Kila kitu mnaona kampeni,ungepeleka ndege wabebee boti1. Boti ile kusafirishwa Kwa semi nadhani ilikuwa sehemu ya kampeni.
2. Kukamatwa Madawa ya kulevya na mtu kupewa biriyani ilikuwa ni kutafuta vya kujazia nyamamyama kwenye hotuba ya Leo ila tukio ni upishi na chai ya tatepa.
3. Ongezea.