa biriyani ilikuwa ni kutafuta vya kujazia nyamamyama kwenye hotuba ya Leo ila tukio ni upishi na chai ya tatepa. 3. Ongezea.
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimepewa wito nigombee Ubunge lakini nimeambiwa hamnahamna niandae 30M kwa kampeni. Nifanyeje?

    Ijumaa Kareem! Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi! Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja. Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye. Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mbona ni kama Rais Samia kaanza kampeni tayari?kwa nini hachukuliwi hatua na mamlaka?

    Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni. Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wanasheria Tanganyika kimezindua Kampeni ya kutokomeza Mawakili Vishoka

    Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimewataka wananchi kuwa makini na watu wanaotoa huduma za kisheria bila ya kuwa mawakili(maarufu kama vishoka) ili kujiepusha na madhara yanayoweza kujitokeza. Akizungumza kwa niaba ya Kamati ya Malipo ya Pamoja na Mapambano Dhidi ya Vishoka (anti vishoka)...
Back
Top Bottom