jumla

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza mifuko ya Cement kwa bei nafuu sana - 15,000

    Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara. Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
  2. Elly495

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawasiliano ya wafanyabiashara wa nafaka za jumla

    Habari zenu Wana JF ...nashida na mawasiliano ya wafanyabiasha ra wa nafaka Aina mbali mbali ikiwemo mchele,karanga,mbegu za maboga,ulezi, na n.k wawe na bei rafiki ili nami niweze kufanya biashara ...Asanteni
  3. Top007

    JamiiForums Tanzania Nauza maembe Jumla

    Niko Kibamba CCM . Bei 300 Tsh kwa embe moja . Aina dodo na apple Piga: 0678650509
  4. sijali nkinda

    JamiiForums Tanzania Jumla ya pesa zote Benki ni shilingi ngapi?

    Jamani mimi nataka kujua hivi Tanzania inamiliki pesa jumla kiasi gani?. Nataka nichukue jumla ya pesa zote Tanzania nigawe Kwa idadi ya watu nchini halafu tujue wastani kila mtu anatakiwa na kiasi gani. Hii itasaidia kuweka wazi hata Kwa sheria kwamba kila mtu nchini Tanzania anatakiwa kumliki...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jumla ya Askari Polisi 15 watunukiwa Vyeti vya Heshima Mkoani Ruvuma

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amewataka Wakaguzi wa Polisi, Askari wa vyeo mbalimbali na watumishi raia ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kufanya kazi kwa kuzingatia haki, weledi na uadilifu katika kutoa huduma bora kwa wananchi ili...
  6. Jimz Group

    JamiiForums Tanzania 🔒 Backups ni Muhimu: Jipatie Flash Drives kwa Jumla na Reja Reja!

    Katika enzi ya teknolojia, ulinzi na usalama wa data zako ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Picha, nyaraka muhimu, na mafaili ya kazini vyote vinahitaji kutunzwa na vizuri kuwa na backup. Na USB Flash Drive, inakupa suluhisho unalolihitaji. 📁 Nafasi Kubwa ya Hifadhi: Hifadhi picha, video, na...
  7. FedhaBook

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  8. ENICK

    JamiiForums Tanzania Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent

    Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent bei ya jumla 0768686677.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    Habari za asubuhi wadau. Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90. Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
  10. MOSintel Inc

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya Alizeti kwa nei ya jumla kwenye madumu ya Lita 20 (NAVUNJA BEI)

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu). Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi, Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake. DF...
  12. stan john

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maharage ya njano kilo 100 nipo dar mabibo kwa bei ya jumla

    Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
  13. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

    Habarini members, Nilikuwa naomba tupeane connection ya chimbo la kununua dawa( dawa za binadamu)kwa bei ya jumla kwa ajili ya pharmacy! Either Kariakoo au popote pale! Natanguliza shukurani
  14. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika mnatambua jinsi wafanyabiashara maduka ya rejareja wanavyoibiwa sukari, ngano na sembe katika maduka ya jumla wilayani Bunda?

    Wanajamvi wakati tunaendelea kumuona Makonda akiendelea kuuwasha moto na kuendelea kuwa man of the match kuna kitu nimekibaini....! Maduka mengi ya jumla(wholesale) hapa wilaya ya Bunda yananyonya sana wafanyabiashara wadogo wadogo(wa rejareja),ila mbinu wanayotumia ni kali sana...
  15. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  16. Salahan

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mabegi, Mikoba na Pochi ndogo nainai chambuu bei ya katoni

    Habari wanajamii Baada ya kuja na wazo la kuwaagizia watu bidhaa China kufeli Kisha wazo wa kuwauzia Yuan za china na kuwasaidia manunu pia kufeli Nimeona Sijaandikiwa kusaidia watu bali ichi ninachokifahamu ni tunu yafaa nitumie kujinufaisha na familia yangu tu. Ndio nimeamua kuagiza...
  17. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Hard disk(HDD) za laptop kwa bei ya jumla

    Hard disk za laptop mpya 500 GB = 45,000 tsh Ukihitaji kuanzia mbili bei inapungua kwa mawasiliano zaidi 0621 089 762 tupo dar es salaam
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Matokeo Law School Cohort ya 35 yametoka: Sijui matokeo ya jumla yakoje, maana hutoka kimya kimya kila mtu anachungulia akaunti yake tu!!

    Law School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!! Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa...
  19. David Chriss

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Flash Disks, Memory Card na Vifaa vya Simu Original za JUMLA

    Habari wana JF, Kwa anayefahamu chimbo la bidhaa za Jumla, za Flash Disks, Memory Card, na Phone Accessories.. Location iwe Arusha au Dar.. Sana sana Arusha kama zipo..
  20. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi sahihi ya kutengeneza tovuti yako mwenywe

    Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia. Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
Back
Top Bottom