kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Gavana wa California asema kumuengua Trump kabla ya kura sio demokrasia

    Juzi makahama kuu ya jimbo la Colorado ilipitisha hukumu ya kumuondoa Trump kwenye uchaguzi kwenye hilo jimbo mwaka 2024. Jana wajumbe wa jimbo la California walipnlendekeza Trump aondolewe pia kwenye makaratasi ya kupigia kura kwenye uchaguzi ujao wa 2024. Jimbo la California na Colorado ni...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

    Majuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea? Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta. Mwingine akaniambia kama nawataka wamakonde haina haja ya kwenda Newala bora niende Masasi kwa sababu Masasi...
  3. JamiiForums Tanzania Kimsingi watu wa namna hii wanapaswa kubadirika kabla ya mwaka kuisha!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kuna watu wanakera,wanaudhi na kutia kichefuchefu mno kwenye jamii ya watu waliostaarabika. Moja ya watu wanaokera ni wafuatao:- 1.WAPIGA MIZINGA Hawa wao huwa wanadhani kila pesa unawatafutia wao,badilikeni 2.WAAZIMA NGUO & VIATU Hivi dunia la leo...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wapimwe VVU kabla ya uteuzi. VVU huathiri ubongo, hivyo inawezekana ndiyo sababu ya maamuzi mabovu tunayoyaona

    Nimewahi kukaa na Mzee mmoja mstaafu, akanipa kaukweli fulani kuhusu aina ya viongozi tulionao. Kuwa , 1. Hawashauriki kwa mambo yaliyo wazi. 2. Hawako makini kwenye maamuzi. 3. Hawana upeo wala mkakati wa kuifanya Tanzania ipate maendeleo endelevu, wanajali la leo tu. Alitolea mfano wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kabla Serikali haijaruhusu Watanzania kufanya vibarua Israel wajirithishe uwezo wa sasa wa Israel kujilinda na kulinda raia wake

    Kuna habari kuwa Israel imeamua kuwanyima ajira wapalestina na sasa anataka kitafuta vibarua wapya mashambani kutoka Afrika na kwingineko duniani. Hii nimeisoma humuhumu JF. Nashauri kabla hatujarisk kuwapeleka raia huko kupiga shekeli basi tujirithishe uwezo wa nchi hiyo kujinda. Kama bado...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Biblia ilianza kuandikwa miaka ya 1513 Kabla ya Kristo, unawezaje kusema taifa la Israel lilianzishwa 1948?

    Habari jf , Vyanzo mbalimbali vinaonesha Biblia ilianza kuandikwa mwaka wa 1513 Kabla ya kristo na ilikamilishwa baada ya zaidi ya miaka 1,600, katika mwaka wa 98 wakati wa kristo. Vitabu vingi vinaelezea habari za uwepo wa Israel na mpaka Ramani ikiwekwa. Kwa haya mazingira Unawezaje kusema...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

    Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu. Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke. Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii. Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msumbiji kujenga Bwawa la kuzalisha umeme. Litakamilika kabla ya JNHP

    MAPUTO, Msumbiji: MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme wa Mphanda Nkuwa wenye thamani ya Dola bilioni 5. Bwawa na kiwanda cha kuzalisha umeme wa maji kitajengwa kando ya mto Zambezi katika jimbo la Tete...
  9. JamiiForums Tanzania Dakika 40 chumba cha wanaozaliwa kabla ya wakati

    Novemba 17, 2023, Dunia iliadhimisha siku ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati, siku moja kabla, nilibahatika kufika katika Wodi maalumu kwenye mojawapo ya vyumba vya kutunza Watoto hao katika Hospitali ya Benjamin Mkapa na kujenga msingi wa simulizi hii. Ni kijichuchumba kidogo chenye nafasi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yajuwe yaliyodhaniwa hayawezekani kabla ya Oct 7 Gaza

    Mengi hapa yalidhaniwa taboo: 1. Wapalestina kuteka na kushikilia maeneo ndani ya Israeli. 2. Israel na Marekani kufanya mazungumzo na hata kukubaliana na HAMAS. 3. Israel kuwa tayari kufanya mazungumzo kusaka mapatano na Hizbollah: 4. Houthi kufunga njia ya bahari hadi wa magharibi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM kinaanzisha miradi mingi mitaani mwaka mmoja kabla ya uchaguzi? Je, hii sio mass bribe?

    Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa. Miradi hii yaweza kuwa zahanati shule barabara maji umeme nk. Je, hii sio rushwa? @LukasMwashambwa
  12. U

    JamiiForums Tanzania Je, Yesu Kristo alikaa tumboni kwa Mama yake kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa?

    Wadau hamjamboni nyote? Swali Kwa Ndugu zangu Je Yesu Kristo au Issa Bin Mariamu alikaa tumboni kwa Mamake Bi Mariamu kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa? Je ni miezi 9 au 6 au 3 au 1 au siku 1? Naombeni majibu kwa mujibu wa maandiko rasmi na sio vinginevyo Lugha zisizo na staha...
  13. JamiiForums Tanzania Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

    Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo. "Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi SGR Itigi tumeandama, watulipe stahiki zetu kabla hawajaondoka

    Hivi ndivyo ilivyo katika Camp ya Itigi, sisi Wafanyakazi wa Mradi wa Reli ya SGR, tumeandamana hadi kwa HR wa Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi tukitaka kujua majaaliwa ya stahiki zetu baada ya kufukuzwa kazi. Mkandarasi Mkuu ametangaza punguzo la Wafanyakazi, sasa kila tukiuliza kuhusu...
  15. JamiiForums Tanzania Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

    Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali. Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded. Ni hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa Ngono haiepukiki kabla ya ndoa, Kijana wa kikristo ukioa bila utaratibu huu imekula kwako tegemea lolote

    Muhimu: wanawake waliojitunza wenye bikra hawahusiki. Na huo ndio ukweli, kwa sasa ni ngumu sana kwa mkristo mwanaume kuingia kwenye ndoa bila tendo, Kwa wenzetu upande wa pili haya mambo yanaweza kurekebishika kwa talaka zisizo na mlolongo wa miaka ama kuongeza mke 1. Kwa mabinti wa sasa ni...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tutashuhudia mengi kabla ya 2025

    "Kwakuwa ni mwanamke,Ni Muislamu na anatoka Zanzibar itakuwa rahisi kukabiliana naye." Hayo siyo maneno yangu bali ni kauli ya kimya ya wasaka urais. Inaonekana taasisi ya Urais ni tamu sana kwani wasaka urais huwa ni waru wa kuchanganyikiwa kwelikweli kwani wako tayari kufanya lolote ilimradi...
  18. JamiiForums Tanzania Tafakari ya kabla ya sherehe za mwisho wa mwaka

    Ukiona yafuatayo yanakuandama jitafakari: 1. Kutumwa tumwa na hata uliowazidi umri, 2. Kuombwa kuchinja, kukata kuni, kuosha magari, kutafuta ng'ombe/mbuzi wa kitoweo, n.k 3. Kutoshirikishwa kwenye maamuzi ya familia/ukoo, 4. Vikao vinaendelea wewe unawekwa busy kuandaa maakuli, 5. Kuombewa lift...
  19. JamiiForums Tanzania LATRA yadai kushirikisha Wananchi kabla ya kupandisha nauli

    Mkurugenzi wa LATRA amesema kwamba kabla ya kupandisha nauli za mabasi walipokea maoni ya wananchi kwanza na kuyafanyia kazi. Amesema kwamba siku ya kikao hicho Walikuwa Mubashara dunia nzima, na kwamba kila mtu aliona na wengine walishiriki na kutoa maoni yao. === “Nauli haitolewi kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Majanga ya Asili: Tukafanye utafiti kwa Wahadzabe na wanaofanana nao ili tufahamu jinsi wanavyotambua majanga haya kabla hayajatokea?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa huja na kwa Maslahi ya Taifa. Leo ni kuhusu Natural Disasters: Jee Tuwafanyie Research watu wa makabila ya Wabarbaig, Wahadzabe, Wataturu, Wasandawe na Watindinga, huwa wanajuaje kutatokea natural disasters na kukimbia eneo hilo kabla ya majanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…