Mali: Wapiganaji wa itikadi kali wawaua wanajeshi 29

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,445
Reaction score
5,110
Wanamgambo wanaosemekana kuwa ni waisalamu wenye itikadi kali wamewauwa wanajeshi 29 na kuwajeruhi 5 huko Mali, walipoivamia kambi ya jeshi iliyoko kaskazini mashariki, Machi 19, 2020

Jeshi la Mali limekuwa likipata mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa waislamu wenye itikadi kali ambao wana uhusiano na alqaeda na Dola ya kiislam (IS)

Ufaransa imetoa msaada wa wanamgambo ili kulinda amani ukanda huo, lakini maafisa wa kifaransa wamesema wameshinda kupunguza vurugu hizo zinazoendelea nchini humo

Mkuu wa majeshi ya ufaransa Francois Lecointre alisema wamali, wanaigeria na wabukinabe hupoteza batalioni moja kila mwaka kwa kuvamiwa mara kwa mara

====
Suspected Islamist militants killed 29 Malian soldiers on Thursday in an attack on a base in the country’s northeast, the army said.

There was no immediate claim of responsibility for the attack in the town of Tarkint, which is about 125 km (78 miles) north of the city of Gao. Mali’s army has repeatedly suffered heavy casualties from jihadist fighters active in the area with links to al Qaeda and Islamic State.

The army said earlier in the day that just two soldiers had died but tweeted later that the death toll had “heavily evolved” to 29 killed and five wounded.

Vast swathes of central and northern Mali are effectively lawless, used by the jihadists as a base for attacks in Mali and into neighbouring Niger and Burkina Faso, where security has deteriorated markedly over the past year.

Former colonial power France has had thousands of troops across the semi-arid band beneath the Sahara Desert known as the Sahel, but French officials acknowledge they have failed to slow the violence.

French army chief Francois Lecointre told senators last month that the Malian, Nigerien and Burkinabe armies were losing the equivalent of one battalion per year to the militants’ attacks.
 
-

Mungu awalanze mahali pema peponi makamandaa
 
Hizi nchi za francophone (ukanda wa Sahel) ni dhaifu mno kiusalama.
 
Wana jeshi wa nchi zingine uwa ni kama walinzi wa SGA ..

Time is a drug. Too much of it kills you
 
Kupambana na mazombi ya kidini huwa sio kazi rahisi maana huwa yameaminishwa mafundisho ya kiajabu na huja yakiwa tayari kufa, ni mapambano yasiyo ya kawaida.
Wakishapata maelekezo na maagizo kwenye misikiti, wanatoka huko wakiwa full mzuka....
 
Ugaidi na uislamu=✖

Hao ni vikundi vilivyotengenezwa na Marekani + Israel.

Hata corona mtabisha haikutengenezwa na mmarekani lakini ukweli umejulikana,,,

Huyu mmarekani mnamuona m2 wa maana sana,,ila ipo cku atakuja kuwatia vidole watu huku,,nyie jichekelesheni hamuwajui mabeberu eti 😁

Na kama ikitokea vikundi hivyo na waislamu wamo humo itakuwa ni wao kwa maslahi yao na co katika mafundisho ya uislamu,,, Uislamu ni Amani!
 
M2 -mtu
Cku-siku
Co-sio

Crap
Ugaidi na uislamu=[emoji808]

Hao ni vikundi vilivyotengenezwa na Marekani + Israel.

Hata corona mtabisha haikutengenezwa na mmarekani lakini ukweli umejulikana,,,

Huyu mmarekani mnamuona m2 wa maana sana,,ila ipo cku atakuja kuwatia vidole watu huku,,nyie jichekelesheni hamuwajui mabeberu eti [emoji16]

Na kama ikitokea vikundi hivyo na waislamu wamo humo itakuwa ni wao kwa maslahi yao na co katika mafundisho ya uislamu,,, Uislamu ni Amani!

Time is a drug. Too much of it kills you
 
Kwahiyo MTU wa maana ni Irani?
Ugaidi na uislamu=[emoji808]

Hao ni vikundi vilivyotengenezwa na Marekani + Israel.

Hata corona mtabisha haikutengenezwa na mmarekani lakini ukweli umejulikana,,,

Huyu mmarekani mnamuona m2 wa maana sana,,ila ipo cku atakuja kuwatia vidole watu huku,,nyie jichekelesheni hamuwajui mabeberu eti [emoji16]

Na kama ikitokea vikundi hivyo na waislamu wamo humo itakuwa ni wao kwa maslahi yao na co katika mafundisho ya uislamu,,, Uislamu ni Amani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mali ni wazembe sani,mwanajehi inakuwaje ulale mpaka adui aje avamie kambi yako? Ingekuwa katumia kombora LA masafa marefu hapo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mali ataweza pigana na majeshi ya israel na marekani?? Hayo mavazi yao yanawadanganyeni nyie wagalatia 😁😁 mzungu mshenzi sana na kawaokota kwelikweri maana kila wanachosema mnaamini.
 
Kupambana na mazombi ya kidini huwa sio kazi rahisi maana huwa yameaminishwa mafundisho ya kiajabu na huja yakiwa tayari kufa, ni mapambano yasiyo ya kawaida.
Wakishapata maelekezo na maagizo kwenye misikiti, wanatoka huko wakiwa full mzuka....
Mengine unakuta yameambiwa yakifa yatapewa masulia bikra 40 huko. Sasa unakuta madomi zege yanaona ndio dili hilo

God save us
 
Wanamgambo wanaosemekana kuwa ni waisalamu wenye itikadi kali wamewauwa wanajeshi 29 na kuwajeruhi 5 huko Mali, walipoivamia kambi ya jeshi iliyoko kaskazini mashariki, Machi 19, 2020

Jeshi la Mali limekuwa likipata mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa waislamu wenye itikadi kali ambao wana uhusiano na alqaeda na Dola ya kiislam (IS)

Ufaransa imetoa msaada wa wanamgambo ili kulinda amani ukanda huo, lakini maafisa wa kifaransa wamesema wameshinda kupunguza vurugu hizo zinazoendelea nchini humo

Mkuu wa majeshi ya ufaransa Francois Lecointre alisema wamali, wanaigeria na wabukinabe hupoteza batalioni moja kila mwaka kwa kuvamiwa mara kwa mara

====
Suspected Islamist militants killed 29 Malian soldiers on Thursday in an attack on a base in the country’s northeast, the army said.

There was no immediate claim of responsibility for the attack in the town of Tarkint, which is about 125 km (78 miles) north of the city of Gao. Mali’s army has repeatedly suffered heavy casualties from jihadist fighters active in the area with links to al Qaeda and Islamic State.

The army said earlier in the day that just two soldiers had died but tweeted later that the death toll had “heavily evolved” to 29 killed and five wounded.

Vast swathes of central and northern Mali are effectively lawless, used by the jihadists as a base for attacks in Mali and into neighbouring Niger and Burkina Faso, where security has deteriorated markedly over the past year.

Former colonial power France has had thousands of troops across the semi-arid band beneath the Sahara Desert known as the Sahel, but French officials acknowledge they have failed to slow the violence.

French army chief Francois Lecointre told senators last month that the Malian, Nigerien and Burkinabe armies were losing the equivalent of one battalion per year to the militants’ attacks.
Iman bila elim ni jazba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom