kada

Alexis Yougouda Kada (born 29 November 1994) is a Cameroonian professional footballer who plays as a midfielder for Moroccan club Maghreb de Fés. In 2013, he made an international appearance for the Cameroon national team.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mkoloni haikuanzishwa kwa Waafrika ili iwape maisha bali ili wawatumikie wakoloni ktk kada za mbovu

    Jitafakari!!
  2. DIVISHENI FOO

    JamiiForums Tanzania "Kada mbubujikwa" aliyesomea Amazon Collage

    Hakika inastaajabisha! Kuna ndugu yangu mmoja ni kada wa chama cha siasa hapa Afrika Mashariki, kwa kweli hashikiki linapokuja suala la elimu. Huyu "kada mbubujikwa" ni miongoni mwa wale makada kindakindaki ambao wako tayari kuvishwa hata sketi kwa ajili ya kukitetea chama chao. Alinisimulia...
  3. Ileje

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM ampasua Rostam Aziz!

    ==== Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi -...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kada huyu wa CCM ameuawa na Redbrigade wa CHADEMA

    Wakuu ==== Je, kuna ukweli wa taarifa hizi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kada wa CHADEMA auawa kikatili na wasiojulikana

    Ni vilio na simanzi katika mtaa wa Mkimbizi D, kata ya Mkimbizi, manispaa ya Iringa, kufuatia kuuawa kikatili kwa mjane Anastazia Mwamongi, maarufu kama Mama Mwamongi, ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya mwili wake kukutwa ndani ya nyumba yake ukiwa na...
  6. Pagani Zonda

    JamiiForums Tanzania Possible za written na oral interview kwa kada za afya

    Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO) naomba anayejua maswali ambayo huwa yanaulizwa nataka nipate mwanga kidogo. Asanteni
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ili tufikie malengo ya dira ya taifa kabla ya muda tarajiwa inabidi kupunguza Pato la wanasiasa wapewe wataalamu wa kada mahususi

    Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe. Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Polepole asikitishwa na kada aliyefukuzwa uanachama kwa kukosoa mchakato wa kupata mgombea. Hoja haipigwi rungu

    Humphrey Polepole amehoji waliobadili utaratibu wa chama wametumwa na nani? Pia ameshangaa kuona mtu aliyehoji na kukosoa amefukuzwa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM ahamia CHAUMMA

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Buhime amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), na kukabidhiwa kadi na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma wa Chaumma, John Mrema katika Mji wa Biharamulo Peter, aliyewahi kuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Biharamilo kupitia CCM...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wadai kada wao amefichwa polisi Dar

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikidai kuwa kada wake Leonard Magere amefichwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametaka suala hilo waulizwe Idara ya Uhamiaji. Magere ambaye ni mtaalamu wa Fedha na Uwekezaji wa CHADEMA...
  11. Rector1983

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Msaada kwa wanaohitaji aptitude interview questions kada ya msaidizi wa Kumbukumbu II, nimeyaambatanisha maswali na mshindwe nyie tu.
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wataliban wa Mbagala basi wakiona hii picha wanapepesuka balaa

  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Rufiji: Kada wa CCM Shaban Matwebe akataliwa kuchukua form ya kugombea Ubunge jimbo la Mchengerwa.

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji. Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kufanya oral & written interview kwa kada ya public Administration utumishi, interview zao zikoje?

    Hello Guys I hope you are doing well, naomba usaidizi kwa swali nililoulza hapo juu. Natanguliza shukran.
  15. Doto12

    JamiiForums Tanzania Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?

    SoMo hapo juu husika. Kuna hizi kada 1. Ualimu prim and secondary 2. Nurse and or Dr medicine 3. Police or Jw ? Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sheikh Sule huwa anazungumzia mambo ya nchi kama kiongozi wa dini au kada wa chama?

    Huyu Sheikh mimi nilifikiri ni kiongozi wa dini tu, nimeshangaa kukutana na hii video!
  17. jangoma

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa kada ipi wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka?

    Uzi tayari
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kubadili kada

    Mm nimeajiriwa kama mwlm ngaz ya cheti ila sitak kuendelea na ualim saaa n kozi gan naweza kujiendeleza nayo ambayo huwa ina nafasi za kazi zaidi msaada wenu wadau
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

    MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CHADEMA Elia Evarist: Toyota anayoendesha Heche amenunuliwa na kada wa CCM. Kadi ya hiyo gari inasoma jina la mke wa Waziri

    Wakuu, Kumbe Heche anaendesha gari ambalo amenunuliwa na kada wa CCM na mlikuwa hamsemi? Huyu kada wa CHADEMA amesema kuwa gari aina ya Toyota ambalo anaendesha Heche kwa sasa amenunuliwa na kada wa CCM na kwamba hata kadi ya hiyo gari inasoma jina la mke wa huyo Waziri ambaye ndo amenunua...
Back
Top Bottom