john

  1. GE2020 Hekima na Busara za John Madale Shibuda: Kongamano la maombi na maridhiano ya amani leo Mjini Dodoma

    Kongamano la Maombi,Dua Na MARIDHIANO ya Amani Kuelekea Uchaguzi Wa Oktoba 2020. Hakika Alichokihubiri Mzee John Magalle Shibuda Akiwakilisha Vyama 19 vya siasa nchini,kitabaki kuwa Ni MANENO YA DHAHABU Leo,Kesho na Milele. Shibuda Anabaki Ni Alama Ya Kutukumbusha kuwa TAIFA Hili litabaki hata...
  2. B

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ni mtu wa kufikirisha

    Watu wanaacha umeneja, ukuu wa mkoa, ukatibu Mkuu Wizara, wamiliki wa makapuni, mtu Yuko radhi amtoe mtu kafara au achalaze mwenzie viboko ilimradi aende bungeni kwenye mahela ya kujichotea, kujizolea yani Tanzania hii sijawahi kusikia kijana umri wa mnyika anasema napunzika kugombea Ubunge ni...
  3. Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM. Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
  4. M

    Yuko wapi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyoni Magharibi Mkoani Singida 2005-2015, John Paul Lwanji?

    Habari Wana JF naombeni msaada wa yeyote anayefahamu huyo mzee Aliyekuwa Mbunge wa Manyoni Magharibi Mkoa Wa Singida. Sijamsikia muda mrefu kwenye ulingo wa kisiasa na Je Bado Mbunge? mwaka huu aligombea Tena Kura za Maoni? Nakumbuka tu hoja zake Bungeni na na Kusambaratisha Upinzani Jimboni...
  5. GE2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

    This is very interesting, kwa kweli... Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo Tanzania nzima zitaanza trh 26/8/2020.... Lakini kampeni zisizo rasmi za MTU kwa MTU...
  6. GE2020 Namba 2: Mgombea wa Chama cha Democratic Part (DP) Philipo John Fumbo achukua fomu NEC ya kugombea Urais wa Tanzania

    Mgombea wa Chama cha Democratic Part (DP) Philipo John Fumbo, amekuwa mgombea wa pili kuchukua fomu ya NEC, kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwaajili ya kugombea kiti cha Urais. Mgombea wake mwenza ni Zainabu Juma Khamis.
  7. GE2020 Tundu Lissu kuchukua fomu ya kuwania Urais wa JMT tarehe 8 Agosti jijini Dodoma

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
  8. Mambo (10) kumi usiyo yajua kuhusu Rais John Pombe Magufuli

    NA MILADY AYO MAMBOKUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI. 1.Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani. 2.Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na nyingine Japani...
  9. Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

    Ilibidi niende Dar es Salaam kwa kutumia Ndege kutokea Mtwara lakini nimepita hii Barabara (Mtwara- DSM) makusudi nione hali yake, hii Barabara imeharibika, 90 KM zote zimeharibika. magari yenye uzito mkubwa yameharibu hii Barabara Barabara hii ya Mtwara - Lindi-Dar es Salaam imeharibika sana...
  10. GE2020 John Shibuda apitishwa kugombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha ADA-TADEA

    Chama cha ADA -TADEA kimempitisha John Shibuda kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 120 kati ya kura 130 zilizopigwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho huku mgombea mwenzake Mastadia Hilari akiambulia kura 10 Aidha, Chama hicho kimechangua Juma Ali...
  11. Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962 Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
  12. Pengo la Capt. John Komba halijazibika, tayari wimbo ungekuwa hewani muda huu

    Captain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa. Alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo mzuri sana, wenye ujumbe mzuri na wenye hekima za Hali ya juu Ndani ya dakika chache. Kwa Mara ya kwanza nilimsikia mwaka 1984 alipofariki Hayati Edward Moringe Sokoine. Ndani ya muda mfupi alitunga...
  13. Rais Magufuli, tafadhali mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee

    Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki. Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na...
  14. John Heche anastahili kuwa Mwenyekiti ajaye baada ya Kamanda Mbowe

    Tena hata sasa amechelewa. Yeye ndio alipaswa kuwa mwenyekiti hata sasa, ila Mbowe alilazimisha kuendelea kuwa mwenyekiti.
  15. Nimemsikiliza kwa umakini Ester Bulaya kisha John Heche, wanasikitisha sana na wanahitaji huruma

    Aliyekuwa Mbunge wa Bunda Mjini kupitia CHADEMA ndugu ESTER BULAYA nilimsikiliza kwa umakini sana wakati akiwahutubia wananchi wake. Alijinasibu kuwa yeye simba jike alijinasibu kuleta maendeleo Bunda mjini ikiwemo maji, madawati, Barabara huku akiiponda serikali ya CCM. Nilijiuliza sana...
  16. Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

    Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Dkt. John Pombe Magufuli. Kwako Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Natumai unaendelea vizuri na shughuri zako za kila siku. Mimi ni kijana wako mtanzania halisi mpenda maendeleo na mchapa kazi wa kweli. Nakupongeza kwa...
  17. GE2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

    Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. SEGEREA Jumla ya kura 144 Agness lambert 76 John Mrema 56 Masatu Wasira 7 Gango Kidera 3 Andrew 1 Kura zilizoharibika 1 BUNDA MJINI Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
  18. GE2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

    Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli? Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake...
  19. Che Guevara alitamani sana kuonana na Mwanamapinduzi Field Marshall John Okello

    Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari za Mwanamapinduzi aliyesaidia kuipatia Zanzibar Uhuru wake John Okello. Kwa his disappointment alishtuka kuambiwa the Man...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…