jumanne

Jumanne Abdallah Maghembe is a former Minister of Natural Resources and Tourism for the United Republic of Tanzania. He has been a Member of Parliament for Mwanga constituency since 2000 until 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    Tetesi: Private jet ya Jux kuwasili Jumanne

    Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye mapokezi.
  2. U

    Tabora: BAKWATA wamng’oa sheikh anayedaiwa kufungisha ndoa mara mbili

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
  3. Roving Journalist

    Maduka mengi yaendelea kufungwa Kariakoo, Jumanne ya Juni 25, 2024

    Licha ya kuripotiwa kuwepo kwa suluhu kwenye baadhi ya madai ya Wafanyabiashara waliyowasilisha Serikalini na kufanyika kikao cha pamoja lakini mpaka kufikia Saa tatu Asubuhi hali ya mgomo inaonekana kuendelea maeneo ya Kariakoo ambapo maduka mengi yameendelea kufungwa. Itakumbukwa kwamba jana...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyingine ya wiki?

    Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyengine ya wiki?
  5. Gordian Anduru

    CAF yathibitisha tarehe ya draw ya hatua ya mtoano ni Jumanne March, 12 mwaka 2024

    Tarehe ya drop Iko hapo chini Mwaka 1969 ilikuwa ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu Moja robo fainali ya klabu bingwa ambapo Yanga Afrika waliiwakilishw nchi. Mwaka huu 2024 ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu mbili mbazo ni Yanga Tena na watani zao Simba.
  6. GENTAMYCINE

    Jumanne aanze Mzambia mbele ya Adui 'Why Dad' na Mkongo awe mtizama Sinema kwa Nje kwani hana Msaada na Tija

    Akianza Mzambia Adui ataangamizwa na Kujutia hata Kukutana nae.
  7. Ritz

    Israel yataja wanajeshi 11 zaidi waliouawa siku ya Jumanne

    Wanakumbi. Jeshi la Israel limetoa orodha yake ya wanajeshi ambao wamefariki katika vita vinavyoendelea na Hamas. Idadi hiyo ya vifo sasa imefikia 326, wakiwemo wanajeshi 11 waliofariki huko Gaza siku ya Jumanne.Wanajeshi hao wote walikuwa na umri wa kati ya miaka 19 na 20. Jeshi la Ulinzi la...
  8. GENTAMYCINE

    Kama ulikuwa unajua sawa, ila kwa wasiojua ni kwamba 'Mbungi' ya Jumanne Cairo ni Saa 11 Jioni Saa za Kwetu Tanzania

    Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau ) kuwa Mwarabu aliyetukosakosa kama Goli 4 Kipindi cha Kwanza na Goli 2 Kipindi cha Pili anakufa na...
  9. Majok majok

    Simba nendeni Misri kukamilisha ratiba. Ukuta wa Yericko umegeuka kuwa ukuta wa biskuti, kila mechi bao

    Nilikuwa nawashangaa sana mashabiki wa hii timu walivyokuwa wanatamba sana mitaani wakijiapiza kumfunga Aly ahly goli za kutosha! Lakini kwa wale wanaojitambua tulikuwa tunajua madhaifu ya mwakarobo na lilikuwa ni suala la muda tu kuzima tarumbeta zilizokuwa zinapigwa na vijana wa Rage, Baada...
  10. Roving Journalist

    Naibu Waziri, Sagini ashiriki katika uzinduzi wa Shule ya Sekondary Kirumi, awazungumzia viongozi waliokwamisha mradi

    Wanafunzi Kijiji cha Kirumi Kata ya Bukabwa katika Wilaya ya Butiama Mkoani Mara wamepunguziwa mwendo baada ukamilishaji wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kirumi iliyoanza kujengwa tangu mwaka 2003 kwa nguvu za Wananchi ambayo ilikuwa hitaji kubwa la muda mrefu kwa Wananchi. Hafla hiyo fupi ya...
  11. Chizi Maarifa

    Jumanne safari kuja Mtwara. Haya mambo wadau tuwekane sawa

    Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara. 1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury 2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza. 3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara 4. Hotel gani nzuri na yenye...
  12. D

    Muliro kuongezewa muda kazini baada ya kustaafu akitenda kosa atashtakiwa kama raia au askari?

