THROWBACK: Demu wangu - Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,017
12,310
Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi

For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana.

Wewe kwako nani aliumiza humu ndani?

Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi

For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana.

Wewe kwako nani aliumiza humu ndani ?
View attachment 2899641
Wote waliumiza ila mi naenda na Ngwair maana alikua anapiga kwenye mbavu.. japo Machozi Mox naye hakua haba ila Ngwair alikua anamfanya Hadi Mchizi anataka kurusha ngumi...

Baadhi ya mistari iliyonikosha ni hii hapa...

Mchizi Mox: Eyo Sikiliza we pimbi huyu demu mi namega kipindi toka enzi zile nasoma shule ya msingi...

Ngwair: We mbona unaongea Kama Taahira.. Wakati demu mi mwenyewe ndo nimemuonesha dira (amembikiri)

Mchizi Mox: Awapi!

Ngwair: Nini sasa hutaki? Kama unamfukuzia jua unapoteza Tu wakati...

Wakabishana Sana Ila mstari Bora zaidi ulikua huu hapa...

Ngwair: kweli unacheza wewe ungejua Kwanza huyu demu kanizimia mwenyewe

Mox: Eeeeeh? Acha kujifagilia huyu demu mi mwenyewe ndo namkamatia...

R.I.P Ngwair
 
Ngwair alimvua nguo mchizi mox
 
Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi

For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana.

Wewe kwako nani aliumiza humu ndani ?
View attachment 2899641
Anaejua muziki aniambie akisikia hii beat anaskia original beat ya wimbo gani?

Jamaa alikuwa anakopi kila kitu beat za nje kama alivyochukua zima zima jina la master jay kutoka kwa member wa dmc...sema sababu hakukuwa na technology na exposure ya muziki ilikuwa ndogo watu hawakusanuka
 
Sasa hapo kuna cha kushindanisha kweli? Sina hata haja ya kutoa maoni sababu ikweli upo uchi sana.
 
Anaejua muziki aniambie akisikia hii beat anaskia original beat ya wimbo gani?

Jamaa alikuwa anakopi kila kitu beat za nje kama alivyochukua zima zima jina la master jay kutoka kwa member wa dmc...sema sababu hakukuwa na technology na exposure ya muziki ilikuwa ndogo watu hawakusanuka
una chuki sana na MJ
unataka fananisha MJ na hao beat makers wako takataka walamba lips wanaofanya mastering kwake ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom