kada

Alexis Yougouda Kada (born 29 November 1994) is a Cameroonian professional footballer who plays as a midfielder for Moroccan club Maghreb de Fés. In 2013, he made an international appearance for the Cameroon national team.

View More On Wikipedia.org
  1. msovero

    JamiiForums Tanzania Majina ya walimu na watumishi wa kada ya afya waliopata ajira 2021

    Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021. ========= UPDATES=======
  2. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Ewe mtumishi hasa Kada ya Ualimu. Je, utakuwemo kwenye wale 70000 waliopandishwa madaraja?

    Kada ya ualimu ndio imebeba idadi kubwa ya watumishi. Mwaka 2015 pekee waliajiriwa walimu wengi sana kwa mkupuo na hao hawalupanda madaraja kwa takribani miaka 6 Sasa taarifa iliyo toka hivi karibuni ni kuwa wamepandishwa watumishi kama sabini elfu hivi. Je, utakuwemo? Pia, sio mbaya kuleta...
  3. ENANTIOMER

    JamiiForums Tanzania Sub-vote code 2208 ni ya kada gani katika utumishi wa umma?

    Habari ndugu zangu! Naomba kufahamu ni Kada ipi katika Utumishi wa Umma ambayo watumishi wake wanatumia sub-vote code 2208. Nakumbuka nilipokuwa mwalimu wa Shule ya Secondary nilitumia sub-vote code 5008 na ilionekana ktk salary slip yangu. Je, sub-vote code 2208 ni ya Kada ipi katika Utumishi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kwenda kufanya interview ya TRA kwa kada za customs officer II na tax management officer II tukutane apa tupeane Tips za writen interview

    Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo Naomba...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni maslahi ya kada nyingine pia, si kila kitu Polisi tu. Kuna Walimu, Madaktari nk

    Nimesoma mahali, serikali ina mpango wa kutoa viwanja vya ujenzi wa nyumba binafsi kwa askari polisi ili wasifedheheke pindi wanapostaafu. Rai yangu ni kwamba hili liende kwa watumishi wote isiwe kwa polisi tu. Hainiingi akili kuwa askari anaelipwa mshahara, posho ya shiling 300,000/, pesa ya...
Back
Top Bottom