kali

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ::Rafiki yangu akiwa Home anapiga show mbovu ila akiwa Away anapiga show kali sana

    Habari ! Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!, Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

    Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani. Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

    Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania TMA: Kiwango cha chini cha joto Dar kufikia 19°C

    Maeneo mbalimbali Nchini yanatarajiwa kuwa na Hali ya Baridi, ikielezwa Mkoani Mbeya kiwango cha chini cha joto kinatarajiwa kufikia 10°C, Iringa 11°C, Arusha 14°C, Njombe 06°C na Dar 19°C Utabiri wa TMA kwa saa 24 zijazo umetoa tahadhari ya vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa...
  6. Wachatek

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapenda papuchi kama mimi? Toa lifti kwa pisi kali, hii njia ni hatari sana

    Mimi nimesha jipambanua, nisipoenda mbinguni mjue ni kwasababu ya uzinzi. Sasa leo ngojeni niwaambie njia ambayo inafanya nisilale njaa. Kwanza tangu nilivyo gundua kipaji changu cha kuwapa raha mabinti, niliamua kutoka na pisi kali tu, yaani nikiona demu mzuri mwenye hips na tacle nikipata...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Top ten yangu ya Slow Jams kali za muda wote

    Waliosoma miaka hiyo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 nadhani hapa mnaweza kukumbuka mengi. Tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye top ten yenyewe; 1. End of the road - BOYZ II MEN 2. I love you - CELINE DION . 3. I'll make love to you - BOYZ II MEN 4. Color of love - BOYZ II MEN 5. Last...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa. Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Joto kali lasababisha vifo zaidi ya 1000 nchini Ureno

    Hali ya Joto kali imeendelea barani Ulaya ambapo inakadiriwa watu 1,063 wamefariki kutokana na hali hiyo kati ya Julai 7-18, 2022. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Ureno ambapo Nchi kiwango cha juu cha Joto kilifikia Nyuzi Joto 47C kikiwa ni cha juu zaidi Nchini humo kuwahi...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania UN: Mawimbi ya joto kali yataendelea kutokea hadi Mwaka 2060

    Mawimbi ya joto kali yanayoikumba Ulaya Magharibi yatazidi kujitokeza mara kwa mara hadi mwaka 2060. Kitengo cha Utabiri wa Hali ya Hewa cha Umoja wa Mataifa (UN) kimesema hilo linapaswa kuwa onyo katika harakati za binadamu kupambana na mabadiliko ya tabianchi. Aidha, Shirika la Afya Dunia...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Joto kali nchini Hispania lasababisha vifo vya watu 510

    Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Taasisi ya Afya ya Carlos III ya Hispania, watu 510 wamefariki kutokana na wimbi la joto kali nchini Hispania. Joto kali lilianza tarehe 10 Julai, huku joto la juu zaidi nchini humo likifikia kati ya nyuzi 39 hadi 45.
  13. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Hali ya joto kali bara la Ulaya (Europe)

    Wakuu hili joto kipindi hiki ulaya ni kwanini inatokea hivyo, huku kwetu ni baridi na maeneo mengine ni baridi kali kwelikweli, Mbeya, Arusha, Moshi, Kagera, Iringa(baadhi ya maeneo), Njombe(Makete), hali ni tete. Baridi maeneo hayo ni kali mno. Hadi baadhi ya wananchi wa maeneo ya jiji la...
  14. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Uzi wa katuni kali za wahenga

    Je unawakumbuka hawa miamba? Mi nashukuru walinilea pale sawala primary.....
  15. D

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Sterling: Chelsea wameshapigwa na kitu kizito, chenye ncha kali

    Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule. Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
  16. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wana joto kali sana

    Baada ya kufanya research ya kutosha Kwa kutumia sampuli zaidi ya 50 nimejiridhisha kwa 100% kuwa mademu weusi ni watamu na wana joto kali kuliko weupe. Pengine ni kwasababu ya kile tulicho fundishwa kwenye sayansi kuwa rangi nyeupe huakisi mwanga wakati nyeusi husharabu mwanga mimi sijui ila...
  17. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tecno yazindua simu mpya ya Camon 19, yenye kupiga picha kali hasa usiku

    Dar es Salaam, Tanzania, 06 Julai, 2022- TECNO Mobile Tanzania, chapa ya simu za kisasa na bora duniani ambayo imekuwa ikitoa teknolojia ya kisasa zaidi kwa watumiaji, leo imetangaza uzinduzi wa toleo lake la CAMON 19 kwa kushirikiana na Vodacom. Toleo la CAMON 19 limekuja ili kukabiliana na...
  18. SIMULIZI RIWAYA

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi na love story kali ndani yake; The Modern War (Vita ya Kisasa)

    𝗧𝗛𝗘 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗥𝗡 𝗪𝗔𝗥 (𝗩𝗶𝘁𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝘀𝗮𝘀𝗮) 𝗠𝘁𝘂𝗻𝘇𝗶:𝘀𝗮𝘂𝗹 𝗱𝗮𝘃𝗶𝗱 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽: 0756862047 𝗨𝗧𝗔𝗡𝗚𝗨𝗟𝗜𝗭𝗜... "Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu kabisa ya uwezo wangu...
  19. mbinda_smartphones

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kunahitajika Adhabu kali; hali ni tete Tanzania

    Sina haja ya kubwabwaja sana, matendo na vitendo vinavyotendwa katika hujma mbalimbali humu Tanzania ni vya kusikitisha na kuhuzunisha sana. Mauaji ya ovyo ovyo, watu kukatwa mapanga mchana kweupe usiku ndio usiseme, na yote hayo hufanywa na watu wa rika mbali mbali na wakati mwengine au...
Back
Top Bottom