Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,362
108,329
Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda mrefu sana.

Sauti ya Kipekee ya Fally Ipupa inaendana vyema kabisa na Nyimbo zake zote za taratibu ( Rhumba ) hali ambayo inamfanya amuache mbali sana Ferre Gola.

Hebu sikiliza Rhumba la MAYDAY lilivyo tamu, zuri na alivyolipangilia na likapangika huku humo ndani akimpa Maua yake yote Tajiri ( Pedeshee ) wa Kikongo aitwae Adolphe Muteba Chilamwina ambaye hajaombwa tu nae Fally Ipupa bali hata akina Koffi Olomide, Werrason,, Felix Wazekwa na Ferre Gola katika Nyimbo zao zote Mpya huwa Wanamuimba.

Kama ukimaliza kusikiliza Chuma hiki cha MAYDAY muda ukiwepo Sikiliza pia na Rhumba zingine tamu hakuna mfano za ATTENTE, ASSOCIE na SE YO kisha utarejea hapa JamiiForums kukubaliana nami kuwa Fally Ipupa ni Habari nyingine Kimuziki kwa sasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( Congo DR )
 
Naunga mkono hoja Fally Ipupa anajua sana jamaa Ngoma zake nyingi ni kalii sana hii album yake ya formule 7 nyimbo zotee kalii sana kuanzia seyo , science fiction na mayday 🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mwamba fundi sana huyu na track zake nyingine kalii ni original na nidja,amour
 
Mayday niliisikiliza kwenye oraimo kuanzia Korogwe mpk Morogoro nikiwa kwenye Bm, Fally ni noma sana
 
Naunga mkono hoja Fally Ipupa anajua sana jamaa Ngoma zake nyingi ni kalii sana hii album yake ya formule 7 nyimbo zotee kalii sana kuanzia seyo , science fiction na mayday 🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mwamba fundi sana huyu na track zake nyingine kalii ni original na nidja,amour
Tatu zangu kali kutoka kwa rally
1:asocie
2:mayday
3:marie pm
 
Kwenye kipengele cha Rhumba kwa maoni yangu binafsi naenda na Ferre Gola le padre,

Fally ni wa moto tena moto kweli kweli, Mayday unaweza kusikiliza 24/7 bila kuchoka ila Ferre is clear kwa masikio yangu.

Ni kama battle ya Messi(Ferre) na Ronaldo(Fally).
 
Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda mrefu sana.

Sauti ya Kipekee ya Fally Ipupa inaendana vyema kabisa na Nyimbo zake zote za taratibu ( Rhumba ) hali ambayo inamfanya amuache mbali sana Ferre Gola.

Hebu sikiliza Rhumba la MAYDAY lilivyo tamu, zuri na alivyolipangilia na likapangika huku humo ndani akimpa Maua yake yote Tajiri ( Pedeshee ) wa Kikongo aitwae Adolphe Muteba Chilamwina ambaye hajaombwa tu nae Fally Ipupa bali hata akina Koffi Olomide, Werrason,, Felix Wazekwa na Ferre Gola katika Nyimbo zao zote Mpya huwa Wanamuimba.

Kama ukimaliza kusikiliza Chuma hiki cha MAYDAY muda ukiwepo Sikiliza pia na Rhumba zingine tamu hakuna mfano za ATTENTE, ASSOCIE na SE YO kisha utarejea hapa JamiiForums kukubaliana nami kuwa Fally Ipupa ni Habari nyingine Kimuziki kwa sasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( Congo DR )

Vipi mbona siku hizi hawa Mapeshee hawaimbwi kwenye midungo ya Congoleee tena

-Pedeshee Dariol Mulongo
-Josee Kongolo
-Adam Bombole
-Fabrice Wasepe
-Patricke Bolonya

Au hawatoi mpunga wa kutosha?
 
Umefanya hadi niirudie hapa playlist😃😃...kuna Afsana pia iko na good vibe, Associe, Mal accompagne ni 🔥🔥

Mkuu hukuwaza kama Oka ile ya mboso na chibu, wamecopy theme ya Eloko oyo..
Yeah hizo zote nilishazisikiliza jamaa anajua.. ila sijui kwanini eloko oyo ndio my favourite yani mwaka wa sita huu sijawahi kuuchoka.. wale ndugu zetu si wanajulikana ni certified copycats
 
Back
Top Bottom