fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,692
- 9,294
Ndoa ni mpango wa Mungu,ni mpango wenye manufaa makubwa sana kwa binadamu.
Hivi sasa kumezuka kampeni ya kupinga ndoa,kwa musingi ya dosari za kibinadamu baina wa wanawake na wanaume.Hakuna anayekataa
Kuwa ndoa hazina changamoto lakini manufaa yake ni makubwa mno kuliko matatizo.
Ndoa inahusisha binadamu na kila binadamu ana udhaifu,hivyo kupinga ndoa juu ya misingi kuwa zina matatizo ni upofu wa kijinga kabisa.
Tuongezee juhudi watu wazidi kuoana kwa manufaa ya ulimwengu.Pia ni kumtii Mola wetu.Hebu fikiri jinsi ndoa inavyoleta raha mnajamiiana na mwenza wako hata mkiwa ukweni na wala hakuna atakayewauluza kitu.