kahama

Kahama is a town in north-western Tanzania. The town serves as the headquarters of Kahama Urban District.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo Kahama

    Habarini za muda huu wakuu, Mimi ni kijana mwanajukwaa mwenzenu nipo Kahama hapa naona maisha yananiendea kombo hiki kipindi kiasi kwamba mpaka kula yangu inaelekea kuwa jambo la mashaka,hivyo naomba yeyote mwenye kuweza kunipa kazi/kibarua anipe nisije nikafa njaa hapa mjini. Kitaaluma mimi...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kahama: TAKUKURU waonya Chawa wanaotumika kugawa fedha na zawadi ili wagombea wao wachaguliwe

    Wakuu, Kwahiyo lile gari alilotoa Rais Samia kupitia Makonda kwa yule shehe Arusha, TAKUKURU.... au basi! ==== Kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 Mwaka huu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Kahama imesema itachukua hatua za...
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

    Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup. Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu? Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.
  4. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji na Umeme Kahama

    Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama. Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika mara kwa mara bila taarifa maalum, hadi mara 5-9 kwa siku. Hali kadhalika, huduma ya maji pia...
  5. ramadhani kimweri

    JamiiForums Tanzania Natafuta connection ya kazi stendi ya Kahama

    Wakuu nipo kahama natafuta kazi ya kupiga debe kamahama stendi Yeyote mwenye connection na magari nipo tayari kufanya kazi na campun yeyote nipo vizuri katika kushawishi na kuongea Msaada wana jamiiforums
  6. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote kahama

    Habari zenu wana JamiiForums Naomba mnisaidie natafuta kazi yoyote kahama kama kuna mtu anamtafuta mtu wa kumsaidia kwenye kazi zake kama kuuza duka au kwenye restaurant kazi kama hizo naweza na ni mchapa kazi na muamifu na nmesoma pia nna diploma ya account Jinsia -Mwanamke Umri-24
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ally Hapi: Vyama vingine ni watoto shughuli za watu wazima hawataziweza, uchaguzi serikali za mitaa Isaka Kahama chagueni CCM

    Wakuu, Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi? ====== "Tushikamane na serikali yetu na chama chetu CCM katika chaguzi zinazikuja za serikali za mitaa, tuwachague wagombea wanaotokana na CCM...
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tunaliomba Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi wa kifo cha Mtwenya Silas aliyepatikana akiwa amechinjwa Kahama na kuzikwa Oktoba 1, 2024

    Ndugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu. Ndugu walipewa Habari za kifo cha ndugu yao aliyepatikana akiwa amechinjwa wilayani Kahama, bado haijajulikana chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas. Hivyo basi tunaliomba Jeshi la polisi...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Igombe – Kahama (Mwanza) inatupa mateso makubwa Wananchi, Serikali ije kuokoa jahazi

    Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza. Tunasafiri kwa dakika kadhaa na kufika stendi ya Igombe, nashuka na kusogea katika maegesho ya pikipiki...
  10. wa log

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga kahama

    Natafuta chumba cha kupanga kahama chenye umeme bei isizidi 30k Naombeni namba za madalali
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Rais samia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika manispaa ya kahama mkoani Shinyanga

    Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vibaka wa Kahama wanaiba Mchana na Usiku huku wakiwa Uchi ( Watupu ) wa Mnyama kabisa

    Wananchi wa Kata ya Kakola, Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, wamelalamikia ongezeko la wimbi la vibaka wanaovamia ndani ya nyumba wakiwa uchi na wakiwa wamejipaka mafuta mwili mzima kwa lengo la kutekleza wasikamatwe. Chanzo: itvtz Waambieni wasije Kuthubutu kufanya hivi wakija Kuiba...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tume ya Madini, huyu RMO wa Kahama sidhani kama anatosha!

    Tuhuma za RMO Kahama 1- Anamtetea shemeji yake, ambaye anatuhumiwa kupunguza purity kwenye soko kuu la Dhahabu Kahama, tuhuma hizo kuhusu shemeji wa Kumburu zimefikishwa hadi ofisi ya DSO KHM & Task Force, lakini amekuwa akitengeneza mazingira ya kumlinda, taarifa zinaonyesha anafaidika na wizi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hii Barabara ya (KAHAMA) Mnazi mmoja - Lugera Mbona mashimo?

    Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na mtalo nihuohuo, na barabara ya kutokea mnazi mmoja kwenda Rami, serikali inaingiza kipato kupitia...
  15. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaosifia Kahama huwa mnazingatia nini?

    Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii? Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu. Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya watu na shughuli za uchimbaji. Watu bado wanalima na kufuga ndani ya makazi, Manispaa gani hii?
  16. covid 19

    JamiiForums Tanzania Cha mtu ni cha mtu tu, jirani yangu kahama na mke wake jana

    Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini. Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot.
  17. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kero iliyopo hospitali ya Kahama (Goverment Hospital)

    Kwakweli kumekua na kero sana kwa manesi walipo hospitalini hapa, wamekuwa wakitoa maneno ya kashfa na kejeli hasa kwa manesi wa clinic, Ni maneno mabaya na ya kejeli sana yakiambatana na matusi. Naiomba serikali ilifuatilie na kulichunguza swala hili. Mimi binafsi nimewahi tolewa maneno...
  18. dubu

    JamiiForums Tanzania Kahama: TANROADS washindwa kufukia mashimo ya Mzani yalipo mbele yao

    Hapa ni mzani wa kahama (mwendakulima) na haya mashimo yapo unapoingia na kutoka mzani Kwa kweli ni mashimo makubwa sana na hatarishi kwa vyombo vinavyoingia kupima uzito. TANROADS kwanini wamekaa kimya?
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Christina Mnzava atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Mnzava ametembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama-Shinyanga na kukagua utekelezaji wa Ilani katika Kituo cha Afya Ushetu. Vilevile, Mhe. Dkt. Christina...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je, Lamadi na Bunda kuna usafiri wa basi za kwenda direct Kahama?

    Wana Lamadi na wana Bunda karibuni. Nahitaji Basi ambazo hazipiti njia ya Mwanza bali njia ya Bariadi na Maswa. Nauli bei gani?
Back
Top Bottom