kahama

Kahama is a town in north-western Tanzania. The town serves as the headquarters of Kahama Urban District.

View More On Wikipedia.org
  1. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Global Alliance inauharibu mji wa Kahama

    Wakuu habari Global alliance wamepanga ktk jengo la NSSF umbali wa mita 100 kutoka yalipo makao makuu ya manispaa Vijana wengi kutoka Wilaya zinazopakana na Kahama wenye umri kati ya miaka 16 hadi 29 wamekuwa wakitolewa maeneo mbali mbali na kupelekwa kahama kisha kupangishiwa chumba, chumba...
  2. self made

    JamiiForums Tanzania Kati ya Kahama na Katoro ni mji gani unafaa zaidi kwa biashara ya Juice Bar

    Wakuu, habari zenu, Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama, Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi panafaa zaidi kwa biashara hyo na urahisi wa kupata eneo na matunda, pia aina ya watu sehemu izo, ASANTENI
  3. dks1131

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya

    Wale mnaoishi Kahama na viunga vyake naombeni msaada wa maoni yenu, nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya ili na mimi niweze kuishi mjini vizuri. Natanguliza shukrani
  4. Mr kenice

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Mtekinolojia Maabara, nipo Kahama

    Wasifu: Mimi kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa nipo kahama. Ni mtaalam wa maabara ngazi ya Diploma na nimehitimu masomo mwaka 2020, Ni mtaalam nilie sajiliwa na Baraza la maabara Tanzanian. Nyaraka nilizonazo; Form IV certificate Nacte certificate Nacte Transcript Cheti Cha leseni...
  5. fastum

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Kahama

    Habari wapendwa, natarajia kuja Kahama kesho na mimi ni mgeni kabisa sijawahi kufika Kahama hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza. Naomba kufahamishwa maeneo mazuri pa kulala na bei rafiki pia maeneo kwenye vivutio vya Kahama ili netembee pia, Pamoja na Club au Night club ilio changamka...
  6. Mzee

    JamiiForums Tanzania TRA Kahama Wababaishaji sana

    Habari za leo wanaJukwaa. Leo nimeenda tangu saa 2 Asubuhi Ofisi yaTRA Kahama kwaajili ya Makadirio ya Mapato. Hadi sasa saa 7 sijapata huduma yoyote. Wafanyakazi wa TRA wanapita pita tu bila msaada wa aina yoyote. Kwa namna hii ndio maana tunahamasika kukwepa kodi. TRA.
  7. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa ungewekeza wapi -Dodoma, Katoro au Kahama?

    Yes wakuu, Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi. Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka maradufu na mzunguko wa pesa unao impress. Recently hii miji imetajwa inayokuwa kwa kasi..Dom, Katoro...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyefariki mwaka 2017 adaiwa kufufuka

    Leonard Morisha (11), mkazi wa Kijiji cha Ngemo, Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka baada ya Oktoba 2020 kuonekana wilayani Kahama na wazazi wake wamempata Desemba 12, 2021 akiwa amekatwa mishipa ya ulimi na hawezi kuongea.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kahama: Rais Samia amwaga miradi

    === Kwanza, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Industral Park " ikiwa ni pamoja na mitaro yake pamoja na taa za barabarani, Pili, Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stendi ya kisasa ya...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi wilaya ya Kahama latuhumiwa kumtorosha mtuhumiwa aliyeiba Usd 25,847

    #HABARI Jeshi la Polisi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, limelalamikiwa na mfanyabiashara Rehema Mwagao, kwa kitendo cha kumuachia mhaliifu kinyemela aliyetuhumiwa kutapeli fedha kiasi cha Dola 25,847.50 (sawa shilingi milioni 48.6). Polisi Kahama walalamikiwa kumuachia mtuhumiwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Biashara salon ya kike kati ya Katoro au Kahama

    Naomba kuelezwa kwa mwenye uzoefu na hiyo miji miwili. Ni mji upi unafaa zaidi kwa biashara ya saloon ya kike classic flani hivi? Je, bei za fremu mjini kati ni sh ngapi? Aina za wakazi wa mji huo je? Natanguliza shukrani
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Picha: Chadema Digital kafika Kahama, Shinyanga

    Mambo yanaendelea kwa kasi ya hatari sana , hivi ndivyo ilivyokuwa Kahama Mjini Mjumbe hauawi.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu kazi za vibarua viwandani Kahama

    Naomba kujulishwa upatikanaji wa kazi za vibarua viwandani na malipo yapoje kwa siku kwa anaeelewa anisaidie
  14. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: CCM haitavumilia wananchi kubambikwa kesi

    Shaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili | "Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi...
  15. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Mabasi ya SATCO, uliowakabidhi gari ya Kahama-Dodoma wanakuharibia biashaara

    Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa. Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
  16. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu aagiza kata ya Kinaga Kahama kuwekwa kata za kimkakati

    Waziri Ummy Aagiza Kata ya Kinaga- Kahama kuwekwa katika Orodha ya Kata za Kimkakati itakayojengewa Kituo cha Afya Wahenga husema usiibe kabla Jua halijazama,pengine ndio kauli inayofaa kusemwa kwa Wananchi wa Kata ya Kinaga iliyopo pembezoni mwa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

    Ajali usiku huu maeneo ya Kagongwa -Kahama. Basi ya FRESTER iliyokuwa inatoka Dar es salaam kulekea Bukoba imepata ajali usiku huu maeneo ya Kagongwa Kahama.
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Wamachinga Kahama waonja "Joto ya jiwe" ya Polisi na Mgambo sambamba na Mkurugenzi wa Halmashauri

    "Wakati mnaendelea na mijadala mingine nawafahamisha kwamba Mkurugenzi wa Kahama Anderson Msumba akiwa na Polisi & Mgambo wamewavamia wafanyabiasha wa Kahama na kuwapiga virungu kisha wameiba bidhaa za Wafanyabiasha hao kwa madai kuwa wanafanya biashara maeneo ambayo sio sahihi."- Hilda Newton
  19. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa lift kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

    Habari za wakati huu mimi ni binti mkazi wa Dar es Salaam ila kwa sasa nipo kahama, katika harakati za kujikwamua nilipata msaada wa mtu akanambia kuna kazi ya mgahawa hapa kahama hivyo nije kuanza na makubaliano yote yalifanyika ila baada ya kufika kwa nauli ya kujichanga mtu yule hapokei simu...
  20. Nizhneserginsky

    JamiiForums Tanzania Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

    Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada. Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo Binafsi nina visa viwili. 1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda Tanga kufata penzi...
Back
Top Bottom