juma

  1. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Juma Nature andaa Shoo yako kuonesha wewe ni mkubwa

    Kiroboto sihitaji andika sana, hebu kaa na wadau mjini usisubirie upepo wa sugu na lile tamasha lake kaa na wadau itisha tamasha HESHIMA YA JUMA NATURE siku moja tu usiku mmoja tu. Hiyo siku tuje turuke goma zako Tupakue ugali Tumuimbie radhia Tulianzishe kigheto gheto Tumtulize mtoto iddy...
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Juma Nature kama muziki umekushinda tafuta kazi nyingine, usichafue watu

    Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline. Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature. Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila amekuwa anazingua sana kwa kutokubali kukua. Usela wa uswahilini unamharibia sana. Nature bado...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

    Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu. Sasa show ikafanyika Nature hajaonekana. Shabiki mmoja huko Insta akaona amuulize swali Nature mbina ulitangazwa utakuwepo Nangwanda...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Juma Mwindadi

    SHEIKH JUMA MWINDADI Imenichukua miaka mingi kuitafuta picha ya Sheikh Juma Mwindadi. Hatimae picha ya Sheikh Jjuma Mwindadi nimeipata kutoka kwa familia yake. NImefahamishwa kuwa ingawa watu wamezoea kumwita ''Juma,'' yeye jina lake ni ''Jumaa Mwindadi Jumaa.'' Mara ya kwanza kukutana na...
  5. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Simba SC mchukueni Juma Kaseja ni mkongwe lakini akiwa golini kwenye mechi tafu anaweza, kuliko hao mnaobahatisha

    Nimemaliza Sina mengi viongozi wa Simba dharau ndio Zinawaponza mara zote ! Mfano benno ni Bora mara kumi ukimtoa Aishi na huyu wa gorilla wa yanga wengine wote hakuna wa kimfikia benno kakolanya ..Sasa hivi tuna mashindano magumu Sana mwezi oktoba alafu kipa mnabahatisha ,chukueni juma kaseja...
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY === Kamishna wa...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda lalamiko dhidi ya Juma Choki, Loren Japhet apeleka tena malalamiko dhidi ya Nasibu Ramadhan.

    Nilishasema huyu kijana huwa wanamuonea sana linapokuja suala la maamuzi. Kule lile pambano ambalo alicheza na Juma Choki na ushindi akapewa Juma Choki aisee ule uamuzi wengi tuliutilia mashaka uamuzi sahihi ulikuwa apewe ushindi Loren Japhet au matokeo yawe sare. Loren Japhet alipeleka...
  9. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya Mzee Michael Juma

    Kwanza niwashukuru nyote mlonipa ushauri juu ya Nini tufanye tumpate mzee wetu.Ukweli tulifanya kila kitu ata kujiunga magroup mbalimbali ya wasapu na fb. Tuliopita kila Kona,tulifanikiwa kumpata mzee mmoja aliyekuwa anafanya kazi gereza la musoma na sasa Ni mstaafu yupo Mkoani Singida alikiri...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juma Usonge awataka wazazi kushirikiana na Walimu kuwahimiza wanafunzi kusoma kwa Bidii

    Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani Mchangani kwenye ukumbi wa Skuli ya Sekondari Pwani Mchangani iliyopo Wiliya ya Kaskazin A Unguja...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

    Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee. My take: Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Abdulghafar Idrisa Juma: Kampuni zikitaka kuungana na kuingia sokoni haitakiwi kuzidi asilimia 35 ya hisa. Nini kimewasahaulisha FCC?

    Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni Mhe. Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye...
  13. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Soka la bongo ni Nyoso Ila sio Juma

    Soka la bongo halitaendelea kamwe kwasababu ya ubovu wake kuanzia kwny timu zake unafiku uzandiki ushamba Hivi hizi simba na yanga n timu za Kenya na Tanzania au? maana ushabiki unazidi Sasa si ajabu jumapili umuone mwana simba anawashabikia rivers hadharan kwa mkapa wampige yanga hii hata watu...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Juma Masoud Faki nitagonbea Urais Zanzibar 2025

    Watukufu Wazanzibari Wakaazi nawatangazia peupe kuwa ifikapo 2025 insha'Allah nitagombea Urais Visiwani Kwa tiketi ya CUF insha'Allah. #2025JumaFakiAtosha
  15. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Leo Jumatano ya Majivu unasali ukiwa Kanisa gani?

    Kristo Leo ni Jumatano ya majivu ambapo kwaresima inaanza rasmi kwa mwaka 2023 mimi nitaenda St Peter Oysterbay kusali. Wewe utakuwa Kanisa gani?
  17. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Juma Raibu atishia kumtwanga risasi diwani mwezake

    Miezi michache baada ya kuvuliwa umeya kutokana na kashifa ya kudaiwa kuhudhulia sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanumme wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, aliyekuwa meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameingia katika kashifa nyingine tena, akidaiwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha Juma Mgunda ukiona 'anayetroti' ni Kipa jua atakayetoka siyo Mchezaji wa ndani

    Pamoja na kutumia Nguvu Kubwa sana (yenye Unafiki mwingi) ya kuonyesha kuwa Unampenda Kocha Mkuu wa Simba SC (Boss wako) Roberto Olivieira na kwamba huna tatizo nae tayari wenye Akili na Maono wameshakushtukia na hata Kocha Olivieira nae Kakushtukia na wameamua Kumleta huyo Mtunisia ili aje kuwa...
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania "Bongo nyoso" na "katoa boko" vina uhusiano na Juma Nyoso na John Boco?

    Mtu akisema "bongo nyoso" inamaana bongo noma, au hatari, au ujanja ujanja mwingi. Mtu akisema umetoa boko ni kama umeharibu, hukufanya kama ilivyotarajiwa au ilivyozoeleka, sasa je? Kuna uhusiano wa na lile tukio la wachezaji au ni coincedence ?
Back
Top Bottom