jumla

  1. Roseyree

    JamiiForums Tanzania Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  2. Half american

    JamiiForums Tanzania Wapi napata spea parts za scania kwa bei rafiki ya jumla?

    Habari za siku wakuu, naomba kujulishwa machimbo ya spea parts za Scania kwa bei ya jumla hasa Temeke na kariakoo. Natanguliza shukrani.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bei ya chicken wire kwa bei ya jumla

    Habari za wakati huu GTs, Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla. Nipatikana Mwanza
  4. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    Je una butcher la samaki wa maji chumvi(samaki kutoka baharini),tunauza samaki kwa bei ya jumla bei zetu ni nafuu na unalipia pale unapopokea mzigo,mzigo wetu unaipokelea mbagara zakhem, tafadhari fungua hiyo picha uone bei zetu za samaki na pia unaruhusiwa kuuliza chochote
  5. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Dukani kariakoo live:simu,TV,majiko,vifaa vya simu na computer.bei jumla

    Naomba mods msifute hii thread yangu Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa zetu ubora umezingatiwa Nauza jumla na rejareja Karibuni sana. Kwa wale wafanyabiashara nawapa bei...
  6. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Sendo za kike jumla na rejareja

    Karibu kupendezesha miguu kwa sendo kali na za kisasa. Kwa 15,000 tu unapata chaguo lako leo. Kama unataka kwa jumla nakuuzia kwa bei ya punguzo kubwa kuanzia pair 5. Piga simu/WhatsApp: 0683535699.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuku waliomaliza kutaga 1000+(ex layers)

    Nataka kuku layers waliomaliza kutaga bei ya jumla 11,000 nipo dar es salaam, mawasiliano 0621 863 980,nataka kuanzia 1000+ na zaidi
  8. covid 19

    JamiiForums Tanzania Aya wadau wa jamii forum nafanya derivery ya vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo popote ulipo nakufikia kwa bei ya jumla.

    Karibuni mnisupport wadau wenzangu. Mawasiliano 0769 055050 Nipples za kuku na nguruwe.
  9. Logikos

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000

    Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
  10. Philipo D. Ruzige

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua bei ya tiles za jumla au connection ya kiwandani

    Habari ya muda huu wadau. Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache. 40×40 - box 65 25×40- box 45 Skirting - box 7 Tiles za tangastone- box 18 Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze. Au, Kujua wholesale price ya tiles za...
  11. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Simu Nokia 106 jumla tsh 19,500 na rejareja tsh 23,000

    WATEJA WANGU WANGUVU NIMEWALETA SIMU ZA NOKIA 106 FULL BOX BEI YA JUMLA TSH 19500 REJAREJA 23000 NIPO KARIAKOO UHURU PLAZA MIKOANI UNATUMIWA KWA UAMINIFU MKUBWA NIPIGIE 0713861567 / 0760081567
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayenunua korosho kwa jumla. Zipo kilo 15. Kilo moja 15000. Nipo dar Nicheki 0620 239 355

  13. Mjina Mrefu

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

    Wakuu, Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone. Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo. Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
  14. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

    Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa Size kuanzia 32 mpaka 43 Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kununua saruji (cement) toka kiwandani moja kwa moja au lazima ninunue toka kwa agent?

    Ndugu zangu, habarini. Naomba ushauri, nataka kujenga. Nimepigiwa mahesabu kwamba paka nyumba kuisha ninatakiwa mifuko 300 ya cement. Sasa, nafikiria kununua toka kiwandani kwa jumla ili kupata bei ya jumla. Swali langu ni kwamba, je nitaruhusiwa kununua toka kiwandani moja kwa moja au lazima...
  16. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa vya laptop tablets na desktop kwa bei ya jumla

    Wakuu naombeni mniungishe WA mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Hata pc moja nakupa bei ya jumla . ADAPTER,KEYBOARD, RAM, VIOO VYA LAPTOP, HDD, HDMI CABLES STAND ZA KISHUA,MOUSE ,PROTECTOR . CHARGER ORIGINAL ZA TABLETS NA SIMU
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameichukua jumla jumla slogani ya Ahmed Ally ya "UBAYA UBWELA"?

    Naona mama anapiga katafunua kali kali sana, yaani hii ndio "ubaya ubwela" kwa rangi zake, nadhani amepiga miksa na kurujuani ya Mzee Magoma, yaani hata aliyewaza kama Maharage, aliyeshiriki, anakula za uso. Hakopeshi, unapiga tukio, anakupiga tukio, ukiweka ugoko, anaweka jiwe, n'gadu kwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nokia 105 tochi kwa bei ya jumla na rejareja

    Nokia 105 Full box bei ya jumla 22,000. Rejareja 24,000. Zinaingia line mbili Kwa mawasiliano zaidi : 0717 592 165
  19. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maoni juu ya kurekebisha miundombinu ya kiafya (vyoo na takataka)katika mosoko ya jumla Dar-es Salaam, hasa Soko Kuu la Ilala

    Tanzania, kama nchi ambayo ukuaji wake wa kiuchumi unategemea sekta mbalimbali basi Masoko ya jumla yana nafasi kubwa na chanya katika pato la Taifa, kwani ukusanyaji wa mapato huwa ni kwa kiasi kikubwa katika masoko kulingana na shughuli mbalimbali zinazofanyika. Pamoja na faida kubwa ambazo...
  20. The last don

    JamiiForums Tanzania Nauza Macbook Pro za mwaka 2018 bei ya jumla

    Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla Specs: Macbook Pro display Retina Iris display 13.3' RAM: 16GB Storage: ssd 500GB Processor intel core i 5 3.1.Ghz Touch pad bar. Graphics: Intel Iris Plus Graphics 650,1536 bought from USA asking price ~Tsh...
Back
Top Bottom