Tunauza taa za joto za kulelea vifaranga. (heat infrared light bulb)

MRBIASHARA

Member
Sep 17, 2022
5
5
TUNAUZA TAA ZA JOTO ZA KULELEA VIFARANGA.
(HEAT INFRARED LIGHT BULB)
>>SIFA YA TAA ZETU<<<<
●Hutoa mwanga mwekundu ambao husaidia kupunguza stress kwa vifaranga na kufanya ale vizuri.
●Taa moja hulea vifaranga 100 hadi 150.
●Huzalisha joto la kutosha hivyo humfanya kifaranga wako kufurahia maisha.
●Hudumu muda mrefu bila kuungua wala kupasuka.
●Hutumia kiwango kidogo sana cha umeme.
●Ukitumia taa hizi huitaji tena mkaa hivyo kupunguza gharama.
●Huepusha uwezekano wa vifaranga kupata Magonjwa ya mfumo wa hewa yanayosababisha na gesi carboni dioxide na monoxide (zinazotolewa na mkaa)
●Zinakuja na warranty ya miezi 10.
●zina waterproof hivyo hadhi athiriki na maji.
●zimeundwa na madini maalumu ambayo huifanya isipasuke endapo ikianguka bahati mbaya.
■ukinunua taa mifugo plus
Utapata zawadi ya holder na kama haitoshi tutakupa elimu ya uleaji wa vifaranga bureee kabisa.
■BEI 15,000/= Tsh |Elfu kumi na Tano
●Call 0656 446 991
0747 608 608
0682 44 6464
TUNAFANYA FREE DELIVERY IN DAR ES SALAAM
>>>>>>PIA TUNATUMA MIKOANI KOTE>>>>>>>>>>
TUNA MAWAKALA TANZANIA NZIMA.
 

Attachments

  • TAA TAA.jpeg
    TAA TAA.jpeg
    115.1 KB · Views: 4

Similar Discussions

Back
Top Bottom