john mnyika

  1. Thailand

    JamiiForums Tanzania John Mnyika na John Heche turufu ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM. Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana, Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika atuombe radhi, alisema kuanzia Novemba 2022 CHADEMA itahakikisha imefanya mikutano ya hadhara bila kuogopa chochote

    Binafsi sijasikia Tangazo wala kushuhudia Chadema ikifanya mkutano wa hadhara mahali popote Ninachokumbuka Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndio amefanya mkutano wa hadhara huko Tunduru mikoani Ruvuma Majilio mema!
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa

    Great thinkers. Correct me if I'm wrong. Kiufupi John Mnyika ndo mtu pekee anaweza kusimama na kushawishi jambo Kwa Sasa. Zitto Kabwe pumzi imeisha mapame baada ya kulamba asali. Ila sitashangaa kutokea kwa usaliti wowote ule maana wanasiasa wetu wanajulikana. Ukiwa famous unarudi CCM...
  4. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania John Mnyika wakabidhi chama chao, si dhambi kurudi CCM. Ukishindwa kabisa nenda kaungane na Zitto Kabwe kuendeleza Siasa za Upinzani

    Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako. John Mnyika, kwa namna ulivyo...
  5. Prince mimi

    JamiiForums Tanzania John Mnyika is our next Man 2025

    Habari Wakuu! Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President. Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nimemwandikia Rais barua kuomba stendi ya Nyamongolo Mwanza ipewe jina la John Mnyika

    Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Mambo CHADEMA tuliyozungumza na wenzetu wa CCM

    Mkutano ule wa Mei 20,2022 ,ni mwanzo wa mazungumzo ya timu mbili. Upande wetu CHADEMA tuliwasilisha ajenda mbili ya kwanza ni kurejeshwa kwa mchakato wa katiba ya nchi yetu na ya pili ni kujadili madhara ya miaka sita iliyogubikwa na ukiukwaji wa haki Itakumbukwa Aprili 07, 2021 Mwenyekiti...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania John Mnyika awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa kada wa CHADEMA, Sarah Alex

    Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko.
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kigoma: John Mnyika awasili kushiriki mazishi ya Ally Kisalla

    Taarifa ya Chadema Mkoani Kigoma inaeleza kwamba, Mh Mnyika atashiriki Shughuli za mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani humo Ally Kisalla, yanayotarajiwa kufanyika leo. Kamanda Ally Kisalla alifariki January 5, 2022 katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam.
  10. B

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ni Mwanasiasa aliyefanya kazi kubwa na Katika mazingira magumu 2019, 2020 na 2021 Nchini Tanzania

    Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe radhi nilimwazia vibaya. Kati ya watu waliosimama Katika mazingira magumu ni huyu kijana. Alisimama...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA huwa unadharaulika au unaogopwa?

    Mara kwa Mara umeandikiwa barua na Msajili ujieleze kutokana na baadhi ya matamko yako kwa niaba ya chama. Umekuwa ukijibu barua zao,je mrejesho huwa unakuwa nini baada ya kujieleza. Uliwafahamisha Tume ya uchaguzi kutojihusisha na chaguzi zozote na ukawakumbusha kuhusu kujibiwa barua inayohusu...
  12. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania John Mnyika popote ulipoitisha press conference haraka sana

    Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima. Katibu mkuu Mnyika itisha press leo leo ili kutoa muongozo kwa wapenda haki wote nchini. Katika press yako njoo na approach nzuri...
  13. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amepewa nini na CCM?

    Kwanza niwape pole sana uongozi na wanachama wa CHADEMA kwa madhila anayopitia kiongozi wao mkuu wa chama, hakika ni majaribu makubwa sana kwake yeye Mbowe binafsi, chama, na familia yake kwa ujumla. MNYIKA AMEPEWA NINI NA CCM? Hivi kweli CHADEMA leo ni wa kua wapole kiasi hiki kiongozi wao...
  14. T

    JamiiForums Tanzania John Mnyika kashindwa kuichambua falsafa ya CHADEMA ikaeleweka matokeo yake chama kinamfia

    CCM ikiwa na bahati ya kukuza na kutumia magwiji ya mikakati ya ushindi wa kisiasa hali hiyo imekuwa kinyume kwa vyama vya upinzani ambavyo havina hazina hiyo na matokeo yake kujiua vyenyewe. Chama chenye nia ya kushinda dola hakiwezi kuwa na mtendaji mkuu ambayo hana mbinu wala mikakati ya...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Butiku akutana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa. Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
  16. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika ateta na mabalozi walipowasili mahakamani 10-9-2021 katika kesi ya Mbowe

    Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

    Msajili wa Vyama vya Siasa amemtaka Katibu Mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo. Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili. Mnyika ameandika katika ukurasa...
  18. mshale21

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”

    Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimesema rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan “aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo” katika baadhi ya mambo ambayo ameyatolea ufafanuzi katika mahojiano yake maalumu aliyofanya na BBC. Kauli hiyo, imetolewa hii leo na Katibu Mkuu wa Chadema, John...
  19. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, ni bora muwe gerezani wote au Katiba Mpya?

    Siwezi kusema sana na wewe kama mtendaji mkuu wa Chama tikasikia kesi ya Ugaidi kama alivyo kwa mwenyekiti wako. Mwambie yupo ndani wewe hujashtakiwa na mtu. Wakati mnahangaika na mashtaka yake lazima muendelezo suala la madai ya Katiba Mpya. Naamini kusudi zima la kumkamata Mbowe ni kufifisha...
  20. CCM Music

    JamiiForums Tanzania John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

    Kikwetu tuna msemo tunasema: What goes around comes around. Kijijini kwetu tunatumia sana huo msemo mara kwa mara. JJ Mnyika aliwahi kumwambia JK kuwa ni Rais dhaifu. Hahahahaha. Lakini sasa kajamaa ni SG wa CHADEMA naona ndio dhaifu kuliko maelezo. Ni dhahiri CHADEMA haina vetting nzuri...
Back
Top Bottom