Mashabikiwa wataka TFF waombe radhi na kuwarudishiwa Viingilio vya Mchezo wa Simba na Yanga ulioahirishwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,715
20210508_185514159720.jpg





Pisi kali huwa inakupa uhakika wa kuja mpaka mida ya kukaribia. Halafu dakika za mwisho kabisa inazingua bila kutoa sababu au kutoa sababu za kijinga.

TFF walitupa uhakika wiki nzima mpaka leo asubuhi kuelelea mchana. Imekuja kuzingua dakika za majeruhi na haijatoa sababu kabisaaaaa.

Pisi kali huwa inazingua lakini kuhusu kurudisha nauli inakuwa kimya. Leo hii mechi imaahirishwa,ila TFF kwenye viingilia wako kimya

Waziri tunaomba utupisheeeeeee
 
Hahahahahaha tumeliwa pesa Zetu
Juz Maxime alisema viongizi wa Tff ni wapumbavu mkabeza
 
Sijaona mchezaji wa yanga aliyetoka umbali mrefu kuja kwenye mechi hii...

Imahine Simba ina mashabiki mpaka nje ya nchi na wamekuja kwa mapenzi yao kwa kukwea mwewe kwa nauli zao kuja kutazama kandanda safi halafu dakika ya mwisho tff wanakuja kufakisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom