kali

  1. TMA: Kiwango cha chini cha joto Dar kufikia 19°C

    Maeneo mbalimbali Nchini yanatarajiwa kuwa na Hali ya Baridi, ikielezwa Mkoani Mbeya kiwango cha chini cha joto kinatarajiwa kufikia 10°C, Iringa 11°C, Arusha 14°C, Njombe 06°C na Dar 19°C Utabiri wa TMA kwa saa 24 zijazo umetoa tahadhari ya vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa...
  2. INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  3. Unapenda papuchi kama mimi? Toa lifti kwa pisi kali, hii njia ni hatari sana

    Mimi nimesha jipambanua, nisipoenda mbinguni mjue ni kwasababu ya uzinzi. Sasa leo ngojeni niwaambie njia ambayo inafanya nisilale njaa. Kwanza tangu nilivyo gundua kipaji changu cha kuwapa raha mabinti, niliamua kutoka na pisi kali tu, yaani nikiona demu mzuri mwenye hips na tacle nikipata...
  4. Top ten yangu ya Slow Jams kali za muda wote

    Waliosoma miaka hiyo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 nadhani hapa mnaweza kukumbuka mengi. Tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye top ten yenyewe; 1. End of the road - BOYZ II MEN 2. I love you - CELINE DION . 3. I'll make love to you - BOYZ II MEN 4. Color of love - BOYZ II MEN 5. Last...
  5. Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa. Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club...
  6. Joto kali lasababisha vifo zaidi ya 1000 nchini Ureno

    Hali ya Joto kali imeendelea barani Ulaya ambapo inakadiriwa watu 1,063 wamefariki kutokana na hali hiyo kati ya Julai 7-18, 2022. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Ureno ambapo Nchi kiwango cha juu cha Joto kilifikia Nyuzi Joto 47C kikiwa ni cha juu zaidi Nchini humo kuwahi...
  7. UN: Mawimbi ya joto kali yataendelea kutokea hadi Mwaka 2060

    Mawimbi ya joto kali yanayoikumba Ulaya Magharibi yatazidi kujitokeza mara kwa mara hadi mwaka 2060. Kitengo cha Utabiri wa Hali ya Hewa cha Umoja wa Mataifa (UN) kimesema hilo linapaswa kuwa onyo katika harakati za binadamu kupambana na mabadiliko ya tabianchi. Aidha, Shirika la Afya Dunia...
  8. L

    Joto kali nchini Hispania lasababisha vifo vya watu 510

    Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Taasisi ya Afya ya Carlos III ya Hispania, watu 510 wamefariki kutokana na wimbi la joto kali nchini Hispania. Joto kali lilianza tarehe 10 Julai, huku joto la juu zaidi nchini humo likifikia kati ya nyuzi 39 hadi 45.
  9. Hali ya joto kali bara la Ulaya (Europe)

    Wakuu hili joto kipindi hiki ulaya ni kwanini inatokea hivyo, huku kwetu ni baridi na maeneo mengine ni baridi kali kwelikweli, Mbeya, Arusha, Moshi, Kagera, Iringa(baadhi ya maeneo), Njombe(Makete), hali ni tete. Baridi maeneo hayo ni kali mno. Hadi baadhi ya wananchi wa maeneo ya jiji la...
  10. Uzi wa katuni kali za wahenga

    Je unawakumbuka hawa miamba? Mi nashukuru walinilea pale sawala primary.....
  11. D

    Usajili wa Sterling: Chelsea wameshapigwa na kitu kizito, chenye ncha kali

    Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule. Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
  12. Wanawake weusi wana joto kali sana

    Baada ya kufanya research ya kutosha Kwa kutumia sampuli zaidi ya 50 nimejiridhisha kwa 100% kuwa mademu weusi ni watamu na wana joto kali kuliko weupe. Pengine ni kwasababu ya kile tulicho fundishwa kwenye sayansi kuwa rangi nyeupe huakisi mwanga wakati nyeusi husharabu mwanga mimi sijui ila...
  13. Tecno yazindua simu mpya ya Camon 19, yenye kupiga picha kali hasa usiku

    Dar es Salaam, Tanzania, 06 Julai, 2022- TECNO Mobile Tanzania, chapa ya simu za kisasa na bora duniani ambayo imekuwa ikitoa teknolojia ya kisasa zaidi kwa watumiaji, leo imetangaza uzinduzi wa toleo lake la CAMON 19 kwa kushirikiana na Vodacom. Toleo la CAMON 19 limekuja ili kukabiliana na...
  14. Simulizi ya kipelelezi na love story kali ndani yake; The Modern War (Vita ya Kisasa)

    𝗧𝗛𝗘 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗥𝗡 𝗪𝗔𝗥 (𝗩𝗶𝘁𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝘀𝗮𝘀𝗮) 𝗠𝘁𝘂𝗻𝘇𝗶:𝘀𝗮𝘂𝗹 𝗱𝗮𝘃𝗶𝗱 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽: 0756862047 𝗨𝗧𝗔𝗡𝗚𝗨𝗟𝗜𝗭𝗜... "Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu kabisa ya uwezo wangu...
  15. Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  16. S

    Kunahitajika Adhabu kali; hali ni tete Tanzania

    Sina haja ya kubwabwaja sana, matendo na vitendo vinavyotendwa katika hujma mbalimbali humu Tanzania ni vya kusikitisha na kuhuzunisha sana. Mauaji ya ovyo ovyo, watu kukatwa mapanga mchana kweupe usiku ndio usiseme, na yote hayo hufanywa na watu wa rika mbali mbali na wakati mwengine au...
  17. L

    Hatua kali za udhibiti wa maambukizi bado ni njia bora zaidi ya kukabiliana na COVID-19 nchini China

    Hivi karibuni, mlipuko wa wimbi jipya la COVID-19 katika miji kadhaa nchini China ikiwemo Shanghai na Beijing umefuatiliwa na vyombo vya habari na jamii ya kimataifa. Watu wengi wanashangaa kwamba, wakati kirusi kipya cha Omicron, ambacho kinaambukiza kwa kasi zaidi na bila ya sumu kali...
  18. INAUZWA Salon kali ya kiume inauzwa- Mbeya mjini (Igawilo)

    Salon kali ya kiume inauzwa kwa bei ambayo ni sawa na bure. Salon ipo Mbeya mjini (Igawilo soko kuu) barabarani kabisa. Salon inakila kitu ndani kama vile FLAT TV MPYA, HAIR CUT MACHINE, SALON CHAIRS, SALON WAITERS SOFA, HEATER, SUBWOOFER nk. BEI NI SHILLING MILLION 1 NA LAKI 2 ( KODI YA...
  19. Nataka Jeans Kali niende Kariakoo au Maduka ya Sinza?

    Wakuu. Nataka jeans kali kama 5 hivi. Budget ya 20,000 mwisho. Najiuliza, niende Kariakoo au nikaoambane maduka ya Vunjabei na Boss Kalewa?
  20. Vigezo vya majiji makubwa Kwa mwanamke kuitwa Pisi Kali, vyawekwa wazi Rasmi!

    Wakuu Kwema! Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha! Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika. Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…