juma

  1. Execute

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda sio kocha mzuri kwenye mbinu hivyo ni sahihi Simba kuleta kocha mwingine

    Michuano ya CAFCC inahitaji mbinu nyingi sana wakati Juma Mgunda ni mzuri zaidi kwenye uhamasishaji. Ni sahihi kwa Simba kuleta kocha atakayeenda kushindana kimbinu kuliko kuwa na mhamasishaji peke yake.
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

    MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele. “Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda atakuwa mbuzi wa kafara

    Juma Mgunda atabebeshwa zigo la lawama, ila ukweli ni kwamba Simba ni mbovu. Watu tulisema toka mwanzo kwamba Simba ni mbovu tukaishia kutukanwa. Njooni Jumamosi Taifa muone Mbeya City atakavyogongwa bao nyingi na Yanga ndiyo mtajua tatizo la Simba siyo kocha, shida ni timu mbovu. Juma Mgunda...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Juma Aweso fika wilaya ya Moshi ( Mwika) watu watumia maji ya RUWASA wanaharisha , mamia wamelazwa

    Hali ya wananchi wilaya ya Moshi , eneo la mwika mamia ya watu wamepatwa na ugonjwa wa hatari wa kuharisha na kutaapika baada ya kutumia maji ya RUWASA. Kilio hili kimemfikia mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ila hakuhangaika na wananchi Bali amekimbilia kusimamia moto mlima Kilimanjaro. Wagonjwa ni...
  5. Kaka Yaoh

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Watanzania wamempata Pitso Mosimane wao Juma Mgunda (Guardiola Mnene)

    Aliiongoza Coastal Union kucheza fainali ya kombe la FA. Inshaallah mwenyezi Mungu muweza wa yote akimpatia uzima na afya njema siku ya tarehe 16/10/2022 ataiongoza miamba ya soka ya Afrika Mashariki Simba Sc kutinga katika makundi ya ligi ya mabingwa Afrika. Hakika Juma Mgunda ni dhahabu na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Miamba ya soka ya Africa, Al Ahly wanamfuatilia kwa karibu kocha wa muda wa Simba Sc, Mheshimiwa Juma Guardiola Mgunda ili waweze kuinasa saini yake

    Amani iwe nanyi: Nimepokea taarifa za kushtusha kutoka katika chanzo changu cha kuaminika nchini Misri ikieleza kuwa Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud Ibrahim Ibrahim El Khatib ni mfuatiliaji mkubwa wa mechi za Simba Sc na amekuwa akikoshwa na uchezaji wa timu ya Simba toka kocha Guardiola...
  7. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Mimi ni shabiki wa Yanga na Juma Ramadhan Mgunda

    Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua sana na ni ligi bora afrika mashariki na kati hivyo makocha wetu wanaona bora wabaki hapahapa nchini...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda akiaminiwa anaweza kuiduwaza simba!

    Simba ya mwaka huu ni mbovu zaidi kuliko ya mwaka jana! Usajili wa mwaka huu haueleweki kabisa! Lakini tukimuamini Mgunda anaweza kutuvusha.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda jiandae kupoteza kibarua chako endapo utaendelea kupanga kikosi kwa mujibu wa Matola

    Ahlan Uzi unaenda moja kwa moja kwa kocha Mgunda,nafuatilia mtanange wa simba dhidi ya prisons kupitia azam max nikiwa jijini Ljublijana hapa nchini slovenia.Nikiangalia kikosi cha simba naona wazi kuwa kocha Mgunda anapangiwa kikosi na msaidizi wake Matola. Hivyo ajiandae kabisa kutimuliwa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ni Msanii Gani wa Bongo Fleva mwenye Nyimbo nyingi wa wakati wote,? Sugu, Juma, mond au prof

    Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini. Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord trucks nyingi na zilizokuwa released sijaweza kupata jibu, lakini Kwa mawazo yangu anaweza akawa kati...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Kocha Juma Mgunda Kuongea Kingereza unawazidi hata wasomi wakubwa nchini

    Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila...
  12. Abeid L Msanganzila

    JamiiForums Tanzania Kwako Juma Aweso na Wizara yako ya Maji

    Habari za mchana huu wadau wote wa jf? Poleni na mihangaiko ya kutafta pesa. Mtaani kugumu kweli, kila kitu bei juuu😆 Niende kwenye point! Wilaya ya Nkasi ni moja ya wilaya za mkoa wa Rukwa. Hii wilaya ina uhaba mkubwa sana wa maji. Mito ni mingi ila asilimia 90 ni mito ya msimu mmoja, yaani...
  13. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Suala la Juma Mgunda, TFF wamezidisha maswali zaidi kuliko majibu au ufafanuzi walioutowa

    Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali. 1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni. Sasa swali la...
  14. T

    JamiiForums Tanzania SIMBA mpeni mkataba wa kudumu kocha Juma Guardiola Mgunda. Tutegemee soka biriani

    Uzi tayari
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda afungiwe kufundisha mpira ligi kuu Tanzania

    Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na: 1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja. 2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Hassan Bumbuli kuhusu Kocha Juma Mgunda

    Kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka maoni yake kama ifuatavyo;
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba yamtangaza Juma Mgunda kuwa Kocha Mkuu wa muda

  18. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Waziri Juma Aweso, sifa zake zinatoka wapi? Mbona matatizo ya maji ni mengi mno

    Kiukweli sijajua wanaomsifia huyu mtu wanatumia vigezo gani; 1. Baada ya kulipa bili ya kuonganishiwa maji itachukua hata nusu mwaka kuungishiwa bomba mpaka mitaro inajifukia(mabomba wanasema hamna na hapa rushwa na watu wa stoo ndio kwao kama TANESCO). 2. Wananchi kujichangisha mamilioni ili...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Juma kaseja apewe heshima yake ,anahistoria kubwa katika soka letu ,

    Namkumbuka huyu mwamba kuanzia miaka ya 2002 ,wengi wetu huenda walikuwa wadogo kabisa,,juma k juma,Tanzania one,huyu jamaa amecheza na wachezaji wengi ambao Leo ukiwaona ni wazee,,wakati beki ni bonfasi pawasa,kaseja alikuwa langoni,wakati matola ni mchezaji kaseja alikuwa langoni,wakati Steven...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Juma Raibu Meya aliyevuliwa Madaraka Moshi akanusha madai ya kung'oa miundombinu aliyoiweka alipokuwa madarakani

    Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwenye Jumatatu hii ya Pasaka , Kwamba Mheshimiwa Juma Raibu aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , kabla ya kung'olewa hivi karibuni , ameanza kampeni kabambe ya kuondoa miundo mbinu yote aliyojitolea akiwa madarakani . Wakati wa madaraka...
Back
Top Bottom