John Mnyika is our next Man 2025

Congressman

JF-Expert Member
Jun 2, 2020
732
2,154
Habari Wakuu!

Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President.

Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado naamini sio Presidential material anayeweza kuuzika kwa makundi ya rika zote na akazuika vizuri.

Personal, naiona Kabisa nyota ya John John Mnyika ikiendelea kupaa, utulivu wake kwenye kujenga hoja, kiufupi sifa njema alizonazo Tundu Lissu Mnyika anazo ila huyu ana utulivu na atafaa sana kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Upinzani

Kwahiyo wakati Mnyika akiwa mgombea urais, upande wa Pili John Heche akiwa amebeba mikoba ya Ukatibu Mkuu wa Chama, hakika tunaweza kuona Chadema mpya inayoweza kuchukua hata dola au kuongeza wabunge wengi zaidi bungeni 2025.
 
Yasemekana John Mnyika ni mwezi mchanga. Bora kujiridhisha kwanza na Afya yake ya akili kabla ya kumuamini kwa mambo makubwa.

Hata Magufuli alikuwa kichaa ila watu wakapuuza mpaka akawa Rais. Na yaliyotokea yalidhihirisha UKICHAA wake
 
Habari Wakuu!

Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President.

Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado naamini sio Presidential material anayeweza kuuzika kwa makundi ya rika zote na akazuika vizuri.

Personal, naiona Kabisa nyota ya John John Mnyika ikiendelea kupaa, utulivu wake kwenye kujenga hoja, kiufupi sifa njema alizonazo Tundu Lissu Mnyika anazo ila huyu ana utulivu na atafaa sana kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Upinzani

Kwahiyo wakati Mnyika akiwa mgombea urais, upande wa Pili John Heche akiwa amebeba mikoba ya Ukatibu Mkuu wa Chama, hakika tunaweza kuona Chadema mpya inayoweza kuchukua hata dola au kuongeza wabunge wengi zaidi bungeni 2025.

Nadhani Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Heche katibu Mkuu. Mnyika aandaliwe kuwa mgombea urais. Kwanza atavutia vijana.
 
Habari Wakuu!

Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President.

Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado naamini sio Presidential material anayeweza kuuzika kwa makundi ya rika zote na akazuika vizuri.

Personal, naiona Kabisa nyota ya John John Mnyika ikiendelea kupaa, utulivu wake kwenye kujenga hoja, kiufupi sifa njema alizonazo Tundu Lissu Mnyika anazo ila huyu ana utulivu na atafaa sana kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Upinzani

Kwahiyo wakati Mnyika akiwa mgombea urais, upande wa Pili John Heche akiwa amebeba mikoba ya Ukatibu Mkuu wa Chama, hakika tunaweza kuona Chadema mpya inayoweza kuchukua hata dola au kuongeza wabunge wengi zaidi bungeni 2025.
Mara mia Salum Mwalimu
 
Huyu aliyeiua chadema na kuonyesha udhaifu wa kutisha kwenye maboresho ya chama! ? Hamtakiwa serious.

Tangu lini Mnyika ameua chama?. Ilaumu serikali iliyopiga marufuku harakati za chadema kwa miaka mitano halafu kwenye uchaguzi wakazuia CHADEMA kupata wabunge kwa kuharibu uchaguzi.
 
Mnyika si mbaya aandaliwe tu kwa nyakati zijazo, kwa sasa Lisu bado ana uwezo mkubwa kukabiliana na siasa za chama tawala. Itapendeza sana kama atachaguliwa na chama chake kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao. Hata mwenyekiti wao mbowe naye bado ana nguvu na uwezo wa kugombea uraisi. Kama kuna makada wengine wenye uwezo wa kushawishi wapiga kura nako ni vizuri tu na ni hazina ya chama chao
 
Back
Top Bottom