Kuwapa nafasi wagombea kutoka CHADEMA kugombea ubunge na udiwani CCM wakati sisi tulimpigania JPM wao wakiizungusha mikono na Lowassa imekaaje?

Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
336
677
Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?

MAENDELEO HAYANA VYAMA!
 
Hata wewe ulimfuata Lowassa ila leo unajifanya hukumfuata huku kwetu Chadema
 
Kwa hiyo ni haki wao wapewe nafasi bila kushidanishwa na sisi wazawa? CHADEMA tumegundua janja yenu ya kushinda viti kwa mlango wa nyuma. KILA ANAYEKUJA ANATAKA AWE MGOMBEA.
 
General election hakuna huo ujinga wa kuweka sharti la kupitishwa kwa viti maalumu!

Hao wafuasi wa Mamvi &Co chances za kurudi bungeni hakuna watatemwa asubuhi tu sema wanavizia nafasi za kuteuliwa zaidi baada ya kuona huko waliko sasa jahazi zinazama au hhawaaminiki tena baada ku-violate maslahi ya mwenye chama!
 
Uanachama ni kujitolea, ndo maana ya kuwa Mwanachama, mtu hawi mwanachama wa club ili anufaike na vyeo la hasha, bali unakuwa Mwanachama ili kujenga club yako na kujitolea kwa hali na mali ili club yako ifanikiwe, hivyo kama ulijiunga CCM ili upate vyeo basi unaweza pia kwenda kwani hautapata cheo.
 
Kwa baadhi ya watu sisi wanaCCM tulifanya makosa, watu walikatwa kwa chuki na walikuwa na uwezo wa kushinda na walipoenda upinzani walishinda watu hao bila hiyana wanastahili kugombea tena.

Wakati wa kumpigania Magufuli uliahidiwa Nini kamanda? Kama hakukuahidi chochote kwa Nini uumie? Kwa kukukumbusha tu zaidi ya wanachama milion 8 walimpigania Magufuli, ulitaka atoe vyeo kwa hao wote?

Siasa za makundi sio nzuri na wewe inaonesha ni muumini wa siasa na unaumia sana kuona wengine wakinufaika huku wewe uliyekuwa umeahidiwa cheo na mtia Nia wa kundi lako kuachwa
 
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi Maendeleo Hayana.
Tutawakata Wote Watakaoonekana Kuwa Tatizo
 
Kwani ile CCM ya kwenye uchaguzi imebaki na manguo rangi ya SENENE na manjano,kwenye uchaguzi tuliambiwa chagua Magufuli,hatukuambiwa chagua CCM,kwa hiyo hicho Chama kilijiuza bila chenyewe kujua.kimebaki kulalamika kwenye mitandao,angalia kina kinana wamekuja kushituka na kujalibu kudai chama chao , tayali wameshachelewa/wanadukuliwa
 
Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?

MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Kasirika sasa wewe nenda Chadema!
 
Kama hujui nikujuze! Lowasa na kundi lake lote walikuja kuua chama! Kasome kitabu cha zBiblia YUDA 1.
Hao walikuwa na kazi maarum, nakazi yao inaonekana sasa! Ndo maana chama kinapukutika.

Walishasoma kila kitu.
 
Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?

MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Magufuli ndio anaamua nani wa kugombea ccm , nyinyi wote ni vidampa tu
 
Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?

MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Ss tuliokitumikia chama muda mrefu hatupewi nafac CCM ila wakosoaji wa CCM waliokuwa upinzani ndo muhimu haiwezekani
 
Kwa baadhi ya watu sisi wanaCCM tulifanya makosa, watu walikatwa kwa chuki na walikuwa na uwezo wa kushinda na walipoenda upinzani walishinda watu hao bila hiyana wanastahili kugombea tena.

Wakati wa kumpigania Magufuli uliahidiwa Nini kamanda? Kama hakukuahidi chochote kwa Nini uumie? Kwa kukukumbusha tu zaidi ya wanachama milion 8 walimpigania Magufuli, ulitaka atoe vyeo kwa hao wote?

Siasa za makundi sio nzuri na wewe inaonesha ni muumini wa siasa na unaumia sana kuona wengine wakinufaika huku wewe uliyekuwa umeahidiwa cheo na mtia Nia wa kundi lako kuachwa
Ccm hakina wanachama milioni 8,hizo takwimu ukitaka kuzithibitisha washauri chama chako waruuhusu tume huru ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom