Kutokwa na vipele vidogo vidogo na Kuwashwa mithili ya Sindano kwenye Jua au Joto

jastertz

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
392
743
Habari JF's,

Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya kuwashwa kwa baadhi ya watu, wengine wakiwa wanasikilizia tu muwasho kimya kimya, hadi pale utakapomuelezea hali yako ndo na yeye anasema ''Hata mimi pia nawashwa sana hasa kwenye jua.''

Kwangu mimi sichukulii kama jambo dogo, Ningependa kuona wale ndugu zetu au mamlaka husika zikichukua sampuli zipelekwe maabara ijulikane tatizo ni nini, limetokana na nini na namna ya kuondoa hili tatizo.

Binafsi kutembea kwenye jua siwezi, joto kali siwezi kukaa, wakati before nilikua normal, badae nikaja kugundua siko peke yangu tupo wengi wenye changamoto hiyo hata badhi ya mikoa. Ukienda kupata huduma unapewa dawa za alergy kama centrizine+panadol.

Tusitegemee tu wenye ngozi nyeupe watusemee, baada ya kuwa kubwa. Wataalamu kazi kwenu.

Nawasilisha.
 
JISUGUE NA BRASH , mda mwingine ni uchafu wa mafuta ukigandia mwilini unasababisha kuwa mwili kutopumua . viupele vidogo vinatokea
 
JISUGUE NA BRASH , mda mwingine ni uchafu wa mafuta ukigandia mwilini unasababisha kuwa mwili kutopumua . viupele vidogo vinatokea
hivyo vyote nimefanya mashuka nimefua kila siku nguo sirudii.. but tatizo ni lile lile..
hadi maji ya bahari pia nimeenda kuogeaa
 
Back
Top Bottom