Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,148
- 20,306
Akihutubia Umati wa watu wengi waliokusanyika kusikiliza Mkutano wenye lengo la kuelimisha wananchi juu ya Mkataba wa DP World na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama agizo la serikali liliowataka wadau mbali mbali wajitokeze kutoa Elimu.
Leo walikuwa Chato Kata ya Mganza ambapo ni Nyumbani kwa Aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dr John Pombe Magufuli.
Aidha Mkutano huo ulianza kwa kuweka majina ya watu watano waliotuhumiwa kufanya vurugu na kutaka kuzuia mikutano ya Wananchi.
Vile vile John Hech amemtuhumu aliywkuwa mbunge wa Jimbo hilo na baadae waziri wa Nishati na Madini Bwana Kalemani kuwa yeye ndiye aliyewatuma vijana kufanya vurugu hizo.
Mh Heche ametumia jukwaa hilo kuwaelimisha wananchi Umuhimu wa kupigania rasilimali za Taifa ili ziwezw kuwa na manufaa kwa Wananchi wazawa na wazalendo na kuleta Tija kwa Taifa.
Amewaonya vijana wanaotaka kujaribu kufanya fujo kwenye miikutano hiyo na kuwapa nasaha kuwa wanaowatuma wao wamejificha na kula pesa za umma huku wakiwasukumiza vijana wasio na ajir kutokana na ufisadi na mipango mibovu ya serikali iliyoko madarakani.
Hata hivyo Mh Hech ametoa takwimu za kusikitisha akidai kuwa Jimbo hilo lenye Kata 17 ndani ya miaka 63 ccm imeweza kujenga vituo viwili tu vya Afya na vingine viwili viko ktk hatua ya ujenzi. Hivyo serikali ya ccm itakuchukua miaka 120 kuweza kujenga vituo vinane vya afya.
Tundu Lissu alipigwa Riasa 17 na leo yuko hai ataogopa hawa vijana? By the way Anatembea na maajabu ukimgusa tu unaondoka wewe.
Bado mikutano inaendelea tuendelee kujiandaa na bando tu. Yetu macho.