Namtafuta Dada anaitwa Angel tulikutana Kahama Chillers 2015

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,248
Habari wakuu.

Bhana 2015 mwishoni, nilipata tukio la kusisimua sana hadi leo najiuliza nini kilitokea.

Tulikuwa Kahama kikazi, Sasa wikiend tukaenda kula starehe kidogo kwenye bar maarufu pale Chillers.

Nikiwa na colleague wangu, tunakula bia, mida kama saa saba hivi tupo lounge .. wote tunakunywa Windhoek(back then) tunafurahia mziki, alikuwa anatuhudumia muhudum anaitwa Joy.

Sasa bhana, tukala bia za kutosha, na Joy tukamnunulia za kutosha... just for enjoyment.

Tukacheza mziki kias... hatuna hili wala like, Kuna bia zikaja mezani kwetu, karibu na counter kiti kirefu kwenye nguzo..

Sasa tunacheza hapa na hapa.. kipindi hicho manyimbo ya Diamond na Harmonize Yana hit ile balaa.

Joy Kaleta outer 3 za Windhoek mezani..

Nikamuliza Joy za nani?
Akajibu za yule Dada palee..

Mdada mzur sana, Sasa muda ulikuwa umeenda, nikamwambia Joy ampatiee kinywaji yake, alkuwa anakunywa wine, nikamwambia mpe (2).. bas bhana.

Nikamwambia Joy amwambie tunashukru saaana, ila tunamuomba aje kwenye Meza yetu tusalimiane.

Hapa na pale kucheza mziki, mdada huyu hapa, eeh bhana.. she is cute beyond words....Akasema anaitwa Angel amependa tu tunavyo enjoy.( pls note, Hata Joy ni mzur sana, alikuwa anasuka rasta flani hivi Mashalah)

Nikamuomba namba, akasema powa atampa Joy, kuja kuchek huku na kule baada kama ya dk 20 hivi Angel hayupo .

Namuliza Joy vip ulichukua namba? Anasema ndio ila Sim imezima labda kesho(Joy mwenyewe mwanangu sana, so it was tough kuni cheat )

Bia tulikunywa nyingine zilibaki, tafuta Angel waapi bhana.

Tukaenda kulala,

Kesho nikamwambia dogo kwasababu tunaondoka usiku tupite pale kwa Joy tumalizie bia zetu lakini tumchek Angel.

Kumuuliza Joy namba anasema haioni.. dah...

Bhana, tukarud Dar.

Nikamwambia Joy abak na namba zangu akimuona Angel ampatie...
Kila nikirudi Kahama .. nikimtafuta Angel simpat Jamani.
Hadi nikaenda kwa Matron, Lakin wapi?

Hadi wale wadada wa Chillers wakaanza kuniita baba Angel.

Sio mambo ya mapenzi, nakumbuka tu ukarimu wake.

Just incase..anyone with an idea where I can find Angel...back then 2015 kuelekea 2016.

Kiukwel Nina kiu sana ya kumuona Angel kwa mara ya pili.. regardless of her situation.

Kama Kuna mtu anamjua Angel Kahama alinunuliaga ma brother 2 bia pale Chillers pls... I will be so happy to share some experience with her.

Angel dear wherever you are, so sweet of you.... looking to meet you again.
 
tulia wewe, alishamaliza kazi yake. wewe unataka umle agent?
 
Mtu anatoweka kama upepo, afu miaka nane anatafutwa na hajaonekana?

Labda ni Jini mkuu?
 
Uyo ni jini mahaba,tuliza duduz yako itakatwa,alikuwa kazin,anasaka wapenz,ona sasa alivyokuasili
 
Habari wakuu.

Bhana 2015 mwishoni, nilipata tukio la kusisimua sana hadi leo najiuliza nini kilitokea.

Tulikuwa Kahama kikazi, Sasa wikiend tukaenda kula starehe kidogo kwenye bar maarufu pale Chillers.

Nikiwa na colleague wangu, tunakula bia, mida kama saa saba hivi tupo lounge .. wote tunakunywa Windhoek(back then) tunafurahia mziki, alikuwa anatuhudumia muhudum anaitwa Joy.

Sasa bhana, tukala bia za kutosha, na Joy tukamnunulia za kutosha... just for enjoyment.

Tukacheza mziki kias... hatuna hili wala like, Kuna bia zikaja mezani kwetu, karibu na counter kiti kirefu kwenye nguzo..

Sasa tunacheza hapa na hapa.. kipindi hicho manyimbo ya Diamond na Harmonize Yana hit ile balaa.

Joy Kaleta outer 3 za Windhoek mezani..

Nikamuliza Joy za nani?
Akajibu za yule Dada palee..

Mdada mzur sana, Sasa muda ulikuwa umeenda, nikamwambia Joy ampatiee kinywaji yake, alkuwa anakunywa wine, nikamwambia mpe (2).. bas bhana.

Nikamwambia Joy amwambie tunashukru saaana, ila tunamuomba aje kwenye Meza yetu tusalimiane.

Hapa na pale kucheza mziki, mdada huyu hapa, eeh bhana.. she is cute beyond words....Akasema anaitwa Angel amependa tu tunavyo enjoy.( pls note, Hata Joy ni mzur sana, alikuwa anasuka rasta flani hivi Mashalah)

Nikamuomba namba, akasema powa atampa Joy, kuja kuchek huku na kule baada kama ya dk 20 hivi Angel hayupo .

Namuliza Joy vip ulichukua namba? Anasema ndio ila Sim imezima labda kesho(Joy mwenyewe mwanangu sana, so it was tough kuni cheat )

Bia tulikunywa nyingine zilibaki, tafuta Angel waapi bhana.

Tukaenda kulala,

Kesho nikamwambia dogo kwasababu tunaondoka usiku tupite pale kwa Joy tumalizie bia zetu lakini tumchek Angel.

Kumuuliza Joy namba anasema haioni.. dah...

Bhana, tukarud Dar.

Nikamwambia Joy abak na namba zangu akimuona Angel ampatie...
Kila nikirudi Kahama .. nikimtafuta Angel simpat Jamani.
Hadi nikaenda kwa Matron, Lakin wapi?

Hadi wale wadada wa Chillers wakaanza kuniita baba Angel.

Sio mambo ya mapenzi, nakumbuka tu ukarimu wake.

Just incase..anyone with an idea where I can find Angel...back then 2015 kuelekea 2016.

Kiukwel Nina kiu sana ya kumuona Angel kwa mara ya pili.. regardless of her situation.

Kama Kuna mtu anamjua Angel Kahama alinunuliaga ma brother 2 bia pale Chillers pls... I will be so happy to share some experience with her.

Angel dear wherever you are, so sweet of you.... looking to meet you again.
Basi huyo joy ndo anakubania kumpata Angel
 
Back
Top Bottom