jumanne

Jumanne Abdallah Maghembe is a former Minister of Natural Resources and Tourism for the United Republic of Tanzania. He has been a Member of Parliament for Mwanga constituency since 2000 until 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Sheikh Jumanne Kingu awashutumu waalimu

    18 November 2022 SHEIKH JUMANNE, WEMA UMENIPONZA. Sheikh Jumanne Kingu akiongea kwa uchungu baada ya kuachiwa huru na mahakama ya wilaya ya Arusha. Criminal Case number 67 of 2022 Jamhuri vs Jumanne Juma Kingu Tuhuma zilikuwa kuwafanyia ukatili watoto wa shule mojawapo mjini Arusha...
  2. N

    Draw ya Yanga Shirikisho kufanyika Cairo keshokutwa Jumanne

    Naam, ile DRAW ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo. Draw hiyo itakuwa na vibonde kama TP Mazembe, La Passe, Young Africans, Kwara UTD, Plateu, Zesco n.k. Hatma ya vibonde...
  3. Thabit Karim

    Sintofahamu Nyongeza ya Mishahara: Serikali Kukutana na TUCTA 26/07/2022

    Serikali kupitia ukurasa wa Twitter wa Msemaji Mkuu wa Serikali imesema itakutana na viongozi wa TUCTA kuhusu suala la nyongeza ya mishahara. Taarifa hiyo imesema hivi: Ndugu wafanyakazi, Jumanne tarehe 26 Julai, 2022 Serikali itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA)...
  4. U

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  5. L

    Mufti wa Tanzania : Mwezi haujaandama, sikuu Jumanne

    Mufti wa Tanzania,Abubakary Zuberi amewatangazia waumini wa dini ya Kiislam nchini Mwezi haujaandama, hivyo Waislam wakamilishe funga ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani kesho Jumatatu, hivyo sikukuu itakuwa keshokutwa Jumanne tarehe 03/05/2022. Kwa hiyo kesho watu waendelee kupiga kazi.
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Je, Kamanda Jumanne Muliro anatosha kuendelea kuwa RPC wa Dar?

    Kwa matukio yanayoendelea kila kona sasa ya mkoa huu, ni wazi kamanda Muliro kazi imemzidi na hatoshi kwenye majukumu yake. Kila kona ya Dar ni matukio ya wizi tu mara panya road, mara vishandu, mali zetu zinakuwa rehani. Majira ya usiku kwasasa kama huna usafiri binafsi ni hatari sana kwa jiji...
  7. T

    Jumanne Kishimba: Asilimia 90 ya wataalam wetu wanajua kusoma na kuandika ila hawana maarifa

    Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi. Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila...
  8. BigTall

    EWURA: Hifadhi ya Petrol ya iliyopo Tanzania ni ya siku 27, jiandaeni kwa bei mpya Jumanne Aprili 5, 2022

    Watanzania wametakiwa kukubaliana na hali halisi kuhusu bei mpya ya nishati ya mafuta ikiwemo Petrol, Diesel, Mafuta ya Taa na Ndege ambayo itatangazwa Jumanne ijayo Aprili 5, 2022 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Godfrey Chibulunje amesema kupanda...
  9. ESPRESSO COFFEE

    Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Chama is Back, Triple C is Back. Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri. Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
  10. M

    Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

    Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani. Mambo mengi yatakaa sawa...
  11. R

    Jumanne Muliro aache kupaniki suala la Askofu Mwingira, badala yake asome PGO

    Nimemsikiliza Jumanne Muliro Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida...
  12. N

    Shahidi wa michongo Afande Jumanne kuja na jipya lipi leo?

    Tunaona kila kitu kinavyoenda na kwa kweli sio mbaya kabisa kwani Mbowe akifungwa itakuwa ni chachu Zaidi ya mapambano kwani very soon we will see the right light! Leo Shahidi wa michongo Afande Jumanne anakuja kuendelea kutoa ushahidi wake wakati hata yeye anajua fika kuwa yeye ni Shahidi wa...
  13. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Mbona hawa Askari wanatamba nchi nzima?

    Hivi Kingai, Godluck, Mahita, D/C Msemwa, Afande Jumanne, Minja na Afande AZIZI, Hawa ni askari huru wa polisi wakuzunguka nchi nzima na kukamata? Maana hata wakuu wa Vituo wanakowapeleka hao walio kamatwa hawana sauti. Je, tuseme mikoa haijajitosheleza kuwa na askari wapelelezi? Mbona...
  14. Frumence M Kyauke

    Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge.

    Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge. Mchekeshaji huyo ambaye amekuwa akitrend kwenye mitandao ya kijamii kwa muda sasa, alijaribu kuwaongoza wasanii wa muziki kuvamia Bunge kwa nia ya kurekebisha tasnia ya muziki nchini Kenya. Akitumia...
  15. B

    Tupate uthibitisho wa tuhuma zinazomkabili ASP Jumanne shahidi Na. 8 wa Jamhuri kesi ya Mbowe

    Naomba kwa mwenye usahihi wa tuhuma zinazoelekezwa kwa shahidi Na. 8 atusaidie kuziweka hapa for future reference lakini pia kusaidia familia yake kujua kijana wao huko kazina anatumikia umma au anajitumikia. Hadi Sasa zipo tuhuma tatu nzito dhidi yake ambazo Ni: 1. Anatuhumiwa kumwekea...
  16. Guacamole

    Jumanne ingekuwa weekend!

    Hii siku hiii! Hata sijui imewekewa nini. Yaani mambo hayaendi kabisa. Hii ndio siku ambayo naingiza pesa ndogo kuliko siku nyingine ndani ya wiki kwenye biashara yangu. Sijajua kama hii ni kwa wote ila kwa watu wengi ninao associate nao naona wana experience vyema hali ya hii siku. Nahisi...
Back
Top Bottom