Habari wakuu.
Bhana 2015 mwishoni, nilipata tukio la kusisimua sana hadi leo najiuliza nini kilitokea.
Tulikuwa Kahama kikazi, Sasa wikiend tukaenda kula starehe kidogo kwenye bar maarufu pale Chillers.
Nikiwa na colleague wangu, tunakula bia, mida kama saa saba hivi tupo lounge .. wote...
Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi?
Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande.
Kadhia hii imemkuta mchunga...
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.
Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
Taarifa zaidi badae,
Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio.
---
UPDATES;
Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa...
Serikali ya Rais Samia imedhamiria kuifanya Kahama kuwa kitovu cha biashara ukanda wa maziwa makuu, hii inadhihirishwa na miradi mikubwa ya kimkakati alioamua kuiwekeza Kahama.
Nikel refinary, hii itajengwa eneo la Buzwagi itasaidia kuchenjua makinikia ya migodi mbalimbali kutoka ndani na nje...
Habari kutokea Kahama zinasema Dr. Mpango yupo wilayani humo tokea juzi.
Uwepo wake umekuja na adha itakayobakia mioyoni mwa wakazi wa huko Kwa muda mrefu.
Taarifa zinasema jana barabara zote za maana kwa zaidi ya masaa 4 zilikuwa zimefungwa. Hii ikiwa kuanzia saa mbili hadi baada ya saa nne...
Waandishi wa habari Mkoani Shinyanga wameomba mamlaka zinazohusika kuingilia kati vitisho vinavyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga.
Malalamiko ya waandishi wa habari ni juu ya hali ya ulinzi na usalama wao katika shughuli zao pindi wanapoandika habari za changamoto zilizopo...
Kahama ni moja ya miji inayokua kwa kasi sana nchini. Pamoja na hilo, nadhani pia ni moja ya miji michafu sana nchini. Mitaro mingi ya barabarani inatiririsha maji machafu ya bafuni na yakwenye chemba za vyoo. Kuna baadhi ya mitaa ata ukipita kwa haraka unapokewa na harufu kali. Hivi idara ya...
Ndugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA.
Natafuta kazi yoyote ya halali hapa KAHAMA, niifanye kwa miezi miwili hii, mpaka mwezi wa pili ili angalau nipate nauli...
Habari za mchana wadau wa jukwaa hili.
Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa).
Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ?
Asanteni!
Nataka niende Kahama.
(1) Natamani kujua, kwa mabasi yanayofanya safari zake Dar - Kahama, ni basi gani zuri? (Yaani sio bovu) Maana kuna kampuni zinalalamikiwa mabasi yao mabovu hasa kwa njia zetu tulizozizoea za Dar - Ruvuma, sasa kwa Dar - Kahama kampuni gani ina mabasi mazuri (ntashkuru...
Habari wana jukwaa,
Naomba kwa mwenye uzoefu na hizi manispaa mbili, Kahama na Morogoro, wapi panafaa kuishi kwa mtu anaeanza maisha mwenye kipato cha kati? Yaani mtumishi wa serikali.
Location
Tanzania, Kahama, Tanzania
Sandvik is a high-tech and global engineering group offering products and services that enhance customer productivity, profitability and sustainability.
We hold world-leading positions in selected areas – tools and tooling systems for metal cutting...
TAARIFA KWA WOTE,
IELEWEKE SIO SENSA IMEMUUA ILA ALIKUWA HOSPITALI AKIJIUGUZA HAPO KABLA,
KILA MMOJA AHESABIWE MIMI KAMA JABALI TAYARI NIMEHESABIWA LEO NAKUOMBA KAMA UMEKOSA NAFASI LEO SIKU BADO ZIPO KAHESABIWE.
Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga
===
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60...
Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022.
Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST!
Dereva wa Trekta akakimbia!
Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
Narudia tena kueleza haya yaliyopo Kahama japo nilishakuwa mwizi nikakoswa koswa ila huu wizi kama Serikali mnatoa baraka mkisubiri vilio ndio mjifanye kutoa pole.
Hapa Kahama kuna hii kampuni sijui Alliance tena imekodi jengo la NSSF na humo ndani kuna TRA na NSSF na pia ikitazamana na...
Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu!
Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo.
Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.