    Naam waungwana, hebu mnisaidie labda na wengine pia. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro alistaafu rasmi mwaka jana. Kwamba siyo askari kiongozi tena. Akaongezwa miaka miwili. Swali langu. Je, akitoa amri kwa sasa na amri hiyo ikaleta madhara kwa umma au askari...
  13. Nyendo

    Kamanda Muliro: Maandamano yakifanyika hayajifichi, huwezi kuwa mtu mmoja unatembea ukasema nimefanya maandamano

    Maandamano yakifanyika hayajifichi, huwezi kuwa mtu mmoja unatembea ukasema nimefanya maandamano, nadhani hata kwenye kamusi ukitafuta neno maandamano unaweza ukaelewa maana yake ni nini, usalama uliimarishwa kiwango ambacho kiliruhusu watu kufanya shughuli zao. "Tulimjibu mhusika na tukampa...
  14. Koffi Annan

    Polisi: Kigwangalla hajampiga risasi mlinzi Jumanne

    Polisi Mkoani Mwanza wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni kumhusu Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini na Mmiliki wa Kiwanda cha kuchakata Pamba kitwacho Mwalujo Ginery kilichopo Kijiji cha Mwalujo, Wilaya ya Kwimba, Hamisi Kingwangala kudaiwa kumpiga risasi Mlinzi wake Jumanne...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jumanne Kibera Kishimba Aishauri Wizara ya Elimu Kuhusu Mtaala na Sera ya Elimu Inayokuja

    MBUNGE JUMANNE KIBERA KISHIMBA AMETOA USHAURI KWENYE KONGAMANO LA MITAALA NA SERA YA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Mhe. Jumanne Kibera Kishimba ametoa maoni yake kwenye Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu Tanzania lililofanyika Jumapili ya tarehe 14 Mei, 2023 Jijini Dodoma. "Elimu...
  16. Street Hustler

    Ndugu Jumanne Kishimba ni mtu wa aina gani haswa? Mbona ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja tofauti na tulivyodhani?

    Huyu mbunge wa Kahama Kiukweli ndio mbunge anaejua kujenga hoja na kila akiongea anatoa vitu ambavyo vinafikirisha na vinajijenga mpaka unajiuliza vipi wale wataalamu hawakuliona Hilo au hawakuweza kujipa muda wa kulifikiria? Kwa wale tuliofika mwanza kipindi cha nyuma naamini mpaka sasa ukiwa...
  17. benzemah

    Rais Samia ampandisha cheo ACP Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP). Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la...
  18. M

    Azam FC msipotufunga Simba SC Keshokutwa ( Jumanne ) nitawalaumu na nitawadharau sana

    Nataka mtufunge ili tukichanganya na zile Hasira za Kufungwa Thalatha za Mwarabu jana tupate sababu ya Kuvurugana zaidi na Mgogoro uwe mkubwa Klabuni ili Mo Dewji ( Mwekezaji ), Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ( Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ) na mwana Yanga SC lia lia Murtaza Mangungu (...
  19. Suley2019

    Kuna siri gani kwa watu kufunga biashara zao siku ya Jumanne?

    Salaam Wakuu, Ifikapo Jumanne kwa Dar es salaam imekuwa ni siku ya shida kupata huduma mbalimbali katika maeneo ya biashara. Maeneo kama Saloon, Baa na maduka ya bidhaa mbalimbali yanafungwa katika siku hii. Je, kuna siri au sababu yoyote kwa jambo hili? Anayefahamu naomba kuelimishwa.
  20. mr mkiki

    Jumanne nyeusi kwa Rais Samia inakuja

    ANGUKO LA UCHUMI KWA TAIFA LA MAREKANI (1929~1933) Aliyeitwa Herbert hoover aliyekuwa na miezi nane tu kwenye uongozi wake kutokana na kutokujuwa vema nini maana ya urais wa marekani uchumi ukaanguka, siku ambayo wao waliyoitaja kama jumanne nyeusi hali ilikuwa mbaya zaidi 0.75 walipoteza...
Back
Top Bottom