kali

  1. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

    Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza. Kuna ngoma kali kuishinda hii? https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
  2. JamiiForums Tanzania Kuna namna fulani pombe kali inachangiza na kuongeza muda zaidi wa tendo

    Habari wana JF poleni kwa majukumu ya kazi pamoja na adha ya Mvua nyingi za week hii. Weekend hii imekua poa kidogo japo mifukoni na wallet zimeteteleka kimtindo ila bado tunakomaa na maisha yetu ya kila siku Siko hapa kutoa ushuhuda kama kwa Mwamposa hapana bali imenitokea na ndio sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana?

    Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana? Wajuzi karibuni. Asante sana.
  4. JamiiForums Tanzania Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    Hii game imesimamishwa kwa sababu ya Radi. Dakika 21' Weather conditions cause a suspension of play. The referee brings play to a halt and signals for both teams to head to the changeroom with the increased lightning around the stadium. Game imeendelea baada ya Hali ya Hewa kukaa sawa Hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Tanzania yawa miongoni mwa nchi zilizoongoza duniani kwa unywaji wa pombe kali kwa Vijana Umri kati ya Miaka 15-19

    Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO.. Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza. Kwa mujibu wa World Health Statistics 2023 kiwango cha matumizi ya Pombe isiyozimuliwa (Pure alcohol - 100% ) nchini Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri. Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mrembo mwenye shepu kali ananichanganya sana

    Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu zote, ananijulia hali kwa simu kila lisaa, ananifanyia usafi wa nyumba, ananifulia, wakati mwingine...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Movie ipi ya 'Horror' kali zaidi?

    Movie hizi mbili 'Wrong Turn' na 'Saw' zinaoneshwa katika vyumba viwili tofauti. Mpenzi wa 'Horror Movies' Utaingia wapi?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mika Mwamba ndie Producer pekee alietengeneza biti kali za nyimbo ziliyowahi kusumbua nchi zote za Afrika Mashariki kwa mpigo

    enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU) Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za Afrika Mashariki. 1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down) 2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki), Mad...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Pisi kali za Mjini unalisha na kuivalisha lakini bado inakuona we ni Mshamba tu.

    Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali. Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu. Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa? Tembea uone vichekesho. Fanya mambo yako ewe...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na K Vant huongeza nguvu za kiume

    Habari Jamiichek Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi. Huku mitaani...
  12. JamiiForums Tanzania Wimbo "Mtoto wa Geti kali" wa Inspector Haroun haukuwa kwa ajili ya mwanamke (haukumlenga mwanamke)

    Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume. Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa...
  13. JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali yetu itunge sheria kali ya kuwalinda wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa n.k

    Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga. Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢 Ukiachana na...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini vita ya Urusi na Ukraine sio kali sana ila waliokufa ni wengi kuliko ya Israel na Hamas?

    Hii imekaaje kaaje wakuu kwenye vyombo vya Habari tunaona mashambulizi baina ya Russia na Ukraine sio makali kivile yaani unakuta wanarusha bomu ila linaharibu tu upande wa jengo hatusikii takwimu za kutisha watu kufa ukilinganisha na vita ya Israel pale Gaza yaani ghorofa linapigwa kweli...
  15. JamiiForums Tanzania Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

    Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu...
  16. JamiiForums Tanzania Rwanda kuna njaa kali sana? Wameficha wee Jumuiya ya mataifa imejua

    Hii kashfa ilikuepo siku nyingi sana sema ndo nchi haina vyombo vya habari hamna wa kureport. --- New fears have arisen about the suitability of Rwanda as a destination to send UK asylum seekers after a damning government assessment about the prevalence of poverty and malnutrition in the...
  17. JamiiForums Tanzania Wale Wazee wa movie kali za kutisha vipi nmamtambua huyu mwamba?

    wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
  18. JamiiForums Tanzania Vita kali kati ya Wamasai na Wachaga, 1820,s

    Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa east cars, Dr. Mechanics, Mshana Jr au Samatimes

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa East cars, dr.Mechanics, Mshana jr, Samatimes
  20. JamiiForums Tanzania Jaribio la Israel kuitawala Gaza limeshindwa na vita vinaendelea eneo lote katikati ya njaa kali

    Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze. Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…