kahama

Kahama is a town in north-western Tanzania. The town serves as the headquarters of Kahama Urban District.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kipindupindu chaua Watano Kahama 452 Wawekwa Karantini

    UGONJWA wa Kipindupindu umetajwa kuibuka katika Kata ya Kagongwa, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga huku ikielezwa kuwa watu watano wametajwa kufariki dunia na wengine watano kuthibitika kuwa na maradhi hayo. Wakati hali ikiwa hivyo, wakazi 452 wa eneo hilo wamewekwa chini ya uangalizi wa...
  2. Championship

    JamiiForums Tanzania Tunduma iko overrated, haipaswi kufananishwa na Mafinga wala Kahama

    Nimefika Tunduma jana nikashangaa sana imekuwaje hii sehemu ikafananishwa na eneo kama Kahama. Tunduma haifiki hata nusu ya Mafinga. Huu mji upo too local na umejengwa kiholela. Nyumba nyingi ni duni sana. Naweza kusema pia Mafinga ni robo tatu ya Kahama maana angalau pale pana viwango.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule za Nursery kwa Wilaya ya Kahama

    Habarini wadau, Naomba kufahamishwa kuhusu shule za awali katika wilaya ya Kahama. Kuna kaka yangu anataka kumpeleka mtoto wake wa kike kusomea hapo. Mtoto ana umri wa miaka 4 na ½ Naomba kuwakilisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kahama vs Geita Battle: Majiji Yajayo Kung'arisha Kanda ya Ziwa

    Manispaa ya Kahama Kanda ya Ziwa inajivunia kuwa na Jiji la Mwanza (City Council) tangu 2002 ambalo ni Jiji la pili kutangazwa baada ya Dsm. Katika miaka hiyo ya 2000s, Miji ya Musoma, Bukoba na Shinyanga ilipandishwa hadhi na kuwa Manispaa (Municipal Cluncil). Ilichukua tena miaka ipatayo 20...
  5. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Workshop #02; Kahama Real Estate Workshop Namba 1

    Tutakayojifunza: (a) Lengo kuu la programu. (b) Shabaha/Fokasi ya programu ya leo. (c) Ufafanuzi wa Fokasi ya programu. (d) Sababu za uwepo wa fursa kwa kila taarifa. (e) Dondoo muhimu kuhusu vibanda. Utangulizi. Taarifa zimejazwa na Aliko Musa. Hii ni baada ya kukosekana mwanachama...
  6. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Makonda ambananisha meneja TANROADS Geita: Ahoji ni lini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama - Kakoro (km 60) utasainiwa ili ujenzi kuanza

    Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amembananisha Meneja wa TANROADS Geita kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi kuwa ni lini barabara ya Kahama - Kakoro yenye urefu wa Kilomita 60 itajengwa kwa kiwango cha lami. Mwenezi Makonda ambananisha Meneja huyo mara...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi: Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2024 - 2025 Serikali Ijenge Barabara ya Mpanda - Kaliua - Kahama

    MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
  8. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Kahama the upcoming city

    Wandugu sina mengi. Straight to the point, this weekend nilikuwa Kahama. Siweki picha wala video lakini ukweli wanaujua waliowahi kufika Kahama. Hii manispaa ndio jiji tarajiwa hivi karibuni. Hakuna ubishi. Rai yangu kwa mipango miji na Halmashauri Kahama wadhibiti ujenzi holela unaoendelea...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Underground Shaft Engineer at Bulyanhulu Gold Mine October, 2023

    Position: Underground Shaft Engineer Job Identification: 226944 Location: Kahama, Shinyanga, P.O. Box 891, Tanzania Position Description Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit an Underground Shaft Engineer to join and grow our team. Join our exceptional team and embody Barrick's core...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Civil Engineer at Bulyanhulu Gold Mine October, 2023

