kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Common Folk

    JamiiForums Tanzania M/Kiti Baraza la Wazee DSM: Sisi tunatambua kampeni za uchaguzi na upigaji kura vilienda vizuri sana.

  2. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: Polisi Uganda akichana bango la kampeni ya Mgombea urais Bobi Wine na kufyatua risasi

    Wakati vyama mbalimbali vya siasa vikiendelea na kampeni za uchaguzi mkuu Uganda unaotarajiwa kufanyika Januari 2026, Kumekuwepo na sekeseke la Mikutano ya Mgombea Urais kupitia Chama cha National Unity Platform(NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu(Bobi Wine) kuvamiwa na vyombo vya ulinzi mchini...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wafafanua kampeni ya 'mjue jirani yako' kujengea wananchi uzalendo kutoa taarifa za uhalifu na wahamiaji haramu

    Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Paul John Mselle ametoa ufafanuzi kuhusu kampeni mpya ya “Mjue Jirani Yako”, akisema inalenga kuongeza usalama wa kijamii na taifa kwa ujumla. Akizungumza na Morning Jam ya Capital Radio, Mselle amesema kampeni hiyo ni...
  4. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mabomu ya machozi yapigwa wakati Bobi Wine akifanya kampeni Uganda

    Mkutano wa Mgombea Urais wa Uganda kupitia Chama cha National Unity Platform(NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu(Bobi Wine) uliokuwa ukifanyika eneo la Bbaale nchini humo umeshindwa kumalizika vyema baada ya askari wa Jeshi la Polisi kurusha mabomu ya machozi kitendo kilichowafanya wafuasi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baba Levo awakabidhi pikipiki vijana waliojiandika jina lake kwa rangi wakati wa kampeni

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametimiza ahadi yake ya kuwakabidhi pikipiki vijana wawili waliojitolea kumsaidia kwenye kampeni kwa kujipaka rangi kama ishara ya sapoti. Ahadi hiyo imetekelezwa rasmi jana wakati wa Mkutano wake wa Shukrani, ambapo vijana hao walipokea...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi toka lini kuchana mabango ya kampeni za uchaguzi ikawa kosa kisheria? Ina maana ukiwa mwanajeshi sheria inakulazimisha kuchagua chama tawala tu?

    Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi! Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk! Kwa jicho la 3, mimi...
  8. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Watu wapata ajali ya Trekta wakiwa wanaenda kwenye kampeni za CCM

    Ivi una jua kuna watanzania wanazingua sana unakubalije kupanda TREKTA halafu wenzako wamepanda V8 na viyoyozi ndani wewe na vumbi lako kwenye TREKTA na ka Tsh. 10000 uliyoahidiwa hii ni mbaya JF tusambaze elimu kwa watanzania ambao bado wamelala. ====== CCM mnabeba watu kwenye matrekta kama...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania GE2025 Angella Kizigha ni nani kwenye kampeni za Samia?

    Huyu ni Nani anafanya logistics zote kuliko hata TISS? Je usalama wa taifa mmebariki ili?
  10. Sales man

    JamiiForums Tanzania Chukua chako Mapema wanaendeleaje na kampeni?

    Nauliza CCM C-Chukua C -Chako M- Mapema Mmefikia wapi sasa
  11. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Watu mbalimbali wakienda kujaza uwanja kwenye kampeni za mgombea wa CCM

    Pamoja na mawimbi makali bado ccm imezidi kua imara, ccm imezidi kukubalika sana! Tazama hapa katika video WATU WAZIMA mbali mbali wakienda kusikiliza sera za mgombea wa ccm. Ama hakika CCM inakubalika sana.
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Watanzania wangekuwa hawataki kushiriki Uchaguzi 2025 wasingejitokeza kwenye kampeni

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amejibu maswali kadhaa wakati wa mahojiano aliyofanya na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025; Mnadhani kwa nini Maandamano yanapangwa Siku ya Uchaguzi? Siamini kama Wananchi...
  13. sanalii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukatili wa Samia: Kama wanaosukumana tu kwenye kampeni anataka polisi wawashughulikie, wanaomkosoa je?

    Yani suala la kusema tu hapo mbele msisukumane, anaona suluhisho ni police. Yaani Samia ana kiburi kikali sana kilichochanganyika na unafiki, akiongea utadhani mwema, yaani anahisi kuwa yeye ni mtu special sana, and nothing come close to her. Si ajabu aliechoma picha yake haonekani. Mungu nipe...
  14. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sitisheni kampeni zenu, itisheni mchakato wa Katiba, maandamano ni kweli msipuuze

    Mimi ni miongoni mwa watu wa maono. Nimekwisha ona mbele kua maandamano yapo kweli,tofauti na watu wengi wanavyodhani. Watu wengi wanaishi kwa mazoea kudhani Watanzania ni waoga,la ha sha. Kila kitu kina wakati wake. Watanzania wamechoka na huu sasa ni wakati wake. Wala ishu sio Samaia,Bali...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Godbless Lema atoa orodha ya waliotekwa/kupotezwa kwenye kanda za kichama tangu kuanza kwa kampeni Agosti 28, 2025

    Anaandika mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X 1. Kanda ya Nyasa aliyetekwa ni mmoja Jina: Abedinego Sanga Cheo: Mwenyekiti BAVICHA Jimbo la Lupembe, Mkoa wa Njombe Umri: Kati ya miaka 28-30. Mahali alipotekwa Kijiji cha Matembwe akiwa kwenye duka lake la...
  17. Exile

    JamiiForums Tanzania Mnampigiaje kampeni humu mgombea ilhali mmefungia JF?

    JamiiForums ipo kwa ajili ya mambo mbalimbali, nje ya yote inawaunua vijana kufanya biashara zao humu na kupunguza ugumu wa maisha. Lakini wote mashahidi september 06 mwaka huu JF ilifungwa rasmi na kuacha usumbufu mkubwa kwa watumiaji hasa wafanyabiashara, Hoja yangu kwanini zile...
  18. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CCM Gairo, Ahmed Shabiby afanya kampeni zake kwa helikopta

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kama kuna jambo linakwenda kutokea, dalili ya kwanza itakuwa ni kutoendelea kwa kampeni za Mama bila maelezo

    Huu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima. Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma. Nahisi kuna vikao vya mashauriano...
Back
Top Bottom