Mnapohangaika 'Kumsifia' Mchezaji wenu Faisal Salum kumbukeni pia bila 'pande' la John Boko leo 'mngenuna' tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,860
Na hapa ndipo Kipimo halisi cha aina ya Wanamichezo (hasa wapenda Soka) wa Tanzania walivyo ukichanganya na Waandishi wa Habari na Watangazaji wa 'hovyo hovyo' tulionao Tanzania kwa sasa. Yaani Timu yetu ya Taifa Stars jana 'imejitutumua' na kutoka Sare na Tunisia badala ya Kuwapongeza Wachezaji wote 'Mijitu' leo kutwa inamjadili tu Mchezaji wa Yanga SC Faisal Salum.

Hivi huyo (huyu) Faisal Salum wenu bila 'Pasi' ya Kwanza iliyoanzia kwa Jonas Mkude na kumkuta John Boko na Kumpa Yeye 'pande' angefunga?
 
Watanzania ni utopolo an wanafanya kutenganisha mambo tusem sio watanzania n wa simba na yanga ndo waliungana hivyo wangekua wanacheza kwakunyimana pas tunge pata hiyo sale!?

Kikubwa waache ujinga n team moja wamefanya kwa uwezo wao ulipofikia hivy 2

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu vipi kuhusu kile kikosi chako ulichoambiwa na mganga wako wa Pemba ?
Niliwaonya mapema tu TFF na Benchi la Ufundi kuwa wapange kama nilivyokipanga ila kwa 'Upuuzi' wao wakamuweka 'Nuksi' Himid Mao Mkami badala ya Feisal Salum ambaye hata kabla ya Mchezo ule katika 'Uzi' wangu ndiyo atakayeamua Mechi kwakuwa Kinyota (Kindumba) Jana ilikuwa inambeba Yeye na nikasema hata 'Hirizi' abebeshwe Yeye.

Nashukuru kwa 99.9% nilichokisema na kukiweka mapema hapa JF kuihusu ile Mechi kimejiri ( kimetokea ) Siku zingine Watu wa TFF na Benchi la Ufundi wawe wanasoma 'Threads' zangu haraka hapa Jamvini.
 
Tazama vyema kwa mchezaji yeyote bora si U17 or U20 kama anaweza kupokea mpira ovyo vile.

Na yule ndio tunasema natural striker na upokeaji mpira ndio vile mkuu.

Pia ndio tunategemea mashindano ya klabu bingwa kwa upokeaji mpira huo basi mtani tutaona mengi.
Umeanza lini kuwa 'Mental' hivi Mkuu?
 
Boko hakutoa pasi bali aliukontroo vibaya mpira kisha akawa anaukimbilia mpira ili asawazishe makosa yake ndipo Feisal akauingilia ule mpira nakuachia fataki. Rudia kuangalia mpira vizuri uone lengo la Boko sio kutoa pasi
 
Hawa ndio wachambuzi wetu! eti bila bocco dah' ile ni timu ya taifa' fei toto wanamsifia kwa sababu amefanya vizuri kwenye timu ya taifa sio yanga.. kwani ile ni assist!
 
Tazama vyema kwa mchezaji yeyote bora si U17 or U20 kama anaweza kupokea mpira ovyo vile.

Na yule ndio tunasema natural striker na upokeaji mpira ndio vile mkuu.

Pia ndio tunategemea mashindano ya klabu bingwa kwa upokeaji mpira huo basi mtani tutaona mengi.
Bocco ameshachuja sijui kwanini bado wanamtumia national team.
 
Back
Top Bottom