    Position: Civil Engineer Job Identification: 226946 Job Category: Capital Projects Job Schedule: Full time Location: Kahama, Shinyanga, P.O. Box 891, Tanzania Position Description Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit a Civil Engineer to join and grow our team. Join our exceptional team...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya stendi ya Kahama ni vichafu sana na hatari kwa Afya

    Ninaomba nikufikishie hii kero iliyoko Stand ya Mabasi - Kahama mjini. Pamoja na kuwepo choo bora cha manispaa, bado kuna vyoo hatarishi (kama hiki) kwa afya za Watanzania na wasafiri wanaotumia stand hii ya Kahama. Nimeambatanisha picha hapa chini kama ushahidi. Mamlaka husika tunaomba mchukue...
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Simiyu, Geita, au Tabora.

    Wasalaam. Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
  13. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

    ROSE MUHANDO ACHUMBIWA NA KUTAMBULISHWA UKWENI KAHAMA. Wiki hii imekuwa wiki ya baraka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania, Rose Muhando baada ya kwenda kutambulishwa ukweni Kahama kwa ndugu wa mchumba wake. Kama wanavyoonekana pichani Rose Muhando akiwa na mawifi zake na mwanaume wa...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali itusaidie kuboresha Barabara ya Kaliua hadi Kahama

    Mimi natokea Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Kaliua, Kata ya Kashishi, kero yetu hapa ni barabara ya kutoka Kahama Mkoani Shinyanga kwenda Kaliua Mjini (Tabora) kupita Unlyankuru, Mwamnange na Kashishi. Kwani barabara hii ni muhimu kwetu sisi Wakulima tunaitumia kusafirisha mazao kupeleka kwenye soko...
  15. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba kuujua mji wa Kahama kupitia picha

    Habari wakuu, Natamani kuufahamu mji wa Kahama kupitia picha. Kama una picha zozote za mji wa Kahama, picha za mitaa, makazi ya watu, viwanja vya michezo, hoteli, shule, hospitali, mito, madaraja, mabonde, barabara, milima, majengo ya ofisi, mitaa ya ushuani, uswazi, masoko, utalii, ofisi za...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Atembelea Kituo cha Afya cha Kagongwa, Kahama

    MAKAMU MWENYEKITI UWT MNEC. ZAINAB SHOMARI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KAGONGWA-KAHAMA Makamu mwenyekiti wa UWT MNEC. Zainab Shomari mapema leo Agosti 28.2023 akiwa wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga ametembelea na kukagua kituo cha Afya cha Kagongwa Kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Kahama,ikiwa...
  17. Heparin

    JamiiForums Tanzania Tamu na chungu ya safari yangu ya Agosti 24, 2023 Kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

    Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Ayu 14:1 Ndio utangulizi ninaoona unafaa kwa uzi huu, ninaoanza kuuandika mida hii saa 7:25 usiku nikiwa eneo ambalo kwa maelezo ya vibao vya barabarani vonasoma Mdaula (Msolwa), Morogoro. Safari yangu imeanza...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Achangia Madirisha 15 Ujenzi Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Kahama

    MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI MADIRISHA 15 (MILIONI 4) KUKAMILISHA NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA KAHAMA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe.Dkt Emmanuel Cherehani amekabidhi Madirisha 15 yenye thamani ya TZS. Milioni 4,162,000/- kukamilisha nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Wilaya...
  19. Chuck j

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Restaurant/ Mgahawa Kahama

    Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom wawajibishwe kukosekana huduma zao kuanzia saa 4:30 hadi saa 8:00 usiku, siku ya jana, Kahama

    Kwenu: vodacom: Ninaandika kutokea Kahama mji wa dhahabu baada ya kuwa nimechukua muda kujiridhisha na wateja wengine. Mji huu japo mdogo wenye kupewa hadhi ya ghiliba kama manispaa una miundombinu mibaya kabisa kuliko Chato au labda kuliko wilaya nyingi hapa nchini zisizokuwa na hadhi kama...
Back
Top Bottom