kali

  1. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa Polisi wa Kisauni akutwa amefariki Baa baada ya kunywa pombe kali

    Kiongozi Mkuu wa Polisi Mombasa Bw. William Chepkwony amekutwa amefariki leo jumanne katika Baa aliyoingia kwa ajili ya kunywa pombe. Ripoti zinaeleza kuwa mwili wa Polisi huyo umekutwa katika kiti cha Baa maeneo ya Bombalulu. Aidha, inaelezwa kuwa chanzo cha kifo hicho hakikufahamika awali...
  2. The only

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana connection za pamba kali

    Kuna pamba unaziona mtu kavaa town unajiuliza hivi wanazitoa wapi? Mfano mimi natafuta full jeans nyeusi nimeulizia nimeshindwa ukiingia ebay manguo mabayaaaa, huwa naopti mtumba grade 1 nawapa madogo wa pale Karume ofa nzuri wapambane. Pia natafuta leather trouser nyeusi na brown na mapigo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Mtume Muhammad (SAW) anatuusia "Ukiona uovu zuia, kemea au onesha chuki"

    November 8, 2019 Dodoma, Tanzania Katika kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. James Mbatia mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi aelezea hali ya kisiasa na kujamii inayoendelea nchini chini ya serikali ya CCM awamu ya tano kulinganisha na falsafa ya Muasisi...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msijifanye / Msijidai hamjaisikia hii ' Kali ya Funga mwaka ' tafadhalini!

    “ Wasichana msiolewe na wanaume mnaowazidi umri au mnaolingana, maana wanaume huoa baada ya kuwachoka mama zao, hivyo akirudi nyumbani akakukuta unafanana na mama yake lazima ahame tu ” Bw.Alfred Luvanda - Makamu wa Rais wa shirikisho la vyama vya wachimba madini Tanzania. Chanzo Habari: ITV...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku chache tu Taifa la Tanzania liingizwe katika aibu kali ya kufungia huu mwaka wa 2019 huko Misri

    Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa Watanzania ‘ Kisaikolojia ‘ na ikiwezekana hao ‘ Mabalozi ‘ wetu watakasafiti kututia ‘ Aibu ‘ huko...
  6. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwamposa; Kwa jua hili kali sasa ni muda wa kununua maturubai ya kujikinga na jua

    Pengine wasimamizi hawatakwambia hili baba kinachoendelea huko nje ni hatari si kwa watoto hata kwa wakubwa Jua linapiga kila kona baba mpendwa wasimamizi wako wote wako ndani hawaji kwenye jua mpaka muda wa kugawa mafuta Natoa wazo tu hata enzi za Gwajima waliamua kununua maturubai kwa ajili...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Njaa kali klabuni na kutoheshimu 'utaalam wa kiufundi' wasababisha wachezaji muhimu wa Yanga SC kupata majeraha makubwa

    Tukiwa tunawaambieni kuwa mna njaa halafu hamna 'wataalam' wa mpira katika klabu yenu ya Yanga muwe mnatuelewa kwani ni aina yenu ya 'ubishi' ndiyo ambayo imekuwa 'ikiwagharimu' na hatimaye mnajikuta mnafanya vibaya katika mechi zenu mbalimbali kisha mnadai Simba SC inabebwa wakati si kweli...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwili wa kijana wakutwa vichakani huku ukiwa na majeraha ya kitu chenye ncha kali

    MWILI wa kijana mmoja alietambulikana kwa jina la Noel Jengeni Mlilo (27), mkazi wa Wawi wilaya ya Chake Chake ambae ni mwenyeji wa mkoa wa Songwe Tanzania Bara, umepatikana umetelekezwa vichakani katika kijiji cha Mtuhaliwa, wilaya ya Mkoani. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, kaka wa...
  9. Bellami

    JamiiForums Tanzania Nightdress, pajama kali za kulalia

    Pata pajama na night dress kali za kulalia, Dar es Salaam utaletewa popote , mikoani tunatuma 0752976792
Back
Top Bottom