kali

  1. Onyo Kali: Mwanaume usithubutu kuacha ghetto lako na kuhamia kwa Mwanamke. Ni hatari, utaumbuka mbeleni

    Hi, Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba ni kosa kubwa. Kwa asili wanawake hawatabiriki na hawana upendo wa kudumu, mwanamke anataka kitu...
  2. INAUZWA USHUHUDA: Jinsi Fridge linavyofanya napiga show kali kwa Bed

    Habari ya leo ndugu waTanzania na wote msomao mada hii. Hope you are good with your life. Leo napenda niwape ushuhuda wa maisha yangu jinsi fridge lilivyo badilisha maisha yangu na kuongeza ufanisi wangu wa kupiga show kunako majambo. Mimi nimepanga geto, sina mke, ila katika kuhakikisha...
  3. Naweza kupata PC kali kwa bei ya 400,000/=?

    Wakuu kwema? I hope mko poa Nina 400,000/= hapa nahitaji kununua PC, ningependa mnishauri kwa budget hii - Napata Laptop MPYA yenye uwezo gani? na wapi naweza kuipata? - Napata laptop USED yenye Uwezo gani? (Kutoka yale maduka wanayouza used laptops) Naomba mnisaidie katika hili wakuu...
  4. M

    Feisal umemalizana na uongozi bado ujamalizana na mashabiki na wanachama wa yanga wenye hasira kali juu yako

    Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine kilichowakuta wanakijua mpaka sasa wamepotea kwenye ramani ya soka. Kwa maana iyo waombe msamaha wanachama...
  5. Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

    Wasalaam, Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali. Hawa wageni nataka...
  6. Hii ni Kali au fashion eh 😡😡😡

    Mwaka Jana wandoa wanaume wanadai wamama wabaya Wakaenda Kwa michepuko, Mwaka huu wamama na shida zao na comments zao na michepuko . At least mna watoto bwana hebu shukeni mtuambie shida nini ?mbona mama zenu , baba zenu walikuwa wanavumiliana aisee acheni hizo . Vumilieni aisee maana...
  7. R

    Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  8. Hakujawahi kuwa na series kali zaidi ya The Sopranos

    Katika watu waliotulia na kuandika series hakuna kama walioandika The Sopranos.
  9. Picha: Kikosi cha Yanga kilichoichapa Simba 1-0 mwaka 1992, wakiwa na jezi kali tu

    Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika...
  10. Tamthilia ya Jua Kali ilipaswa iishe siku nyingi

    Kwa wale mnaofatilia tamthilia hii mtaungana nami kuwa director Lamata analazimisha kuongeza matukio ili ivutie lakini katika uhalisia ilipaswa iwe imeisha siku nyingi. Bill kashajua mama yake ni aunt Zai, Maria na Frank kila siku vitimbi kama ilivyo femi na luka kila siku drama za kufumaniana...
  11. Serikali isipochukua hatua kali kwa Wafanyakazi wa TRA wanaotuhumiwa kwa rushwa, wafanyabiashara wataathirika milele

    Hima hima Tanzania.🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Waziri mkuu, Jana tarehe 17/05/2023 katika mkutano wako na wafanyabiashara wa k/koo asilimia kubwa ya wachangiaji waliwanyooshea kidole baadhi ya wafanya kazi wa TRA kwa RUSHWA iliyokithiri. Kilichonishangaza hukutoa Kauli yoyote Kali ya kushughulikia changamoto hiyo...
  12. SOLD: Crown Athlete kali sana

    PRICE/BEI:14.8M TOYOTA CROWN ATHLETE YEAR: 2004 ENGINE CAPACITY: 2490Cc ENGINE CODE: KILOMETER: 82,000 AUTOMATIC TRANSMISSION COLOUR:SILVER SPORTS RIMS,MUSIC SYSTEAM,NEW TYRES
  13. Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

    Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani...
  14. Ndoa kwa mara nyingine Tena ya Dula Makabila na Mpenzi wake Naira wa Jua Kali

    Hello!! Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga...
  15. NEMC, Kelele za Bodaboda zina sauti kubwa kuliko hata Baa

    NEMC wamekazana kukamata wenye baa kwa sababu huko kumenona, bodaboda nyingi zina muziki wenye sauti kali sana ya juu ambayo huumiza masikio. Pamoja na kutokunona lakini itakuwa jambo jema kukomesha kelele hizo.
  16. Wachuja Nafaka Na Albamu Yao Kali Kuwahi Kutokea Tanzania

    WACHUJA NAFAKA Tusisubiri Wapotee wote.....ndiyo tuseme waliwahi kutoa Moja ya Albamu kali, Narudia Tena Albam kali kuwahi kutokea Tanzania. Fatilia Uzi Huu utajua kwanini nakuambia Ilikuwa moja ya Albam Kali Tanzania. WACHUJA NAFAKA lilikuwa kundi la Muziki wa RAP lililoundwa na wasanii Juma...
  17. Natafuta sukari Kali ya unga ya viwandani kwa ajili ya utengenezaji wa juice

    Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo. Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.
  18. Haya Mashabiki Wenzangu wa Rhumba na Congo Music Fally Ipupa kaachia Rhumba Kali la MAYDAY

    Hapo nyuma niliwaletea Rhumba lake Kali liitwalo Se Yo na hata bado hatujatosheka na Utamu wa huo Wimbo tayari Fally Ipupa katuletea Rhumba lingine Kali na Tamu liitwalo MAYDAY. Litafuteni haraka ili mlisikilize ila kwa Mimi GENTAMYCINE sasa nataka kuingia Chimbo nijue ni kwanini huyu Mtoto...
  19. Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

    Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu. Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati. Sijafanikiwa bado kuwa uchumi wa juu wa juu. Ila si haba mambo mengi kwa kweli nayaweza. Tena nayaweza...
  20. Movie kali zaidi za kijeshi

    Kali mno
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…