Dear gambe(moja ya Ngoma kali yake Youngkiller)

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
Dear gambe umefanya maisha yangu ya yumbe
Mi nimpambe wako leo nimekutumia ujumbe
Mi ndugu yako nipe ukweli usini fumbe
Uwepo wako karibu vipi unafanya ni yumbe
Kila muda kwene friji unajipoza
Mi domo zege nikisha kutumia natongoza
Nalewa usiku kucha jua lina chomoza
Nasindikiza, na supu asuhi njema unaniongoza
We ni nani unaiyendesha hi akili?
Nnikiwa na mawazo unanitoa stress nisifikili

Ukiwa mezan chupa kadhaa sijiwezi
Mpaka mtaani washa nipa jina jingine la mlevi
Unafanya nafubaa mi mwenzako, Hadi kazini naiba chapaa nije kwako
Dear gambe mitaa ipe ukweli wako
Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako

I wanna know ume nipa nini?
I don't know (i don't know), sikuache kwanini
I wanna know (i don't know) ume nipa nini?
I don't know (i don't know), sikuache kwanini

Yeah, han
Unafanya ndoa nyingi zinavunjika
Hasi chanya we na msosi nikichanganya na tapika
Aukatai kila mteja anae kuarika
Unafurahi na ubaridi wa maji una chilizika
Likitokea tatizo we ndo kimbilio
Nakutinga nakua muongeaji bila mpangilio
Nasahau kinga tamaa ndo kimbilio
We ni funda la ziada unaniumbua mi mwenzio
Unarainisha koo kifikla unani bembeleza
Unani control sijasoma naongea hadi kingereza

Usha niweza, nani aliye kutengeneza?
Na nini aliwaza nawe ni mbaya kwa wasio jiweza
Sa najinyea nanilikunywa kwa furaha
Najikojolea unani athiri na ninatoa cha paa
Dear gambe, mitaa ipe ukweli wako
Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako

I wanna know ume nipa nini?
I don't know (i don't know), sikuache kwanini
I wanna know (i don't know) ume nipa nini?
I don't know (i don't know), sikuache kwanini

Dear gambe, una nitchangana una majina mengi
Mpaka ya mbuga za wanyama, Nashangaa
Mengine yanatia kinyaa, Mfano mzuri
Nigongo chimpumu hata cha ng"aa
Kwenye ubongo umetawala kila secta
Niukweri siwezi kua nawe bila pesa
Watu wengine wana kula ada kisa wewe
Unawafanya nasahau ibada
Na juzi juzi tu nimepata habari
Kuna mwana ulikua nae ameshapata ajali

Dear gambe nikweli unanichosha
Napenda kua nawe ila nyumbani mboga wanakosa
Nawaza jinsi gani ntakuacha
Mpaka wazalendo wa dini bahadhi kwako wame data
Hakuna utata poa sasa najikata
Kapuku nikizipata ntakufata

I wanna know (i wanna know) ume nipa nini?
I don't know (i don't know), sikuache kwanini (i don't know)
I wanna know (i don't know) ume nipa nini? (i wanna know)
I don't know (i don't know), sikuache kwanini

I wanna know (i wanna know) ume nipa nini?
I don't know (i don't know), sikuache kwanini (i don't know)
I wanna know (i wanna know) ume nipa nini? (i don't know)
I don't know (i don't know), sikuache kwanini

Host by
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom