john

  1. Logikos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Killer (1989) - Moja ya kazi Nzuri Sana ya John Woo

    Kama haujaiona hii Movie nashauri iangalie ni movie moja Nzuri sana (Good Story; Good Actions; and a Bit Emotional) kwa kuogopa kutoa Spoilers ngoja nikupe Theme Song yake kama Dondoo....; Anyway katika Ma-directors maridadi John Woo na yeye ni Mtaalamu (From Mission Impossible mpaka A Better...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: John Shibuda mgombea Urais Chadema 2025

    Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais. Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa...
  3. NDUKI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wa Movie, John Wick 4 vipi?

    Salaam kwenu. Naulizia hiyo movie hapo juu kwa mwenye direct link au hata torrent ambayo sio CAMRip au WebCam iwe HD naomba anijuze please. Natanguliza shukran.
  4. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mhandisi John Nzulule Mtendaji Mkuu wa Wakala wa ndege za serikali amekua akishirikiana na nani?

    Bila shaka yo yote huyu Mhandisi John Nzulule aliyetenguliwa na Rais si mara yake ya kwanza kutupiga katika ununuzi wa ndege za serikali. Nadhani ametupiga katika ununuzi wa ndege serikali na pia ndege za ATCL ambazo zimekuwa zikinunuwa na serikali kukwepa kukamatwa na wadeni wa ATCL huko majuu...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Two years without John Pombe Magufuli: A Complicated Legacy

    His supporters see him as a bold leader who BUILT roads, bridges and power plants Critics see him as an authoritarian leader, who DESTROYED freedoms, rights, unity, patriotism and isolated Tanzania from the world John Pombe Magufuli was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuna haja kwa Watanzania kumsamehe hayati Dkt. John Magufuli. Nini kifanyike?

    Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia. Kifo cha Magufuli kilipokelewa kwa hisia tofauti na watanzania wengi wakionesha kushtushwa na kifo cha ghafla cha rais aliyekuwa madarakani...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa awaasa watanzania kuenzi mazuri ya Hayati John Pombe Magufuli

    "Pamoja na mapungufu ya Hayati Magufuli lakini kuna mazuri pia tulipaswa kuyaendeleza mfano nidhamu kazini, uoga kwa mali ya umma na kuheshimu wananchi" Mchungaji Peter Msigwa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Chanzo: Jambo TV
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

    Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha msiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania? Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika. Kabla CHadema hawajaanza...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Papa John Paul II alifunika Kashfa za Unyanyasaji wa Watoto alipokuwa Kardinali

    Ripoti ya Shirika la Utangazaji la TVN limeripoti kuwa, Hayati Papa John Paul II alijua kuhusu unyanyasaji wa watoto katika Kanisa Katoliki la Nchini Poland miaka kadhaa kabla ya kuwa Papa na alisaidia kuficha taarifa hizo. Michal Gutowski, mpelelezi wa ripoti hiyo, alisema Papa alijua kuhusu...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

    I hereby declare my interest, mimi ni muumini wa damu kabisa wa Magufulification of Tanzania. JPM was a kind of President tulomuhitaji kwa miaka mingi, he was a man of his words, a Man who made things happen. Lets speak the truth, Tanzania's current economic shambles, Social, Cultural and...
  12. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania John 15:4

    John 15:4, "Abide in me, and I in you."
  13. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Hayati Magufuli ikisema "Mtanikumbuka" yasikika tena, safari hii kwenye Uviko

    Nimekutana na habari hii hapa jamvini, Ndugu zangu, mabibi na mabwana, vijana na watoto, "Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'sacrifice' maisha yangu kwa ajili ya Watanzania maskini." Hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Raisi wa Tanzania mpendwa...
  14. Intelligent businessman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Filamu ya JOHN WICK 4, kuachiwa tarehe 24/3/2023

    Yeah unaweza sema the dangerous killer Mr keanu Reaves a.k.a John wick himself is back. Waandaaji wa filamu hii na duru za uhakika wameweka wazi kuwa baada ya kimya Cha muda mrefu, basi filamu ya John wick itaachiwa tarehe 24/3/2023. Moja ya vitu ambavyo vimeonyesha filamu hii itafanya...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mwanariadha Mtanzania John Stephen Akhwar alivyotoa somo la uzalendo Mexico 1968

    Ukifungua ukurasa wa Google au YouTube kisha ukaandika John Stephen Akhwari hakika kile ambacho utakiona kitakufanya utamani kutazama mpaka mwisho. Jina la mtu huyo litajitokeza mara nyingi kwenye kurasa hizo na k a m a u n amfahamu b a s i itakufanya utamani kumtazama na kuona historia yake...
  16. saidoo25

    JamiiForums Tanzania John Heche usiwaondoe watanzania kwenye reli

    John Heche ni moja ya wanasiasa wanaoheshimika sana kwa misimamo yake na kupenda kusema ukweli hilo halina ubishi, kwa sasa wananchi wanayo maeneo wanayolalamikia sana ambayo wanahitaji sauti za pamoja ili kuyatatua. Suala la Umeme linavyoathiri biashara za wananchi, ufisadi ulioibuliwa bungeni...
  17. Chibudee

    JamiiForums Tanzania CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

    Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo. Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
  18. Slowly

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hayati Magufuli ni Hussen Bashe

    Awamu ya tatu na ya nne tulikuwa na wazir mwenye misimamo mikali kabisa alieitwa John Pombe Joseph Maghufuli, Kwa sasa tuna wazir wa namna hyo hyo anaitwa Hussen Bashe ..... Bashe ni mzalendo , Bashe ni mpambanaji , very young and highly exposed , anayevaa uhusika , mwenye misimamo isiyoyumba...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu atolea ufafanuzi Haki Jinai, Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    ..hii ni interview ya kwanza tangu atue nchini.
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mdogo wake Elton John, Jeoff Dwight

    Baba Yao ni mmoja lakini mama tofauti. Jeoff hana pesa kama kaka yake, ni mbangaizaji tu lakini haja left the group of men.
Back
Top Bottom