Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).
Shule ya Sekondari ya Mwambisi Forest iliyopo Kibaha, mkoani Pwani, imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika kampeni ya upandaji miti iliyoandaliwa na Benki ya NMB, na kuzawadiwa Shilingi milioni 50.
Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hiyo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala...
Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money)
Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho.
Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi.
Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇
1. Poor leadership...
Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na hoja zinazoshinda ndizo zitoe mwelekeo wa taifa na nchi hii...
TUAMUE TU NA TUFANYE HIVI:
Tuwe na...
Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini.
Kama ambavyo...
binadamu
elections
haki
haki za binadamu
iendane
kampeni
mataifa
no reform
no reform no elections
tanzania
ukiukwaji
ukiukwaji wa haki
vikwazo
viongozi
viongozi wa tanzania
wapinzani
RESILIENCE ni USTAHIMILIVU
Kwenye 4R za Rais wetu, “R” moja inahusu USTAHIMILIVU yaani kwa Kijaluo, RESILIENCE. Kwa sasa marubani wetu wa nchi, niwasihi zimeni “R” zote, bakizeni RESILIENCE (Ustahimilivu).
Naelewa, msalani hatuendi na njaa bado inauma! Naelewa, ngedere wapo wanaocheka msitu...
Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
"G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi...
Bill Gates anasema miaka michache inayo kuja, Akili Mnemba ita wa replace binadamu kwenye kazi nyingi Sana ikiwemo udaktari na ualimu..
Duh kumbe ndio maana LIKUD anasema tusipoteze hela EMS?
LIKUD atakuwa mchawi au nabii
🗣️ NO REFORM, NO ELECTION! 🚨
Hatutaingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila mabadiliko ya msingi katika Katiba na mfumo wa uchaguzi! Watanzania wanastahili Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha haki na usawa kwa vyama vyote.
🔥 Hakuna Mabadiliko? Hakuna Uchaguzi! 🔥
Tuwaunge mkono...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema kuwa licha ya muda wa kampeni za ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado kutokuwa rasmi, watia nia katika jimbo hilo wanapaswa kuruhusiwa kufanya kampeni mchana kweupe badala ya usiku.
Mpina amesema kuwa kampeni zinazofanyika kwa kificho...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua kampeni maalum ya siku 48 kwa ajili ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kampeni hii, inayojulikana kama "No Reform, No Election", inalenga kuhamasisha Watanzania juu ya umuhimu wa kupata Katiba...
Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani.
CHADEMA wameshasema No Reform no election, kina Sugu waroho wa madaraka wanadhani wataenda bungeni kirahisi, nawahakikishia...
Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone?
ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo?
au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa?
Je,
ni kwasababu umeona...
Mfalme amesema: “Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena.”
Naongea na wewe, unayepiga kampeni ili kuwafanya watu wakatae ndoa. Pole sana kwa changamoto ulizokutana nazo, zilizokusababishia “ugonjwa” wa kupiga kelele usiku na mchana: “kataa ndoa, kataa ndoa.” Unapiga...
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.
.
Ligi hiyo iliyotarajiwa kurudi Machi nne baada ya mapumziko ya kupisha michuano ya kufuzu Fainali za...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria.
Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024.
Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Wananchi wa vijiji vya Lwega na Mwese vilivyopo halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamesema kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia inapaswa iwe endelevu kwani imewajengea uelewa wa kufahamu mambo mbalimbali ikiwemo kutatua migogoro.
Katika vijiji hivyo migogoro mingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.