Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).
Huu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima.
Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma.
Nahisi kuna vikao vya mashauriano...
Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji:
Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi:
Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
Ukiwasikiliza wagombea wetu hasa wa urais ambao ni wa chama kimoja japo wanajionyesha kama wanapingana wakati lao moja, huoni sera zaidi ya sura. Wakiahidi, unashindwa kuelewa kama ni nani kati ya mataahira kati yao na wapiga kura.
Mgombea wa urais anakwambia nitafanya hili au lile bila...
Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji:
Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi:
Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
Huku Tanzania kijani kunameremeta kule Uganda ni full njano. Uganda wamekuwa wakimlalamikia Museveni wakidai hawamtaki sasa hao waliokusanyika hapo wametoka wapi au wamesafirishwa?
Ukishindwa kutumia busara katika kunadi sera zako wakati kampeni basi tumia utimamu kuangalia maneno unayozungumza. Ni hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakiingia katika kiwango cha ujinga na upumbavu kwa kutumia maneno ya dhihaka dhidi ya imani za kidini, hasa Ukristo, ili...
Wewe uko kwenye kampeni unaambatana kwenda kwenye makabari ya MAREHEMU kufanyaje?.
Je, Mkapa atapiga kura Mwaka 2025?
Tangu amefariki hujawai kwenda, leo kisa wataka Urais ndo wajitia kwenda kumwomba kura MAREHEMU kwani anapiga kura?
Jana Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni amezindua kampeni zake,
Hapa chini ni sehemu ya Hotuba yake ya uzinduzi
::::::::::::::::::::
HOTUBA YA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI
AGENDA KUU
1. MIUNDOMBINU BARABARA:
Suala la Miundombinu ya Barabara nimelipa kipaumbele cha kwanza kabisa na...
Shamra shamra za kampeni za Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida zimeendelea kupamba moto, ambapo maelfu ya wananchi wamejitokeza kwa wingi kusikiliza sera na ahadi za Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca David Kishoa.
Mkutano huo wa kampeni...
Wana jamvi Jana nimeona convoy ya mgombea urais tiketi ya CCM aisee ni kufuru tupu zaidi ya matoyota 500.Wakati wakazi kimara wanataabika na mwendo kasi kama wanyama .Hata mazao kama mihogo uwa ina pangwa vizuri kwenye gari..Ni Aibu
Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)
"suala la gari kama nilivyosema maelezo aliyoyatoa hapa Mwanasheria Mkuu ndio msimamo wa Chama chetu cha...
Maelfu ya vijana mkoani Tabora wamejitokeza kwa maandamano ya amani wakielekea kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan
Vijana hao walisema wamehamasishwa na kazi kubwa ya maendeleo iliyofanywa na...
Siku zote nasema.
Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku.
Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora.
Hayo yakifanyika, hapa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Agnesta Lambert Kaiza amemsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha anatenga fedha za kutosha kwenye mikopo kwa ajili ya wanawake, vijana na wenye ulemavu.
"Mama Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani akasema...
Ni wazi kwamba polisi tayari wamekwisha anza harakati za kuzuia kampeni hiyo; wakidhani kuwadhibiti viongozi wa CHADEMA kila mahali watafanikiwa kuwafanya waTanzania wasisusie uchafuzi huo unaofanyika Oktoba.
Kuwadhibiti viongozi wa CHADEMA hakuzuii tena kuenea kwa kampeni hiyo miongoni mwa...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amezindua rasmi kampeni za ubunge na udiwani kwa chama hicho katika mkoa mzima wa Kigoma.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Zitto amesisitiza dhamira yake ya kupigania haki za kiraia kwa wazawa wa Kigoma.
Mbali...
Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao.
Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama.
ACT Zitto Kabwela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.