jumla

  1. The last don

    JamiiForums Tanzania Nauza Macbook Pro za mwaka 2018 bei ya jumla

    Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla Specs: Macbook Pro display Retina Iris display 13.3' RAM: 16GB Storage: ssd 500GB Processor intel core i 5 3.1.Ghz Touch pad bar. Graphics: Intel Iris Plus Graphics 650,1536 bought from USA asking price ~Tsh...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Natafuta karatasi kubwa za kaki za kujaradia na bahasha kwa bei ya Jumla

    Habari wakuu ,title inajitosheleza
  3. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vyombo kwa jumla

    Nahitaji vitu vifuatavyo. Sahani za udongo 20 Sahani za mifupa 200 Vikombe vya mifupa 200 Vijiko vigumu 200 Vikombe vya udongo 20 Majaba makubwa 4 Pipa la maji (litres 200-240) 1 Ndoo ndogo 20 Ndoo za kunawia 10 Sufuria 20KG 6 Mawasiliano 0687391885
  4. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Nina shida na ALU kwa bei ya jumla

    Nahitaji ALU za watu wazima kwa bei ya jumla! Mwenye nazo tuwasiliane 0687391885
  5. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza artificial plants/ maua kwa jumla Mwanza?

    Nimekua napenda kufanya hii mambo! Mtandaoni naona maduka mengi yapo Dar. Na napata shaka kuagiza kupitia mtandao kwani matapeli na uongo uongo ni mwingi. Je, napata wap kwa mwanza ambako wanauza hii bidhaa kwa bei ya jumla?
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jumla Migodi ya Madini 21,686 yakaguliwa katika kipindi cha Julai, 2023 hadi Aprili 2024

    Kati ya migodi hiyo, migodi mikubwa ni nane, migodi ya kati 56 na migodi midogo 21,622. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Msafiri Mbibo akimwakilisha Waziri wa Madini, Anthony Mavunde katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wakaguzi wa Migodi kutoka Tume ya Madini uliofanyika...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu

    Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu. --- Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo...
  8. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mtaa upi K.koo nitapata wauzaji jumla wa ndala, yebo, flip flops na rainboots?

    Karibuni wakuu mnielekeze.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nauza calculator original kwa bei ya jumla na rejareja

    Bei ya jumla ni PC 10 kwa 130k tu lakini piah ni 25,000/- Kuna edition nne za Scientific calculator na bei zinatofautiana lakini Casio fx 991 Ms first edition ndo bei zake hizo nafuu #usipigwe na kitu kizito Whatsapp 0699358049 Karibu sana wewe mwanachuo,mwanafunzi,mwalimu, wafanyabiashara...
  11. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima wauza nafaka wote jumla kuwa na mizani ile kubwa ya bei kubwa, hizi za digital hazifai kupimia magunia?

    Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii. Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
  12. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Hivi wauza nafaka wote hapa Dar ni kweli wote huagiza nafaka mikoani au wengi wao hununua tu kwa wauzaji wakubwa wa jumla?

    Habari wana jf natumai wote mko poa Hii habari inanishangaza kila kila ninapoenda kununa labda mchele au maharage kila mfanyabiashar nikimuuliza hizi unachukulia wapi huwa wananiambia wanachukulia mikoani afu ukute ana gunia tano tu au kumi Nimezunguka maduka mengi ila wengi wao wananiambia tu...
  13. LugaMika

    JamiiForums Tanzania Pata vifaa vya kisasa na kwa bei za jumla na rejareja yaani Kmpyuta.

    Tumezidi kuaminika kila iitwapo leo. Wewe Mzazi au Mlezi amma Mwanafunzi usipate shida wewe tuambie upo wapi na Unataka Laptop au Desk top aina gani ?? Usiwaze kwamba tunafanya kazi kulingana na idadi. Sisi tunafanya kazi kwa wote. ★ ★★★ ★★★★★★★★★★★★★★★★★★ OFA OFA OFA OFA...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

    ::::::: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa na kituo cha Utangazaji Cha Global TV alikuwa na haya ya kusema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza biashara ya vocha za jumla

    Kwa anaefahamu bei ya vocha kwa jumla ili na mimi niuze jumla madukani.
  16. Mayova

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanapouza simu ndogo (viswaswadu) kwa bei ya jumla

    Wazee mambo vip? Naomba mwenye kujua maeneo ambayo dar wanauza viswaswadu (simu ndogo) kwa bei ya jumla. Natanguliza shukrani
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

    Jinsi wanavyojiona ni timu tishio kisa tu walimfunga simba kwa kubahatisha goli 5-1 , hawa watatolewa kirahisi sana na Mamelod. Kwa mkapa watapigwa 3-1 na kule south watapiwa kama walivyopigwa na CRB plus goli 1. Wao wanafikiri mfano wakikutana na simba nusu itakuwa ni rahisi kuitoa simba...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Njooni tujadili zinakokwenda fedha za umma

    Maskini Watanzania walipa kodi nawaonea huruma mno. Simlsumu Rais Samia bali naulamu mfumo wetu wa kutawala. Leo tumeona notice ya wateuliwa wapya na wengine wengi wamepata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, wengine kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine. Hapo fedha...
  19. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Natafuta connection ya maduka ya jumla ya liberty jijini Mwanza

    Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie. Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe mwongozo wa Kuwa naagiza bidhaa za dukani kutoka mwanza kuja Kisiwani Ukerewe. Natanguliza shukrani wakuu
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal atangaza msamaha wa jumla kwa wapinzani wa kisiasa

    Taifa hilo la Afrika Magharibi linakabiliwa na mzozo mbaya wa kisiasa katika kipindi cha miongo kadhaa baada ya Sall kuahirisha gafla uchaguzi wa rais wa Februari 25 saa chache kabla ya kampeni ya uchaguzi huo kuanza. Sall ameitangaza hatua hiyo ya msamaha kama njia ya kuiunganisha nchi, baada...
Back
Top Bottom