kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) yafanya Kampeni ya Upimaji Macho

    Watu mbalimbali wakiwa kwenye foleni ya matibabu ya macho katika kampeni iliyoendeshwa na taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) katika Hospitali ya wilaya Mabwepande jijini Dar es Salaam. Mwisho wa Kampeni ni tarehe 17/06/2025
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya 'Mama Samia Legal Aid' yaifikia Dar, kuzinduliwa na Waziri mkuu Majaliwa

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya utoaji wa msaada wa kisheria bila malipo kwa wakazi wa Dar es Salaam, ijulikanayo kama “Mama Samia Legal Aid”. Kampeni hiyo itazinduliwa rasmi Juni 16, 2025 katika...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Inasikitisha kuona Waziri Mwigulu amegeuza wasilisho la Bajeti ya Serikali kama Jukwaa la Kampeni. Huu ni uchawa uliopitiliza!

    Wakuu, Hivi hili suala limekaaje wakuu? Yaani watanzania wenye itikadi za vyama mbalimbali wako kitako kusikiliza bajeti ya Serikali lakini humo humo Waziri Mwigulu anafanya uchawa kumsifia Rais na kumwambia watu wamachague kwenye Uchaguzi Mkuu Hili ni jukwaa la kampeni au wasilisho la...
  4. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kampeni za Mitandaoni Faini Tsh Million 5

    “Ukitumia mitandao vibaya sheria ipo na mamlaka na vyombo vipo vitakupata, sasa wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma nikisema mnasema Msigwa ametusemea maneno makali, lakini ninachosema ni kwamba vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa kwasababu ukifanya makosa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim yafanya Kampeni ya uchangiaji Damu nchi nzima kuimarisha sekta ya Afya

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), imefanikisha kampeni ya nchi nzima ya uchangiaji damu. Zoezi hili muhimu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Yas yazindua kampeni ya 'anzia ulipo' kuendeleza mapinduzi ya kidigitali visiwani Zanzibar

    Mkurugenzi wa Yas Zanzibar, Ndugu Aziz Ali Said akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanyika jana Zanzibar. Katika hatua nyingine ya kuimarisha na kuendeleza nafasi yake kama kinara wa mapinduzi ya kidijitali nchini, Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imezindua rasmi kampeni ya “Anzia Ulipo”...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Tumefanya hii kampeni ila lazima tukubali tunawajibu wakiingia barabarani kivyovyote vile

    Hawa jamaa wameshajilimbikizia mimali na kadri miaka inavyozidi kwenda wanazidi kutesa wananchi ni wajibu wetu sisi kama wananchi kuingia barabarani kivyovyote vile na hii ndio njia rasmi ya kudai haki mtandaoni tumeshawaweza ni mda wa kuingia barabarani na tutashinda tu wataobaki salama...
  8. syndicate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia teknolojia ku'bold' hoja kwa wananchi wakati wa kampeni

    Wasalam! I declare! PATRIOTISM FORWARD PIA SIASA NI DINI MPYA. Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku. Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Colombia apigwa risasi akiwa kwenye kampeni

    Katika hali isiyo ya kawaida mtoto (15) amekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi Seneta wa Colombia anayewania kuwa rais ajaye wa nchi hiyo. Katika tukio hilo, seneta Miguel Uribe Turbay (39) akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kampeni yake uliofanyika Bogota nchini humo alijeruhiwa...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond ni mkubwa kuliko Chadema.... Mashabiki wa Chadema mtaaibika na hii kampeni yenu

    Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu. Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi. Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Chadema inapoomba kushiriki uchaguzi, huku ikiendeleza kampeni yake ya N. R. N. E, Tuielewaje?

    Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa? Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa, Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya...
  13. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni ya wizi wa vyuma vya earth (earthroad) na koki za shaba, kuweni makini

    Kwa wenye nyumba ambazo hazina uzio, kuna wahuni wanaiba earthroad na koki za shaba. Ni takriban wiki sasa wamepita mitaa mbalimbali ya Kibaha hasa Mlandizi. Kwakua huna ukuta, basi jitahidi chuma kichimbiwe chini zaidi na pia umwage zege around. Mwisho tunaomba jeshi la polisi kufanya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama ningekuwa kampeni meneja wa mgombea wa CCM ningehakikisha USHINDI wa asilimia 90+

    Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu: 1. CCM Ina wagombea wenye...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya no reform no elections ,ni matumizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa

    Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania. Nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa. Poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi mwaka huu hamkuwa na matatizo hadi mkaamua kumfanyia Kampeni Rais Samia?

    Wakuu, Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa mwaka huu mkoani Singida, ujumbe uliobebwa na mabango ya wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) umenisikitisha sana kama mdau...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kampeni za upandaji miti Kitaifa ziliishia wapi?

    Miaka fulani kulikua na kampeni ya Kitaifa upandaji miti January Mosi ghafla ikahamishiwa Aprili ghafla ikapotea. Tumetoka mbali ndugu zangu
  18. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Janabi akishindwa WHO itakua aibu kwetu, apikwe kijadi pia

    Mheshimiwa Janabi akishindwa huko WHO aibu inarudi kwetu. Tafadhali apelekwe Mlingotini apikwe kijadi pia. Siku ya kupiga Kura hao wapigaji Kura waone jina lake tu.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hersi uwanja uliotuahidi kutujengea wakati wa kampeni, umefikia asilimia ngapi?

    Nasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
  20. C

    JamiiForums Tanzania Team ya kampeni ya Prof Janabi ipewe ndege ya ATC kusafiria

    Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Back
Top Bottom