kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Nishati safi ya kupikia yarudisha uoto wa asili Njombe

    Bodi ya Nishita Vijijini (REB) imefurahishwa na kupongeza hatua za baadhi ya Magereza nchini kuanza kurudisha mazingira katika hali yake ya uoto wa asili baada ya magereza hayo kuacha kutumia kuni na mkaa kupikia na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia. Pongezi hizo zimetolewa leo Agosti 21...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sasa tunakwenda kwenye kampeni za ama tupige kura au lah sio Rais na Wabunge tena

    Kwa hali ya mambo ilipofikia uchaguzi wa mwaka huu ni KUPIGA KURA AU KUBAKI NAYO ndio kampeni kubwa ya mwaka huu. Sio kampeni za Rais na Wabunge tena. Naikumbusha Dola kuwa kama nchi tumeshatumia rasilimali nyingi sana kujenga uwezo na mifumo ya uchaguzi tusikubali hasara ya kurudi nyuma na...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kelele zote hizi Bado Mh Rais, sisi raia tunatekwa?hivi utatwambia Nini kwenye kampeni?

    Mh Rais Leo Kuna habari mitandaoni Kuna kijana kutoka mkoa wa geita mwimba nyimbo za injili ametekwa baada ya kutoa nyimbo iliyowauzi nyinyi watawala Je Mh Rais Hawa watanzania unao IKULU?
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, usambazaji wa vifaa kama tisheti, Kofia na vitenge vya vyama kabla ya kampeni ni sawa, au ni mbinu ya kudhoofisha demokrasia?

    Wakuuuu! Wakati taifa letu likielekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, vyama vya siasa vimeanza mchakato wa kuwapata wagombea wao. Hata hivyo, kumekuwa na hali inayoibua mjadala, baadhi ya vyama vimeonekana kugawa kofia, tisheti na hata vitenge vyenye nembo zao kabla ya muda rasmi wa kampeni...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Katika kampeni za mwaka huu kwa wagombea wa urais wataje utajiri wao ili tunaposikia kuwa wametoa hela za ujenzi wa miradi tusishangae

    Huu ni wito tu ili tusije kuparurana huko mbele, habari za Samia kajenga nyumba za Walimu, Samia katoa pesa za ujenzi wa barabara zinapaswa kuwa wazi kulingana na vipato vyao. Ni hayo tu
  7. Rule L

    JamiiForums Tanzania Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

    Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo. Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu?? Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili avitaka vyama vya siasa kuwasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukomo wa matumizi ya Kampeni za Wagombea Urais ni Billioni 9

    Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapejo, amebainisha kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 watapaswa kuzingatia viwango vya juu vya matumizi ya fedha vilivyowekwa. Kwa mujibu wa maelezo yake...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mutungi: Fanyeni kampeni za kistaarabu wakati wa kuwanadi wagombea

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa. Akizungumza...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mutungi: Mkafanye kampeni za kistaarabu, mtaambiwa uchaguzi haupo, msikate tamaa

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa. Kwa hali ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Matusi marufuku kwenye Kampeni. Kuna maisha baada ya Uchaguzi

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa. Akizungumza...
  13. mtotofisi

    JamiiForums Tanzania Kampení za Kumrithi Job NDUGAI zinahitimishwa Leo Jimboni Kongwa

    KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia nia kuhitimisha kwa kata 11 zilizobaki na kesho Ijumapili ndiyo siku rasmi ya kujua nani atarithi...
  14. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bilionea Chief Godlove kuchangia Bilioni 50 kampeni za CCM

    Bilionea tokea Pande za Kyela ameahidi kuchangia Chama Chetu kwa 50 b TZS ili kufanikisha kampeni za CCM mwaka huu
  15. Ileje

    JamiiForums Tanzania TFF iadhibiwe na FIFA endapo haitaiadhibu Yanga kwa kushiriki kampeni za CCM!

    Ni wazi Yanga imekiuka kanuni za FIFA kwa kushiriki kampeni za CCM katika uchaguzi mkuu wa kisiasa kupata viongozi wa serikali. Kwa hiyo ili kuepuka rungu la FIFA na kulinda heshima ya nchi kimichezo lazima TFF ichukue hatua za kuiadhibu Yanga ikiwa na pamoja na kuifungia kushiriki mashindano yo...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe jinsi Hayati Magufuli alivyokataa pesa za Matajiri akiwemo Mzee Mengi katika kampeni zake

    Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe. Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje? Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
  17. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwamposa achangia milioni 50 Kampeni za CCM Uchaguzi Mkuu 2025

    Mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa amechangia Milioni 50 kwenye kampeni za CCM katika harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM , katika hafla inayofanyika usiku huu
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Bado Mimi Nina hoji.Bilioni 100 ni za kampeni kweli? Huu ndo Muda mke jirani alitiwa mimba kavu kavu

    Mimi Bado Nina hoji bilioni 100 ni za Nini aise? Ni kampeni mnapanga kuifanya aise ccm seeni ni PESA za KUWAONGA wake zetu?
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
  20. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

    Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu. NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo...
Back
Top Bottom