jumla

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Simba walitolewa na Jwaneng Galaxy kwa matokeo ya jumla ya 3-3

    Kejeli dhidi ya mafanikio ya Simba ya zinakuwaga kubwa halafu pale upande wa pili wanapofikia mafaniko hayo au wanapopata changamoto fulani ambayo Simba waliwahi kupitia ndiyo fahamu zinawajia wanasahau yale waliyowahi kubwabwaja. Msimu uliopita katika mashindano ya Champions League hatua ya...
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Musiba amemponyoka Membe lakini Shangazi na mama wa hela ya mboga wamemng’ang’ania; hana pa kuchomokea, anadaiwa jumla ya Tsh bilioni 15.58!

    Subiri kwanza, bado mapema. Cyprian Musiba Majura Muingereza popote alipo anaweza akawa anachekelea kuwa Membe kafariki, hivyo amenusurika kulipa mabilioni aliyokuwa anadaiwa. Anajidanganya sana. Hii ni sawa na kuchekelea kuruka majivu halafu ukatua motoni. Hii ngoma bado mbichi sana! Hukumu ya...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

    Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa. Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa...
  4. Mahrez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo. Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani. Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa...
  5. Mayova

    JamiiForums Tanzania Chimbo zuri la simu za biashara na vifaa vya umeme kwa bei nafuu kwa bei ya jumla

    Habari wenyeji na wataalam wa biashara. — Naomba kujua kama kuna mtu mzoefu na anaye jua chimbo zuri la simu na vifaa vya umeme kwa bei ya jumla
  6. M

    JamiiForums Tanzania Miamvuli kwa bei ya jumla

    Habari ya humu wadau? Nauliza mtu anayejua sehemu wanauza MIAMVULI KWA bei ya jumla Dar
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tunauza Alizeti kwa bei ya jumla

    Ninauza Alizeti, Mashudu ya Alizeti, Mafuta ya Alizeti. Pia, ninayo mahindi mapya mwaka huu, na Mahindi ya mwaka Jana. Alizeti ni ya mwaka Jana. Karibuni sana waungwana. Pia, Kwa ushauri wa kilimo cha Alizeti, Mbaazi, Mahindi, Dengu na karanga
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kukokotoa faida na hasara kwenye biashara ya jumla na reja reja na namna nzuri ya kuuza

    Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa. Kuna hizi bidhaa hapa Bidhaa zinazokuwa kwenye package moja ila zinauzwa moja moja labda ndani ya package ziko mia na...
  9. Nyamayanguruwe

    JamiiForums Tanzania Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  10. Cholowao

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Maziwa ya Jumla Tanga

    Hivi ni wapi naweza pata maziwa kama lita 1,000 kwa siku nikiwa Tanga?
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Supplier wa mifuko (viroba) ya kilo 25 na kilo 50 wa jumla jumla anahitajika

    Mambo yasiwe mengi, Nahitaji supplier mwenye mfuko ya kilo 25 na kilo 50 kwa bei ya jumla alete quotation yake na contact au physical address tufanye biashara. Karibuni.
  12. matheiavelini

    JamiiForums Tanzania Korosho bei ya jumla

    Unawapa kitafunwa gani wageni wako? Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi? Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu. Bei ya Jumla; Ikg =21000/ Nusu kg=11500/ Robo kg=7000/ 100g =3000/ Agiza leo nikuletee mpaka...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nina mzigo wa kutosha wa maembe, nauza kwa jumla

    Nina mzigo wa kutosha wa maembe nauza jumla. Nina aina ya maembe ya dodo, bolibo na maembe ya apple.
  14. Amiry outfitstore

    JamiiForums Tanzania Tunauza handbags za kike kwa bei ya jumla na rejareja

    Hello wana JF, Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja. Kwa mawasiliano ni 0626817740 Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuwa na mwanamke mrembo ukagoma kuimiliki jumla au kuoa kwa kuhofia uhakika wa kuchapiwa?

    Wasalaam, Umofia kwenu! Eeh bana eeeh were were mwaka jana nilipata bonge la demu mtoto wa kipare bonge la pisi ukanda huu wa pwani alikuwa mdent wa chuo fulani anatokea kati ya Makanya, Same au Hedaru sina hakika, demu black beauty, trackoo hana mpinzani, kichwa kidogo dogo, hana tumbo...
  16. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu atakayenipunguzia mzigo wa filamu kwa bei ya jumla

    Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana nikakupa ela kidogo ya wi fi.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Habari wakuu. Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu. Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma. So far, nimefikiria kuwekeza katika...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 iweje upungufu wa Megawati 300 usababishe mgao mkali hivi?

    Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu, So inakuwaje upungufu wa megawati...
  19. Blauzi mbovu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza dagaa nyama na wengineo

    Wadau habari za leo ! Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao: 1. Dagaa nyama, 2. Dagaa wakavu/Lukumbu, 3. Lumbunga , na 4. Ng`onda pia wapo. -Mauzo ni kwa jumla, -Bei ni poa, -Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza Sabuni za Magadi kutoka Kigoma, kwa bei ya jumla na rejareja

    Tunauza sabuni za magadi kutoka Kigoma kwa bei ya jumla na rejareja. Tsh 29,000 Ukichukua carton zaidi ya 25 ni, na Tsh 30,000 kwa carton 1-25. Tunapatikana Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam. Unapochukua carton 100 au zaidi utaletewa sabuni...
Back
Top Bottom