joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. TMA: Joto linachangiwa na kusogea Jua la Utosi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema joto kuongezeka katika mikoa mbalimbali kunatokana na kusogea jua la utosi na upungufu wa mvua. TMA imesema vipindi vya jua la utosi nchini hufikia kilele mwishoni mwa Novemba wakati jua likielekea Kusini (Tropiki ya Kaprikoni), na hali hiyo...
  2. S

    Joto kali laporomosha soko la wanawake vibonge. Vimbaumbau wanapeta.

    Ukitaka kukutana na uvundo usioelezeka, basi tafuta demu mwenye umbo la tembo. Utajuta kwann ilimtaka. Kutokana na mijasho inayomwagika hovyo mwilini fungus wametapakaa kwenye mikunjo na michirizi yote. Vimbaumbau ndiyo mpango mzma kwa joto hili. © Sexless kungwi la kitaa.
  3. Usiteseke na joto

    Samsung AC Inverter Samsung Ac AR12TVH (btu 12)........1,350,000/= Samsung Ac AR18TVH (btu 18) .........1,800,000/= Samsung AC AR24TVH (btu 24) - 2,100,000/=* 0713520180
  4. Makonda awaweka matumbo joto Mawaziri

    Rukwa. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewaambia viongozi wa Serikali, wakiwamo mawaziri kuwa si lazima wampende. Amesema akihitimisha ziara katika mikoa 20 ataanika udhaifu uliopo katika kila sekta. Makonda ameeleza hayo leo Jumanne Februari...
  5. M

    Anayefaham hotpot ambazo zinatunza joto Muda mrefu

    Habari wadau, Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
  6. Joto Kali: Wanawake Wajawazito na Watoto Wachanga Waathirika Zaidi

    Wanawake wajawazito wanaweza kuwa hatarini zaidi wakati wa joto kali kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Joto kali linaweza kuzidi uwezo wa mwili wa kudhibiti joto la mama mjamzito, na hii inaweza kuongeza hatari ya matatizo wakati wa ujauzito na kujifungua. Muda wa kujifungua, wanawake...
  7. W

    Mwaka 2023 ulikuwa wenye joto zaidi katika historia

    Kulingana na data kutoka Shirika ya Hali ya Hewa ya Copernicus, wastani wa joto la Dunia mwaka jana 2023 lilikuwa nyuzi 1.48 Celsius joto zaidi kuliko miaka iliyotangulia. Wataalam watahadharisha mataifa kufanya mabadiliko ya haraka kutoka kwenye nishati chafu la sivyo joto litakuwa kali zaidi...
  8. Kutokwa na vipele vidogo vidogo na Kuwashwa mithili ya Sindano kwenye Jua au Joto

    Habari JF's, Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya kuwashwa kwa baadhi ya watu, wengine wakiwa wanasikilizia tu muwasho kimya kimya, hadi pale utakapomuelezea hali yako ndo na yeye anasema ''Hata mimi pia nawashwa sana hasa kwenye jua.'' Kwangu mimi sichukulii kama jambo dogo, Ningependa kuona...
  9. A

    DOKEZO Responded Sehemu ya kusubiria abiria Kivukoni joto ni kali na feni hazifanyi kazi

    Kuna tatizo tunaomba Serikali, Jamii na hasa mamlaka husika zifahamu ili hatua zichukuliwe, ni kuhusu kero ya joto kutokana na msongamano wa watu Kivukoni Jijini Dar es Salaam. Abiria tunaotumia vivuko tunapata shida sana wakati wa kusubiri Kivuko kwenye lounge kutokana na joto kali...
  10. Imekuaje leo joto limepotea ghafla Dar es salaam

    Hii mvua ya leo imekuja na upepo wenye unyevu wa baridi hadi raha hali hii ya hewa kwa leo inatusahaulisha machungu ya joto kali hapa jiji Dar Natamani hali ya hewa iendelee kuwa hivi ili itupunguzie machungu ya joto kali
  11. Tarehe 3 January 24 saa 8:17 mchana Mbagala joto ni nyuzi joto 34

    34°C
  12. Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Habari wadau. Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana. Tips muhimu za kuishi maisha...
  13. Salim Kikeke hivi Sweta lako huwa husikiii Joto?

    GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt...
  14. P

    Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

    Umofya kwenu! Husika na kichwa cha mada hapo juu. Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
  15. Kwa hili "Fukuto la Joto" la usiku huu, Dar tujiandae kwa mvua ya haja

    Usiku huu hapa Dar kuna joto lisilo la kawaida... Joto ni kali sana, huku kukiwa hamna kabisa upepo unaovuma... Kwa nijuavyo, kwa hili fukuto la joto, kinachofuata ni mvua kubwa sana.
  16. Kwa mara ya kwanza Dar joto linasoma 27 degree

    Haya ni maajabu Muda huu huu imefika 26
  17. Paul makonda wa joto sana, hivi zile ni nguvu zake au superstation? Arudisha matumaini mapya kwa wakazi wa jiji la miamba (the rock city)

    Maelfu ya wakazi wa jimbo la sengerema jijini mwanza leo hii walijitokeza kumlaki katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi (ccm) taifa aliyefanya ziara kwa mara ya kwanza ukanda wa ziwa tangu alipochaguliwa kuwa katibu mwenezi siku za hivi karibuni Makonda aliweza kusimamisha shughuli za uchumi...
  18. Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

    Kiwango cha joto mchana wa leo jijini Dar es Salaam kimefika kati ya 33°c na 34°c, hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili, chukua tahadhari usinywe bia mchana huu kuepuka kupoteza maji mwilini.
  19. Msiba wa Mama yake Askofu Mwamakula wapandisha Joto la Kisiasa Kyela

    Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa. Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge...
  20. Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

    Dar na zanzibar ndani hakukaliki,ivi ndiyo vita au jua lipo closet to the earth.?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…